Lowassa kadanganya watu wa Namanga kuhusu Uchumi wa Tanzania

Wafanya biashara ndiyo walimwelewa Lowasa.Huhitaji akili ya ziada kutambua kuwa bidhaa ambazo hupita bandari ya Dar es salaamu.Zinauzwa bei ndogo nchi jirani kuliko Tanzania.Kama kweli unaelewa kila mwaka huwa unaambiwa pato la Taifa limepanda je! Kwenye maisha ya kawaida kunatokeaga unafuu.Yaana wewe mahaba tu yanakuua huna jipya kabisa wewe.
 
Lowasa akiwa Namanga kasema Tanzania kiuchumi ipo nyuma ya Burundi, Uganda, Rwanda. Nimejikuta najiuliza kwani siasa bila uwongo haiwezekani?

Natamani mabadiliko yenye kufanya wanasiasa wawe wakweli....

1. The 23 poorest countries in the world - Business Insider
2. Globetrotting Galore by Gunnar Garfors: The World's Poorest Countries
3. List of world's poorest countries: 19 of them are African countries - Facts University
4. https://www.gfmag.com/global-data/economic-data/the-poorest-countries-in-the-world

Jamani kuna maisha baada ya 25/10/2015. Tufanye siasa safi za ukweli na hayo ndiyo mabadiliko ninayoyataka.

Mandokwa

Akhsante Mkuu kwa kuleta ukweli na kuweka data ili hawa wafuasi wa UKAWA wanaodanganywa waone. Lowassa nia yake ni kuwa Rais - hivyo anatumia kila HILA ili achaguliwe - ili akafanikifishe malengo yake na ya wenzake ya "KUPIGA DILI". Pia huwa ana data zozote anazofanya reference - ndio maana unaona anatoa matamshi ambayo wakati mwingine anajipinga yeye mwenyewe. Ni kama alivyosema kuwa atarahisisha MIKOPO ya Vyuo wiki hii iliyokwisha wakati huohuo akiwa amesahau kuwa alisema ELIMU itakuwa bure Mpaka Chuo Kikuu. Inaonekana ni vitu anatamka tu akiwa jukwaani - hamaanishi kuvitenda. Alisema pia atatoa nyumba za udongo ndani ya siku Mia - Wakati amekuwa Mbunge wa Monduli kwa Miaka Mingi na hakuweza hata kumaliza nyumba za Udongo hapo Monduli tu!!! Ni tofauti kabisa na Magufuli ambaye huwa anatoa DATA na reference - sio kupayuka tu hovyohovyo kuwaimpress wapiga kura.
 
KUMWAMINI LOWASSA INABID UWE NA AKILI YA MWENDAWAZIMU MTU MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUHANGAIKA NA LOWASA WALA KUSIKILIZA MAZINGAOMBWE YAKE MARA ATAONDOA MATEMBE YOTE NCHI NZIMA KWA SIKU MIA MOJA WAKATI YA MONDULI YAMEMSHINDA KWA MIAKA 30 SASA HAPO MTU BADO UNAHITAJI ELIMU YA CHUO KIKUU KUJUA KWAMBA LOWASSA HAFAI KUPEWA NCHI KWAKUWA HATA KAENEO KADOGO ALIKOKABIDHIWA AMESHINDWA KUKAENDELEZA NCHI ATAIWEZA WAPI? MWENYE AKILI TU NDIYO ATAKAYE NIELEWA WAJINGA WOTE NASUBIRI MATUSI YENU
Kumwamini LO

We Bulembo rudi kwenye fiesta!
 
Mwanachama na mtu yeyote anayeishabikia ccm mimi namuona boya tu,kenge maji,mbuzi kasoro mkia,
 
KUMWAMINI LOWASSA INABID UWE NA AKILI YA MWENDAWAZIMU MTU MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUHANGAIKA NA LOWASA WALA KUSIKILIZA MAZINGAOMBWE YAKE MARA ATAONDOA MATEMBE YOTE NCHI NZIMA KWA SIKU MIA MOJA WAKATI YA MONDULI YAMEMSHINDA KWA MIAKA 30 SASA HAPO MTU BADO UNAHITAJI ELIMU YA CHUO KIKUU KUJUA KWAMBA LOWASSA HAFAI KUPEWA NCHI KWAKUWA HATA KAENEO KADOGO ALIKOKABIDHIWA AMESHINDWA KUKAENDELEZA NCHI ATAIWEZA WAPI? MWENYE AKILI TU NDIYO ATAKAYE NIELEWA WAJINGA WOTE NASUBIRI MATUSI YENU
Kumwamini LO

1. WARIOBA anataka katiba yake ya wananchi kwa 100%. CCM inapinga rasimu ya Warioba. Warioba anaipigia kampen CCM.

2. MREMA anampigia kampeni Magufuli achaguliwe kuwa rais. Chama chake cha TLP kimesimamisha mgombea urais.

3. MAGUFULI amesema atakirudisha "kiwanda cha nguo" cha Tanelec. Tanelec inatengeneza bidhaa za umeme.

4. SLAA anatuambia alishiriki kuandaa ilani ya CDM ambayo Mh.Lowassa anaitumia kupigia kampeni. Dr.Silaa anamuunga mkono Magufuli na amesema Ilani ya chadema haizungumzii ufisadi.

5. Mh.Magufuli alipokua Himo aliwaambia wananchi wamchague MREMA jimbo la vunjo. Jimbo la vunjo pia lina mgombea ubunge kwa ticket ya ccm.

😳NGACHOKA MIE 😳
 
Huyo lowassa sio yeye alikuwa akimsifia kikwete kuwa rais mwenye vision na kapaisha uchumi? Siwapendi wanasiasa kabisa,
 
1. WARIOBA anataka katiba yake ya wananchi kwa 100%. CCM inapinga rasimu ya Warioba. Warioba anaipigia kampen CCM.

2. MREMA anampigia kampeni Magufuli achaguliwe kuwa rais. Chama chake cha TLP kimesimamisha mgombea urais.

3. MAGUFULI amesema atakirudisha "kiwanda cha nguo" cha Tanelec. Tanelec inatengeneza bidhaa za umeme.

4. SLAA anatuambia alishiriki kuandaa ilani ya CDM ambayo Mh.Lowassa anaitumia kupigia kampeni. Dr.Silaa anamuunga mkono Magufuli na amesema Ilani ya chadema haizungumzii ufisadi.

5. Mh.Magufuli alipokua Himo aliwaambia wananchi wamchague MREMA jimbo la vunjo. Jimbo la vunjo pia lina mgombea ubunge kwa ticket ya ccm.

NGACHOKA MIE 

Kweli watu mmechanganyikiwa hayo yote uliyoeleza yana uhusiano wowote wa utendaji dhaifu, ufisadi wa LOWASSA?
AU AKILI zimeenda kuchunga? Na hapo kweli umenithibitishia pasipo chembe ya shaka kwamba mashabiki wote wa Lowassa ukiondoa waliopewa pesa wengine hamnazokabisa, unaulizwa Lowassa kaifanyia nini Monduli kwa miaka 25akiwa waziri na waziri Mkuu? unajibu Magufuli hajui Tanalec ni kiwanda cha vifaa vya umeme uliambiwa Magufuli ni Malaika?

Jibu lako na swali ni maji na mafuta hayawezi changanyika pamoja, pole sana hata hivyo mtaelewa tu uchizi wote utakwisha wiki mbili zijazo na huyo anayewadanganya mkalinde kura zenu mwambieni atangulie yeye mke wake na watoto wake nyie muwe nyuma yake ndiyo muende asipokwenda mjue ule msemo usemao akili ya kuambiwa changanya na ya kwako. " TPX JIHADHALI" TPX NAFUTIKA" BADO MMOJA.
 
haa haa rwanda si chochote kwa lipi?

Hapo ndiyo ninapo wapenda wasomi waleo hivi hata kama ni chizi unaweza linganisha Sungura na tembo kwa vigezo vipi? HATA HIYO RWANDA MNAYOSHOBOKEA HAMUIJUI NENDENI MKAONE RAIA WA KAWAIDA WANAVYOSOTA HUKO HUO MKOA HAUNA UHURU HATA KIDOGO NA SIIPENDI RWANDA HATA BURE SITARUDI TENA HUKO KILA MAHALI ASKARI WAMEVALIA KIVITA NA WAPO STANDBY SITAKI KABISA KUISIFIA NCHI ISIYO NA DEMOKRASIA, HUYO CHIZI WENU ANGEKUWA RWANDA SIKU NYINGI TUNGESHASOMA HITIMA YAKE LAKINI HAPA NCHI ILIYOBARIKIWA MNATUKANA SERIKALI TUNAWAANGALIA TU MNASEMA CHOCHOTE HAKUNA BUGHUDHA NENDENI KWA KAGAME KAMA ITACHUKUA NUSU SAA HAMJAWASILIANA NA BABA WA TAIFA.
 
We Bulembo rudi kwenye fiesta!

Sikiliza wewe limbukeni usojua chochote kampeni za CCM zimepengwa kisomi kwa maana kwamba kokote duniani muziki hutumika kuwatayarisha watu kisaikolojia kusikiliza ujumbe uliokusudiwa, lakini kwakuwa ninyi na genge lenu elimu hiyo hamna mtalalamika ni fiseta lakini ujumbe wetu tunawapa na tunaeleweka nenda hata kanisani unapigiwa muziki kwanza kisha mahubiri yanakuja nenda jeshini unapigiwa brass band kwanza ndipo unapewa maelekezo ambayo utayafanya kwa nguvu zote kutokana na nyimbo ulizoimbiwa za kukujenga kulingana na ulichoambiwa au utakachoambiwa, Wakati wa vita nyimbo za hamasa hutumika sana kumtayarisha askari kupigana bila woga na pi wakati wa msiba nyimbo za maombolezo huimbwa ili kufikia kilele cha maombolezo sasa hapo nadhani umenielewa japo siyo lazima uelewe maana ubongo wako umetikisika.
 
Back
Top Bottom