Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,380
- 39,333
Rais Kikwete yuko nje ya nchi, na Shein naye yuko nje ya nchi (sijui Shein aliondoka lini na sina uhakika anarudi lini), sasa nchi kaachiwa Lowassa.. atafanya uteuzi wowote kama ule aliodaiwa kufanya wa Edward Hosea? Je ni nafasi yake ya kutumia madaraka makubwa kidogo aliyonayo kufanya atakalo?