Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,841
- 2,664
hata jk akikaliwa kooni vizuri mbona ataachia? Haikuwa utashi wake kuachia ngazi hivyo hastahili sifa yoyote!
of say EL is a man of decision may be i can add tough decison. that is one point .let me ask myself what kind of decision . suppose his decision about looting the national wealth all for himself. i hope by year 2025 we will all be dead why?- he may decide to private every including citizenship. then we shall be noncitizen Lowasa can't and will never a ROLE MODEL LIKE NYERERE. LET HIM GO TO HELL HE IS MORE LESS THE SAME AS JK THEIR DIFFERENCE IS BASED ON THEIR ETHNIC ORIGINS BUT THEY RESEMBLE QUIET ALOT ON MALPRACTICAL EXPERIENCES. THE MEN OF SMALL BABES. WE ARE NO LONGER INTERESTED WITH MEN OF IMMORALITY. WE NEED A MAN OF VIRTUAL LEADERSHIP QUALITYWhatever and however is said and going to be said against Lowassa but this man remains to be the best candidate from ccm if and only if this country seriously wants to at least move forward. Many of us have witnessed how the government lost its reputation before the public eye after his resignation. Despite all his weaknesses, as a human being, he tried at least to leave behind a very clear legacy. Is there any person in this country who doesn't know that Lowassa is a man of "decision and follow-up"? Definetely none! There are numerous and indisputable examples to justify this attribute. I know it is irritating to some jf members but frankly speaking, in my opinion, currently ccm does not have any member who can beat Lowassa. Thanks.
Bado tu? Maadui wa Tanzania na kizazi hiki
Dr Kikwete? au Dr Nchimbi?Mpaka kufika 2015, mtashangaa kumsikia hadi Dr. akimfagilia huyu jamaa!. Nyie subirini tuu!.
Yaani inaudhi sana Mkuu Jasusi yaani huyu Jambazi ndio apewe nchi kuanzia 2015!? watu hawaoni aibu wala kusikia vibaya kumfagilia fisadi huyu...labda hii ndio laana ya Mungu kwa nchi yetu....Vinginevyo haingii akilini kwa mtu mwenye mapenzi ya kweli na Tanzania kuja hapa kumfagilia huyu mwizi.
Mpaka kufika 2015, mtashangaa kumsikia hadi Dr. akimfagilia huyu jamaa!. Nyie subirini tuu!.
Pole sana mkuu kwa kushtushwa na msimamo wangu ila binafsi naamini hii nchi inshitsji viongozi vichwa ngumu na LOWASA anafaa sana hasa kwa nyakati kama hivi za kina PONDA
Pole sana mkuu kwa kushtushwa na msimamo wangu ila binafsi naamini hii nchi inshitsji viongozi vichwa ngumu na LOWASA anafaa sana hasa kwa nyakati kama hivi za kina PONDA
We utakuwa na matatizo sana..Yupi huyo unayemsema? Kama anaweza angeenda kula nao ubwabwa na kuji valisha mavazi ya watu kunajisi imani yao huku akijidai he is one among?
Evil heart can never attack the devil ni mtumwa wake. Je mtumwa aweza kwenda against bwana wake?
Ponda hana kosa lolote kwakua analolifanya linaendana na moral authority yake ila huyo mtu wenu hana morals ndiyo aweze kusaidia ya akina Ponda? Hana address kwa Mungu wala kwa shetani...Alidhani hata Mungu anaweza hongwa ndiyo maana kajipeleka nija eti akatabiriwe..Duuh Mungu amsaidie maana roho yake imejaa uasi hana amani hata chembe ya haradali..Aweze kwanza amani ya moyo wake ndiyo afikirie kuongoz wengine...
-Wa kupewa pole ni wewe mkuu.Ofcourse nimeshtushwa na uwezo wako wa kutumia computer halafu unashindwa kufikiria vizuri.
-Tanzania haihitaji vichwa ngumu hasa vichwa ngumu katika wizi na kugoma kutangaza vyanzo vya mapato
-Tanzania haihitaji strong men.Stop this old stone age madness.Huwezi kuwa na knowledge ya kubonyeza kompyuta au button za simu wakati huo huo unafikiria kwamba to creat a giant nation we need strong men,mzaha mbaya!
-Let me school you a bit,we neend strong institution with credible platform to produce credible leaders to govern us
-Suala la Sheikh Ponda ni emotionally charged,ni suala la imani na haliwezi kushughilikiwa kwa reflex action.Rejea paragraph yangu hapo juu,we need strong institution haki iwe inatendeka na ionekane ikitendeka.Mtu ambaye ameshindwa kutangaza hata source ya income zake hana ujaairi huu and he cannot fit anywhere.Anaogpa utajiri wake?
-kwa mentality yajo hii basi wataibuka elements kama za Sheikh Ponda kibao from religious institutions,civil societies,vyama vya siasa na taasisi za Elimu.Mimi mmojawapo!
-Kama unahitaji vichwa ngumu/strong men rudi kwenye ukoo wako mkuu uchague mtu wa aina hiyo kisha ulete matokeo hapa.Pole sana mkuu wangu,loh!
kweli mkuu...LOWASA ndiye rais wa hii nchi 2015....full stop
Tanzania deserves better.
Kura yangu huwa EL nitampa kwani anifaa kwa wakati huu wa kuweka nidhamu ya utendaji kazi