Elections 2015 Lowassa kuandika historia ya pili jijini Mwanza kesho

luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
15,011
21,248
Ni mkombozi wa tanzania mpya ijayo mh raisi Edward lowasa kesho trh 12 atatia team mwanza akitokea musoma.

Kila sehemu jijini mwanza ni shangwe, vigelegele, ndelemo ujio wa raisi wetu mpendwa lowasa.

Baadhi ya makundi akina mama,wadada tuko kwenye maandalizi ya kipekee, wengine wanaandaa vitenge, kanga, vitambaa, kapeti kwa ajiri ya kutandika barabarani gari la raisi litakapopita.

Hii ni taarifa mbaya kwa upande wa pili ila hakuna namna mabadiliko ni lazima.

Nitawaletea habari moto moto kutoka rock city ni mm mwanahabar wako luckyline.

Stay tuned.
 
Tuko pamoja mkuu tukimsubiria RAIS wa awamu ya tano HAKIKA HISTORIA INAENDA KUANDIKWA UPYA KWA MWANZA.
VIVA UKAWA!!!
 
Tutoe kura mpk kila wanapoiba hazitoshi. Tuahakiki vituo vyote vya kata zetu nakujua idadi yake kuzuia vituo hewa.

Hakikisha wana mabadiliko wote mnajua Idadi ya vituo vya kila kata na mawakala wetu pia wana vifahamu vituo vyote halisi kuzuia kura za vituo Hewa.
 
Can't wait kuona mambo yenu wana Mwanza,je mtawafunika wakurya walivyotisha jana?
Wapi Dinazarde?
BTW luckyline nakupendaga sana,nikija Mwanza nitakucheki nawe ukija Dar nicheki,napenda wadada wanaojitambua kama wewe.

kama hutojali shoga mp wasap nikurushie manjonjo ya maandalizi yaani ni zaid ya utamu. Staki kurushaa hapa kabla ya tukio lenyewe ahaaaa watu na madila yetu kesho ni kukatika mpaka basiiiii.

Karibu mwanza nkupikie sato
 
Last edited by a moderator:
ni mkombozi wa tanzania mpya ijayo mh raisi edward lowasa kesho trh 12 atatia team mwanza akitokea musoma.

Kila sehemu jijini mwanza ni shangwe, vigelegele, ndelemo ujio wa raisi wetu mpendwa lowasa.

Baadhi ya makundi akina mama,wadada tuko kwenye maandalizi ya kipekee, wengine wanaandaa vitenge, kanga, vitambaa, kapeti kwa ajiri ya kutandika barabarani gari la raisi litakapopita.

Hii ni taarifa mbaya kwa upande wa pili ila hakuna namna mabadiliko ni lazima.

Nitawaletea habari moto moto kutoka rock city ni mm mwanahabar wako luckyline.

Stay tuned.

mwaka huu sisi ccm ni mwaka wa kupoteza
 
Tutoe kura mpk kila wanapoiba hazitoshi. Tuahakiki vituo vyote vya kata zetu nakujua idadi yake kuzuia vituo hewa.

Hakikisha wana mabadiliko wote mnajua Idadi ya vituo vya kila kata na mawakala wetu pia wana vifahamu vituo vyote halisi kuzuia kura za vituo Hewa.

ilo tumeshalifanyia kazi niko jikoni nakuakikishia ccm iko icu
 
pamoja wanamabadilikoooo woteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee lowasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Can't wait kuona mambo yenu wana Mwanza,je mtawafunika wakurya walivyotisha jana?
Wapi Dinazarde?
BTW luckyline nakupendaga sana,nikija Mwanza nitakucheki nawe ukija Dar nicheki,napenda wadada wanaojitambua kama wewe.

ndio nini kubaguanaaa,yaan sipo mwanza natamani ningekuwepo yaillah ILA narudi kupiga kura au sio mwanawane mpaka kielewekeeee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom