Mimi Nina doubt kama hizi ni pesa zake Binafsi. Hizi zitakuwa zinatoka kwenye mfuko wa serikali maalum kwa shughuli za ukarimu. Jamaa huwa wakalimu sana kwa kutumia pesa za Umma, inapokuja pesa za mfukoni kwao, huwa inakuwa ngumu! Inabidi wanapochanga wawe wanatoa maelezo juu ya pesa hizo kama ni za umma au zao binafsi!