Lowassa, Kibanda wafanya unyama kwa wafanyakazi wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa, Kibanda wafanya unyama kwa wafanyakazi wao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Warofo, Jun 3, 2011.

 1. W

  Warofo Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi ya Richmond, Edward Lowassa, ambaye ni mmiliki wa jarida la UMOJA lenye ofisi zilizo maeneo ya Mikocheni anawafanyia unyama mkubwa wafanyakazi wake wapatao 10 tu wa jarida hilo kwa kuwanyima mshahara mwezi wa pili sasa.

  Lowassa, ambaye anaendesha gazeti hilo kupitia mtoto wake, Frederick, kwa kushirikiana na mhariri mtendaji wa Tanzania Daima, Absalom Kibanda, amekuwa akienda kwenye ofisi za jarida hilo kwa siri nyakati za usiku tu.

  Kibanda, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (Tanzania Editor's Forum), ni rafiki wa karibu wa Lowassa na amekuwa akiratibu media kampeni maarufu inayojulikana kama "Okoa Mapacha Watatu" yenye lengo la kuhakikisha Lowassa, Rostam Aziz na Andrew Chenge hawafukuzwi kutoka CCM.

  Mtoto wa Lowassa, Frederick, huwa anatembea na maboksi yaliyojaa pesa kwenye buti ya gari lake lakini anashindwa kuwalipa mishahara wafanyakazi wa UMOJA.

  Haikuweza kufahamika mara moja kwa nini Lowassa ameamua kuwatesa wafanyakazi wake wakati yeye mwenyewe ana utajiri mkubwa aliojilimbikizia kutokana na nafasi zake za zamani serikalini.

  Jarida hilo la UMOJA lilianzishwa kwa lengo la kumsafisha Lowassa na kumjenga eti ili awe Rais wa Tanzania mwaka 2015.

  Baada ya jarida hilo kushindwa kupata umaarufu na nguvu ya kusomwa na Watanzania wengi, Kibanda sasa analitumia gazeti la Freeman Mbowe wa CHADEMA, Tanzania Daima, ili kufanikisha malengo ya Lowassa.

  Hii ni pamoja na kuwapiga vita maadui wa kisiasa wa Lowassa -- Samuel Sitta, Harisson Mwakyembe, Bernard Membe, John Magufulu, Frederick Sumaye, Jakaya Kikwete, John Malecela, Nape Nnauye, na wengine wengi.
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Hao wafanyakazi kama hawajazalisha walipwe toka wapi? Waambie waandike habari zinazouzika ili mapato ya kuwalipa mishahara yapatikane, ni mtazamo wangu
   
 3. A

  Akiri JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  source please
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  source please
   
 5. K

  KGBtz Member

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 5, 2007
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu upotoshaji unasikitisha sana. Wote au angalau wengi tunafahamu biashara anzofanya huyo mtoto wa Lowassa na interest yake kwenye media kupitia Radio5 Arusha, ambayo siyo siri. Hii ya kuunga unga kwamba Edward Lowassa ni mmiliki wa jarida la UMOJA siyo sawa hata kidogo. Wamiliki tukitaka kuwajua tunaenda BRELA na tutapata majina, na tunajua Kibanda ni mmiliki na mhariri wa jarida la UMOJA na hafichi, sasa tusitafute mahusiano ya urafiki ya huyo fredrick na kibanda kuja kumzushia baba wa watu na uongo huu.

  Lakini pili, matatizo sehemu za kazi ni kawaida kabisa, hasa kwenye private sector, na kama kweli hao wafanyakazi wananyanyaswa bila sababu tungesikia, maana yangu ya kunyanyswa ni kwamba biashara inaendeshwa kwa faida kubwa lakini mapato yake yanelekezwa sehemu nyingine badala ya kulipa wafanyakazi haki zao.

  Mwishoni naona unatuthibitishia kwanini umepotosha jambo hli, inaoneakana na wewe hapa upo kwenye kazi ya KUCHAFUA watu fulani kwajili ya agenda ya urais 2015 kama ambavyo umedai ndiyo madhumuni ya jarida hilo, natamani hao wahariri wa hilo jarida wangekuja hapa JF watuelezee kinagaubaga kuhusu umiliki, historia na madhumuni ya jarida hilo. Jamani tuacheni upotoshaji tusilete JF, either ni kwa madhumuni ya KUMCHAFUA au KUMSAFISHA MTU, tutumie facts kujenga hoja zetu.
   
 6. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Watazalishaje wakati umesikia gazeti halina mvuto, hakuna anayenunua, wananchi wa sasa wanajua wakitaka ukweli wasome gazeti gani.
   
 7. N

  Nanu JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  KGBtz, nimependa sana upeo wako wa kusoma mambo na kuyaelewa. Nimeisoma hii nikaona kuwa muandishi alikuwa anataka tu kumharibia Kibanda na kuonyesha kuwa Lowassa na akina Sita, Mwekyembe ,etc ni maadui. Mwandishi ameandika kama vile anataka kutoa habari kama mtu wa media, basi habari hii ingepata majibu kutoka kwa parties wanaohusika baada ya kuhojiwa. Tuache unafiki na kuchafuana pasipo na maana yoyote. Tunafahamu vyombo vya habari ambavyo Fredrick anaviendesha na biashara anazozisimamia wala hazijifichi na wala haziko kwa majina ya watu wengine ili kuficha ukweli. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Lowassa skendo yake ilikuwa Richmond na tuache kuhamisha vitu na kuwadanganya umma! Naamini katika hoja za ukweli na zisizo za unafiki!!
   
 8. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Upuhuzii huu peleka kwenye vijiwe vya kahawa,mmiliki wa Umoja ni kibanda hajifichi na wala hajawahi kujificha,tusimsingizie Fred
   
 9. O

  Ogwari Member

  #9
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Warofo
  Nina doubt about your reasoning capacity inakuwaje unahajiriwa haumfahamu mwajiri wako ni nani!! my friend hapa hatujadili majungu tunajadili hoja zenye mshiko
   
 10. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umetumwa na samweli sitta mroho wa madaraka msaliti na mwanzilishi wa ccj aliyeifisadi cda dodoma
   
 11. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  this is bad news kwa kuwa Kibanda alikuwa ana aminika na wengi kuwa miongoni mwa waandishi makini wanaopambana na ufisadi kumbe nae ana muunga mkono fisadi?who is to believe sasa jamani?
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nape achana na kutuma vibaraka kuandika upuuzi kama huu.Unazidi kuiua CCM
   
 13. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,359
  Trophy Points: 280
  absalom kibanda umesikika loud and clear
   
 14. m

  mbagasa Member

  #14
  Jun 3, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chanzo cha kuaminika cha habari hizo ni kipi?
   
 15. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Hapo tu ndipo panaeleweka na kuvutia
   
 16. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145

  Worofo
  Una hakili timamu kweli ?,inakuwaje mtu mzima mwenye akili timamu haumfahamu mwajiri wako hiii ni haibu!! Issue ya gazeti la Umoja lipo straight mmiliki wa gazeti ni Absalom Kibanda. Unahajiriwa kuwachafua samuel Sitta, Harisson Mwakyembe, Bernard Membe, John Magufulu, Frederick Sumaye, Jakaya Kikwete, John Malecela, Nape Nnauye, na wengine wengi unakubali na unasign mkataba mishaara ikichelewa ndio unatuhabarsisha huu upuuzi wako.It look wewe ni miongoni wa watu ambao wapo cheap unaweza kununuliwa at any price na ukahandika makala za kipuhuzi kama unavyojionyesha kwenye hii thread, what is wrong kwa fred kuwa Rafiki wa Kibanda , did he comit crime kutembelea ofisi za umoja ,Fred anastahili na ana enjoy freedom kama Raia wengine wa Tanzania mimi ninachokiona sasa tunaelekea pabaya tunatumia ajenda u-Rais 2015 vibaya!! tunahamisha agenda za ku-Discus Issues tunazihamishia ku-Discus persanality , .Kwanini wakati unahajiriwa kuwachafua Sita and his Clique haukutufahamisha? ,Mishaara ikichelewa ndio unajitokeza. for ypur information JF sio sehemu ya ku-Discus Majungu sisi tunajadili hoja zenye mshiko,

  kama haumfahamu mwajiri wako Kwanini usihende mahakamani ili ihamuru BRELA walete jina la mmiliki wa umoja? je umepeleka hii isue kwenye taasisi za serikali zinazohusika na masuala ya kazi ningekushauri ungefanya hivyo kwanza badala ya kusema Blaa Blaa mara Fred anatembea na pesa kwenye Buti, Mara Fred ni rafiki wa kibanda haya unayotuambia hayawezi kukusaidia kwanin usiende kwenye vyama vya wafanyakazi TUICO ,By the way tumepokea malalamiko yako na tumeyasoma, ?sasa tufanye nini au tukusaidie kwa lipi? .Ninachokiona hapa kikubwa ni kwamba unataka kumchafua Edward lowasa hauna hoja yenye mshiko.
   
 17. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Vita vya panzi, kunguru tunafaidi!
   
Loading...