Majoja
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 612
- 186
Jamani nimebaki najiuliza.
Kwa mtu anayependa sana urais wa nji yetu hii ni muhimu kwenda kuhiji Butiama na ingalau kunena neno na Mama Maria.
Kada maarufu wa chama tawala Mzee Lowassa sijawahi kusikia kaenda huko Butiama ingalau kuonyesha gego na kumjulia hali Mama yetu Maria.
Hivi karibuni hata mabalozi wa nje walifurika huko, yeye bado tu.
Kwa nini?
Aaah , najiuliza tu!