Lowassa, Kinana,Mbowe, Polepole,Ulimwengu,Zitto, Lissu Kingunge, Sumaye kukutana kesho

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Watakutana kwenye kongamano la kidemokrasia pamoja na wadau wengine kama taasisi za kiraia, wanahabari, ulinzi na usalama, wadau wa haki za binadamu, watu wa jukwa la katiba kujadili demokrasia katika nchi yetu kama tunaenda vizuri kama nchi nyingine na uhusiano wa demokrasia na maendeleo ya nchi

Watakaokuwa wanachokoza mada wataalikwa pia na mchokoza mada mkuu atakua Jenerali Ulimwengu

KUTOKA CCM:

IMG_6400.JPG
 
Watakutana kwenye kongamano la kidemokrasia pamaoja na wadau wengine kama taasisi za kiraia, wanahabari, ulinzi na usalama, wadau wa haki za binadamu, watu wa jukwa la katiba kujadili demokrasia katika nchi yetu kama tunaenda vizuri kama nchi nyingine na uhusiano wa demokrasia na maendeleo ya nchi
Watakaokuwa wanachokoza mada wataalikwa pia na mchokoza mada mkuu atakua Jenerali Ulimwengu

Sidhani kama chama tawala watakuja
 
Zee la LAWAMA na MALALAMIKOOOO 24/7
 
Litarushwa LIVE kwenye TV au ndio watafaidi watakaohudhuria peke yao? Kutokana na umuhimu wa hilo kongamano, linapaswa kuwa Mubashara kwenye televisheni, vinginevyo litakuwa halina maana kwangu.
 
Hiyo mada haijakaa vizuri eti kulinganisha demokrasia ya Tanzania Na nchi zingine Hakuna uniform Ya demokrasia iwe ya uhuru wa kuongea au wowote. Marekani kunakosifiwa kuna uhuru wa kuongea huwezi simama popote ukasema Osama Bin Laden akikuwa shujaa na mtu bora duniani wakakuacha. Ukienda ujerumani au Israel huwezi tamka kuwa Hitler Was a Best person ukabaki salama kwa kisingizio cha uhuru wa kusema Lolote. Rwanda pia anakotoka huyo ulimwengu muulizeni uhuru wa kusema genocide was OK upo? Hakuna nchi duniani unayoweza sema hii ndio model wa democracy. Kwa Tanzania kwa mawazo yangu upinzani wanachopigania sio DEMO Krasia bali ni DOMO krasia ambayo ni uhuru wa kuongea kwenye DOMO lolote kwa sababu tu DOMO ni jumba la maneno bila kujali wanachoporomosha kwenye hilo domo ni nini? Kuna tofauti kubwa kati ya Demo krasia Na Domo krasia
 
Litarushwa LIVE kwenye TV au ndio watafaidi watakaohudhuria peke yao? Kutokana na umuhimu wa hilo kongamano, linapaswa kuwa Mubashara kwenye televisheni, vinginevyo litakuwa halina maana kwangu.
Lazima kuna member wa jamii forum atakuwepo kutupa update kwani jamiiforum ipo tz yote
 
Hiyo mada haijakaa vizuri eti kulinganisha demokrasia ya Tanzania Na nchi zingine Hakuna uniform Ya demokrasia iwe ya uhuru wa kuongea au wowote. Marekani kunakosifiwa kuna uhuru wa kuongea huwezi simama popote ukasema Osama Bin Laden akikuwa shujaa na mtu bora duniani wakakuacha. Ukienda ujerumani au Israel huwezi tamka kuwa Hitler Was a Best person ukabaki salama kwa kisingizio cha uhuru wa kusema Lolote. Rwanda pia anakotoka huyo ulimwengu muulizeni uhuru wa kusema genocide was OK upo? Hakuna nchi duniani unayoweza sema hii ndio model wa democracy. Kwa Tanzania kwa mawazo yangu upinzani wanachopigania sio DEMO Krasia bali ni DOMO krasia ambayo ni uhuru wa kuongea kwenye DOMO lolote kwa sababu tu DOMO ni jumba la maneno
Huna lolote ww hivi mtu ambae anafanya au kuhamasisha mauaji ya haraiki anasifiwa? Usilinganishe vitu vya kijinga
 
Huna lolote ww hivi mtu ambae anafanya au kuhamasisha mauaji ya haraiki anasifiwa? Usilinganishe vitu vya kijinga
Ukiitisha mgomo wa madaktari kama mashinji alivyofanya kipindi kile watu wakafa kwa mamia kwa kukosa tiba kutokana Na huo mgomo hiyo sio kuhamasisha genocide?hiyo ni demokrasia? Huko sio kuhamasisha mauaji ya kimbari hospitalini?
 
Back
Top Bottom