Lowassa kaachiwa Nchi?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Rais Kikwete yuko nje ya nchi, na Shein naye yuko nje ya nchi (sijui Shein aliondoka lini na sina uhakika anarudi lini), sasa nchi kaachiwa Lowassa.. atafanya uteuzi wowote kama ule aliodaiwa kufanya wa Edward Hosea? Je ni nafasi yake ya kutumia madaraka makubwa kidogo aliyonayo kufanya atakalo?
 
Kumbe hukujua haya?

Lowasa na Kikwete wanajiita co-presidents of Tanzania.
Kikwete anasafiri nje ya nchi kwa mamilioni "akiomba misaada" na Lowasa anasafiri mikoani akitumbua hiyo misaada iliyopatikana.

Rostam yeye kwa vile sio mweusi anafanya mambo kimyakimya kwa kutumia pesa zake na vyombo vyake vya habari.

Nchi imeliwa!

Kikwe
 
Hizi ndio siasa za kutukana matusi ya nguoni kwa watanzania, kumbuka hawa waheshimiwa hawapindua utawala uliotangulia walichaguliwa kihalali!
 
Rais Kikwete yuko nje ya nchi, na Shein naye yuko nje ya nchi (sijui Shein aliondoka lini na sina uhakika anarudi lini), sasa nchi kaachiwa Lowassa.. atafanya uteuzi wowote kama ule aliodaiwa kufanya wa Edward Hosea? Je ni nafasi yake ya kutumia madaraka makubwa kidogo aliyonayo kufanya atakalo?

Jamani angalau naye aweke kwenye CV yake kwamba alikuwa kaimu (I hope I'm right) rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa siku kadhaa. Hii ilijadiliwa na kupangwa iwe hivyo asije akakosa kazi baadaye kwani kwanja la JK linaweza kutokumkosa. Whistling............
 
Sio mara ya kwanza Lowasa kukaimu Urais!!!
 
Hizi ndio siasa za kutukana matusi ya nguoni kwa watanzania, kumbuka hawa waheshimiwa hawapindua utawala uliotangulia walichaguliwa kihalali!

Matusi ya nguoni yanahusu kutaja sehemu za viungo vya mwili katika senetensi zenye kudharirisha.
Ingekuwa sahihi kama ungesema ni matusi ya kifisadi.
 
I believe at this point EL can't do anything, the pot is hot and he afraid to touch. Unajua Lowassa ashaona kwamba Tanzania ya 2007 sio Tanzania 2005, he learned his lesson.
 
sioni ubaya wowote lowassa kuwa akiact kama prezzo, kama mnamuamini/hamumuamini rais you just got to deal with it ! kusema wont change anything rather than kuburudishana which i like !
 
Hamna ubaya JK kumwandaa Lowasa! atapateje experience?

Mi naona Lowasa ndie next prez!

Pingeni kama kawaida yenu ila ndivyo itakavyokuwa!

Tuombe uzima
 
sasa uchizi unawaanza kuwakumba wengi ! not while you are alive ??????#*#&#&# things f*cked up mayne !

kwani wee ndio uliyemchagua muungwana ??
 
Hamna ubaya JK kumwandaa Lowasa! atapateje experience?

Mi naona Lowasa ndie next prez!

Pingeni kama kawaida yenu ila ndivyo itakavyokuwa!

Tuombe uzima

Lowasa next President?
Kwa yapi mema aliyofanya mpaka sasa.
Hawa waheshimiwa wasipokuwa makini, wanaweza wasiione next term, CCM kwenyewe ni moto mtupu, umoja hawana! Washindani nao wanawakomalia!
Lets wait & see!
 
Sidhani kama lowassa will make a good president, NEVER ! hajakaa kiongozi, anaboronga sana, anatoa amri za kidikteta, HR haipandi ! lakini kuachiwa kwake madaraka ya kirais doesnt mean atakuwa rais !
 
Back
Top Bottom