LOWASSA kilichomjenga ni kujiuzuru, pale alithubutu, nani kama yeye anaweza kuuacha uwaziri mkuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LOWASSA kilichomjenga ni kujiuzuru, pale alithubutu, nani kama yeye anaweza kuuacha uwaziri mkuu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilisosi, Oct 27, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Nimetafakari kwa muda mrefu sana lakini nimeona ni afadhali niyatoe ya moyoni.
  Huyu Lowasa kwa kifupi mie binafsi nimekuwa nikimpingasana ., lakini nimeangalia kila kona nikakaa chini na kufikiri yafuatayo
  Nani hana njaa anayefaa kuwa rais wetu baada ya dhaifu?
  Nani mwenye confidence na mwenye jeuri ya pesa anayeweza kumrithi dhaifu
  Nani mwenye kuogopewa katika inji hii
  nani mchapa kazi wa ukweli ?
  Nikaona majibu yangu yote yanampa lowasa kura mia zote pamoja na kuwa mimi ni chadema damu lakini namkubali lowasa kwa sababu kwanza kabisa fwedha anazo, amekaa benchi muda mrefu sasa lakini bado anatisha , anafuturisha kila kukicha na anajenga makanisa.
  Lowasa ni mchapa kazi mzuri sana tatizo ukimuonyesha hela huwa analegea kama naniliu.
  Ukiacha ka udhaifu kake huyu jamaa anatisha na ni mkali kuliko mrema na magufuli put together.
  Mie nitampa kura yangu kwa sababu tu naogopa kuwapa njaa kali wengine au ma dhaifu wengine inji hii ikaishia mikononi mwa akina farida.
  Hebu fikiria unampa nchi mtu ambaye hata gari la kutembelea tu hana, ujue kwanza ataiba halafu ndio atatufikiria wengine.
  Afadhali lowasa kaiba vya kutosha na sasa anazo kilichobaki ni kujisafisha na kuchapa kazi mtindo mmoja.

  Mpeni kura mshikaji wangu achaneni na akina lema wezi wa magari au yule lipumbu sheikh ubwabwa
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  kweli mkuu...LOWASA ndiye rais wa hii nchi 2015....full stop
   
 3. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naanza kuamini sasa huyu jamaa huenda akapewa nchi,,,,,simba mwenda kimya ndo mla nyama, amekaa kimya sana, movement yake ipo low profile,
  hivi sita mbona yupo kimya sana kipindi hiki,,,, au amegundua nini sasa hivi,,,,,
  tulitarajia kipindi hiki ajitokeze aseme chochote,,,,,au dr. Slaa alivyo muumbua imemsababisha wenzake kumjua unafiki wake.
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Nimechoka kuona mada zinazojaribu kumjenga huyu fisadi aliyekubuhu. Tanzania deserves better.
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,661
  Trophy Points: 280
  Yaani inaudhi sana Mkuu Jasusi yaani huyu Jambazi ndio apewe nchi kuanzia 2015!? watu hawaoni aibu wala kusikia vibaya kumfagilia fisadi huyu...labda hii ndio laana ya Mungu kwa nchi yetu....Vinginevyo haingii akilini kwa mtu mwenye mapenzi ya kweli na Tanzania kuja hapa kumfagilia huyu mwizi.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kweli jina lako mwanangu ni Bonge la fisadi. Ungeongeza likawa Bonge la Fisadi na kidampa wa Lowassa. Jamani hata kama mnalipwa kwa njaa na upuuzi wenu tupeni nafasi tupumzike. Nenda mkamuabudie huyu kinyago wenu ila msipende kutuuza.
  Nani hana njaa anayefaa kuwa rais wetu baada ya dhaifu? Mwenye njaa ni Lowassa nawe na CCM yake.Nani mwenye confidence na mwenye jeuri ya pesa anayeweza kumrithi dhaifu= Rais wa nchi mwenye kuwafaa wananchi hapaswi kutokana na fedha tena fedha zenyewe za bangiNani mwenye kuogopewa katika inji hii==Anayeopewa nchini siyo inji ni Mwenyezi Mungu na wale wenye uadilifu nani mchapa kazi wa ukweli ? Mchapakazi ni yule asiye mwizi kama Lowassa. Ni mlipa kodi wa Tanzania.Nikaona majibu yangu yote yanampa lowasa kura mia zote pamoja na kuwa mimi ni chadema damu lakini namkubali lowasa kwa sababu kwanza kabisa fwedha anazo, amekaa benchi muda mrefu sasa lakini bado anatisha , anafuturisha kila kukicha na anajenga makanisa.
  Lowasa ni mchapa kazi mzuri sana tatizo ukimuonyesha hela huwa analegea kama naniliu.
  Ukiacha ka udhaifu kake huyu jamaa anatisha na ni mkali kuliko mrema na magufuli put together.

  Mwenye kuleta mada hii anasumbuliwa na njaa tamaa na upogo na upofu. Wazazi wake wamepata hasara kuwa na mtoto kama huyu anayefikiri kwa tumbo na masaburi kama chatu.
   
 7. Butho Mtenzi

  Butho Mtenzi JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 328
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  alionesha mfano bora ni vp kiongozi anatakiwa kuwajibika
   
 8. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Mimi namfahamu jamaa huyu wakati wakiwa AICC, na bado sijajua aliwezaje kuwa tajiri mkubwa kiasi hicho cha kuogopwa kwani siku zote yeye ni mtumishi wa umma tangu wakati huo. Alivyopata utajiri huo ndilo jambo linalofanya mtu kama mimi nimshtukie kabisa kwani nilishafundishwa kuwa mtu anayeishi kwenye nyumba ya vioo huwa harushi mawe! Matajiri akina Mkono tunajua kuwa walipoondoka kwenye utumishi wa umma wakawa wafanya biashara wa kuikamua benki kuu hadi kuwa matajiri hivyo, lakini Lowasa yeye hajawahi kuwa nje ya utumishi wa umma!
   
 9. O

  Ogah JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kinachoudhi zaidi ni kuwa.........he is heading there............
   
 10. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Whatever and however is said and going to be said against Lowassa but this man remains to be the best candidate from ccm if and only if this country seriously wants to at least move forward. Many of us have witnessed how the government lost its reputation before the public eye after his resignation. Despite all his weaknesses, as a human being, he tried at least to leave behind a very clear legacy. Is there any person in this country who doesn't know that Lowassa is a man of "decision and follow-up"? Definetely none! There are numerous and indisputable examples to justify this attribute. I know it is irritating to some jf members but frankly speaking, in my opinion, currently ccm does not have any member who can beat Lowassa.

  Thanks.
   
 11. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii ni strateggy maalum.Ni watu wachache wenye Id nyingi na mpango huu unaratibiwa na kijana wake mmoja hivi.

  Kama vijana wa Uvccm wameshindwa kumstaafisha siasa,basi vijana Chadema tufanya hivyo(kama tulivyomfanyia kule ukweni Arumeru)

  Btw:Mtu alazimishwe kujiuzulu kwa sababu ya kashfa kubwa ya aibu tena akilalamika halafu leo umuone hero?Ni shujaa huko CCM.Tena mpitisheni huko ili tuwaonyeshe cha moto.
   
 12. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #12
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Bado tu? Maadui wa Tanzania na kizazi hiki
   
 13. h

  heros Member

  #13
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I strongly agree, he is a man of action with alot of confidence. Hana ngonjela. Kura yangu huwa EL nitampa kwani anifaa kwa wakati huu wa kuweka nidhamu ya utendaji kazi
   
 14. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Naipenda Tanzania,najisikia kutapika nikisikia jina la fisadi papa lowassa! Eee Mungu tuepushe na mwizi huyu aliekubuhu asiwe Rais wa Nchi!
   
 15. n

  ni_mtazamo_tu Senior Member

  #15
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unafikiria kwa kutumia makalio eeh
   
 16. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Naona lowasa kaamua kutuma vijana wake mje kuiaminisha jf kuwa yeye ni msafi na anastaili uraisi....hii ni baada ya kuishika ccm basi anadhani na jf ataweza kuishika kwa kutumia vijana wenye njaa,mwambieni hapa bado tunachojua yeye ni FISADI kama lostam nwengine,urais ataendelea kuuota tu hapa chadema tu.
   
 17. C

  Concrete JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Lowassa ni Fisadi nguli.
   
 18. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nini Lowassa mtamsimamisha mpaka Mulugo this time:target:
   
 19. C

  Concrete JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kauli kama hii iliwahi kutolewa na mke wa Lowassa na pia baadhi ya wale wanaodaiwa kuwa ni mahawara zake kama Sophia Simba.
   
 20. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #20
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Duh!......
   
Loading...