Lowassa hajawahi kwenda kuhiji Butiama: kwa nini?

Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
612
186
Jamani nimebaki najiuliza.
Kwa mtu anayependa sana urais wa nji yetu hii ni muhimu kwenda kuhiji Butiama na ingalau kunena neno na Mama Maria.
Kada maarufu wa chama tawala Mzee Lowassa sijawahi kusikia kaenda huko Butiama ingalau kuonyesha gego na kumjulia hali Mama yetu Maria.
Hivi karibuni hata mabalozi wa nje walifurika huko, yeye bado tu.
Kwa nini?
Aaah , najiuliza tu!
12581137.jpg
 
Acha kuanika ujinga wako mkuu!

wewe lini umewahi kwenda 'kuhiji' ?

nyerere sio dini, sio mtume, sio mtakatifu, ni mtu kama ww na mimi! he wasa a man who did what is the best in this planet,

Steve jobs, isaac netwon, galileo, edson, they all did what is man supposed to do in this planet...will you go to their tombs?

acha hizo, na ww unaweza kuwa kama Nyerere na zaidi yake, kama ukijitambua...after all why Lowassa? sema usikike vunja ukimya..
 
Kweli mkubwa,
Wajinga zaidi yako ni wale mabalozi na Membe waliokuwa Butiama wiki iliyopita!!!
 
Acha kuanika ujinga wako mkuu!

wewe lini umewahi kwenda 'kuhiji' ?

nyerere sio dini, sio mtume, sio mtakatifu, ni mtu kama ww na mimi! he wasa a man who did what is the best in this planet,

Steve jobs, isaac netwon, galileo, edson, they all did what is man supposed to do in this planet...will you go to their tombs?

acha hizo, na ww unaweza kuwa kama Nyerere na zaidi yake, kama ukijitambua...after all why Lowassa? sema usikike vunja ukimya..

Kumbe wajinga hata humu JF wapo,ajabu eti Nyerere kafanya nini,ati akina Steve Jobs ndio wakukumbukwa mwe hakika wewe umezaliwa wakati wa awamu ya nne ya uraisi
 
heh heh heh nicheke mie, Kuhiji Butiama? pamekua mahala patakatifu au?
acha kuandika hoja zako zisizokuwa na kichwa wala miguu hapa... Nyerere ni binadamu kama wewe tu, so hakuna haja ya kwenda kuhiji kaburi lake, hebu niambie kwani umeambiwa mama Maria anaishi Butiama maisha yake yote? kumuona mama Maria sio mpaka uende Butiama kama Lowasa yawezekana huwa anaenda mtembelea Msasani inatosha au kuongea nae kwa simu
 
Jamani nimebaki najiuliza.
Kwa mtu anayependa sana urais wa nji yetu hii ni muhimu kwenda kuhiji Butiama na ingalau kunena neno na Mama Maria.
Kada maarufu wa chama tawala Mzee Lowassa sijawahi kusikia kaenda huko Butiama ingalau kuonyesha gego na kumjulia hali Mama yetu Maria.
Hivi karibuni hata mabalozi wa nje walifurika huko, yeye bado tu.
Kwa nini?
Aaah , najiuliza tu!

EL is haunted by many things... mojawapo ni laana aliyopewa na Mwalimu.
 
Acha kuanika ujinga wako mkuu!

wewe lini umewahi kwenda 'kuhiji' ?

nyerere sio dini, sio mtume, sio mtakatifu, ni mtu kama ww na mimi! he wasa a man who did what is the best in this planet,

Steve jobs, isaac netwon, galileo, edson, they all did what is man supposed to do in this planet...will you go to their tombs?

acha hizo, na ww unaweza kuwa kama Nyerere na zaidi yake, kama ukijitambua...after all why Lowassa? sema usikike vunja ukimya..
Nina wasi wasi na eulewa wako
Hivi did you make it past form four?
Kumlinganisha Nyerere na hao ulio wataja inahitaji akili ya form two
 
Jamani nimebaki najiuliza.
Kwa mtu anayependa sana urais wa nji yetu hii ni muhimu kwenda kuhiji Butiama na ingalau kunena neno na Mama Maria.
Kada maarufu wa chama tawala Mzee Lowassa sijawahi kusikia kaenda huko Butiama ingalau kuonyesha gego na kumjulia hali Mama yetu Maria.
Hivi karibuni hata mabalozi wa nje walifurika huko, yeye bado tu.
Kwa nini?
Aaah , najiuliza tu!
12581137.jpg

Hawezi kwenda Butiama si anakwenda kwa Nabii Joshua Nigeria mara kwa mara. Mtu aliyemlaani atakwendaje kwake kuhiji kwake?
 
Fisadi yeyote hawezi kumuenzi Nyerere, na anayejifanya anamuenzi kinafiki yatamsuta.
 
Kweli kabisa,
Kuna WANAO ENZI KUFA KWA MWALIMU

Na kuna WANAO MUENZI MWALIMU, I hope you can note the difference!!!
Na Rostamu je alishaonekana mitaa hiyo?
 
Hata Kikwete alienda katika kampeni zote za 2005 na 2010.

Nadhani Lowasa amejisalimisha kwa TB Joshwa, yule mchawi wa Nigeria.
 
Jamani nimebaki najiuliza.
Kwa mtu anayependa sana urais wa nji yetu hii ni muhimu kwenda kuhiji Butiama na ingalau kunena neno na Mama Maria.
Kada maarufu wa chama tawala Mzee Lowassa sijawahi kusikia kaenda huko Butiama ingalau kuonyesha gego na kumjulia hali Mama yetu Maria.
Hivi karibuni hata mabalozi wa nje walifurika huko, yeye bado tu.
Kwa nini?
Aaah , najiuliza tu!
12581137.jpg
Kama huna cha kuandika si uache tu siyo lazma uonekana umeandika....hasara kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom