luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,021
- 21,263
Ni mkombozi wa tanzania mpya ijayo mh raisi Edward lowasa kesho trh 12 atatia team mwanza akitokea musoma.
Kila sehemu jijini mwanza ni shangwe, vigelegele, ndelemo ujio wa raisi wetu mpendwa lowasa.
Baadhi ya makundi akina mama,wadada tuko kwenye maandalizi ya kipekee, wengine wanaandaa vitenge, kanga, vitambaa, kapeti kwa ajiri ya kutandika barabarani gari la raisi litakapopita.
Hii ni taarifa mbaya kwa upande wa pili ila hakuna namna mabadiliko ni lazima.
Nitawaletea habari moto moto kutoka rock city ni mm mwanahabar wako luckyline.
Stay tuned.