Lowassa kuchukua fomu kugombea Urais kupitia CHADEMA - Alhamisi 30, 2015

Tumaini Makene

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
2,642
6,070

attachment.php

Naibu katibu Mkuu Zanzibar Mh Salum Mwalim ameongea na waandishi wa habari na kutoa taarifa ya kesho asubuhi majira ya saa tano Mh Edward Lowassa atachukuwa fomu ya kuomba kugombea nafasi ya Uraisi.Kupitia CHADEMA


Kulikuwa na press briefing Makao Makuu ya Chama ikiwa ni mwendelezo wa matukio mbalimbali wakati joto la uchaguzi linazidi kupamba moto.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Zanzibar, Salum Mwalimu amewaambia waandishi wa habari hapa kuwa kesho mwanachama mpya wa CHADEMA, Edward Lowassa atachukua fomu za kuwania uteuzi wa ndani ya chama kuwania nafasi ya urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

Makene
 

Attachments

  • mw.jpg
    mw.jpg
    29.1 KB · Views: 6,921
Last edited by a moderator:
Huyu angekua mwanajeshi angepindua nchi kwa jinsi anavyolazimisha kuingia Ikulu

Kwani yeye nani mpaka awe rais?

Akawe rais wa Monduli kama anataka urais.

Jinga wewe....kila mtu anatamani awe Rais, hata mimi nautamani Urais wa Jamhuri!!
 
Ukisema wa nini wenzio wanasema watampata lini......!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Lowassa karibu sana, sasa tuone Ubabe wa Mkapa hapo Tarehe 25/10/2015 kulazimisha kupindisha matokeo aonee
 
Back
Top Bottom