Lowassa, Kikwete aondoe woga kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa, Kikwete aondoe woga kweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Jun 28, 2011.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu,Waziri Mkuu Mjiuzulu na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa aliitaka Serikali ya awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Mrisho Halfani Kikwete iondoe woga na kufanya maamuzi magumu.

  Lowassa hapa alitaka kujikosha kuwa sakata la Richmond lilitokana na yeye kuthubutu kufanya maamuzi magumu,kitu ambacho si cha kweli.Lowassa anaomba sumu.Kwani hajuio kuwa Kikwete akiondoa woga yeye atakuwa mhanga wa kwanza wa ushujaa wa Kikwete?

  Kweli Kikwete aondoe woga wake? Lowassa alisema asichokiamini.
   
 2. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Lowasa anajua akisemacho na usiombe JK akaondoa woga. Aibu itakayoibuka hutopenda kuiota achilia mbali kuiona
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Unachojaribu kutueleza hapa ni kuwa wewe ni-Kikwetephil na siyo mpenda ukweli. Ukweli ni kuwa Lowasa anazungumza ukweli na hana woga bali Kikwete ni muoga.
   
Loading...