Lowassa kaachiwa Nchi?

Mtu mzima akichafukwa na tumbo na kubanwa haja, akili yote hudumaa na kufikilia chooni. Kwa mashambulizi yanayoenendelea kwa mafisadi naamini akili zimedumaa, wanajiuliza tu watoke vipi na si vinginevyo.

Kuwa EL atakuwa raisi, labda rahisi!!!, rahisi kwa yeye kukubali kusaini mikataba mingine isiyo na masilahi kabla wananchi hatujamaliza kazi yetu ya kumuhukumu.

Sisi tunajadili ni lini ataachia ngazi na kufikishwa kwenye vyombo vya shelia kujibu tuhuma za ufisadi, wewe unaanza kumpamba eti atakuwa rasi. Na wewe ni mwanamtandao nini? Unatukata steam kudadeki, Kama tumbo limekuchfuka na akili ishadumaa tafuta choo kapumzike.
 
Mwanakijiji,
Mzee wa Kasungura lini atajibu swali la Mwalimu?hope mjenga hoja yupo anakusanya hoja zetu wiki ijayo amuulize kabla hajaingia katika Bunge..
kama inawaezekana mtafute katika KLH News amzungumzie Mwalimu baad aya miaka Nane..
 
Kumbe hukujua haya?

Lowasa na Kikwete wanajiita co-presidents of Tanzania.
Kikwete anasafiri nje ya nchi kwa mamilioni "akiomba misaada" na Lowasa anasafiri mikoani akitumbua hiyo misaada iliyopatikana.

Rostam yeye kwa vile sio mweusi anafanya mambo kimyakimya kwa kutumia pesa zake na vyombo vyake vya habari.

Nchi imeliwa!

Kikwe


good ol days
 
Back
Top Bottom