Lowassa: Gharama za kuandaa Katiba Mpya si kubwa kama alivyosema Waziri Mkuu, Majaliwa


Kunguru Mjanja

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Messages
1,972
Likes
3,214
Points
280
Kunguru Mjanja

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2012
1,972 3,214 280
Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa amemtumia ‘salamu’ Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwamba gharama za kuandaa Katiba Mpya si kubwa ukilinganisha na mahitaji ya Watanzania.

“Wananchi wamesema Rais Magufuli aruhusu mjadala wa Katiba Mpya, lakini waziri mkuu wake amesema ni gharama sana mimi nasema gharama hizo ukilinganisha na idadi ya watu wanaohitaji jambo hili ni kubwa sana atukubalie tujadili Katiba Mpya,” alisema Lowassa huku akishangiliwa.

Lowassa, awali aliwauliza wananchi: “Tunahitaji Katiba Mpya hatuhitaji?” na wananchi walijibu: “Tunahitaji.”

“Mimi pendekezo langu ni kwamba mheshimiwa Rais kwa heshima zote akubali mjadala wa Katiba Mpya,” alisisitiza Lowassa.
 
usatrumpjr

usatrumpjr

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Messages
2,119
Likes
2,481
Points
280
Age
28
usatrumpjr

usatrumpjr

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2017
2,119 2,481 280
muda siyo mrefu watamzuia huyu mzee kwenda kwe kampeni
 
Wissman

Wissman

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2014
Messages
918
Likes
870
Points
180
Wissman

Wissman

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2014
918 870 180
Not to that extent. Watch out
 
souljah meditater

souljah meditater

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
2,153
Likes
1,993
Points
280
souljah meditater

souljah meditater

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
2,153 1,993 280
wanaogopa katiba mpya itawapotezea dira lazima wasingizie gharama
 
Feberia

Feberia

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Messages
493
Likes
184
Points
60
Feberia

Feberia

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2013
493 184 60
Kwani hao wananchi hawakuuliza alipiga kura katiba ipi kipindi kile?
 
Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Messages
3,575
Likes
4,755
Points
280
Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2016
3,575 4,755 280
Mwacheni Mheshimiwa Rais Magufuli asafishe nchi kwanza hayo mambo ya katiba yatakuja baadaye
 
Z

Zee la kitaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2017
Messages
392
Likes
195
Points
60
Age
43
Z

Zee la kitaa

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2017
392 195 60
Hivi MZEE wetu Lowasa ile mvua ya mabomu iliishia wapi; nayo inahitajika katika mjadala wa katiba mpya. Nauliza tu kupata uelewa
 
MSAGA SUMU

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Messages
4,505
Likes
11,318
Points
280
MSAGA SUMU

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined May 25, 2015
4,505 11,318 280
Alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuandaa katba kati ya 2005 mpaka 2008
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,779
Likes
25,180
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,779 25,180 280
Gharama ndiyo kichaka cha CCM
 
juvenile davis

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Messages
4,550
Likes
3,864
Points
280
juvenile davis

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2015
4,550 3,864 280
Aaah,huyu mzee anazingua tuuu,2013 hawa ndio waliotukwamisha kupata katiba mpya,,aende zake
 
S

stesheni

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2013
Messages
444
Likes
158
Points
60
S

stesheni

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2013
444 158 60
Kama gharama si kubwa agharamie yeye. Pesa alizoibia wananchi akiwa na nyadhifa za juu serikalini atumie hizo
 
Sam bm

Sam bm

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2017
Messages
286
Likes
185
Points
60
Sam bm

Sam bm

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2017
286 185 60
Huyu mzee atakuwa anachanganyikiwa, mbn hakuidai kipindi kile
 
Gamba la Nyoka

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2007
Messages
6,920
Likes
7,526
Points
280
Gamba la Nyoka

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
Joined May 1, 2007
6,920 7,526 280
EL Alishiriki kikamilifu kutunyima katiba nzuri, atuombe kwanza msamaha kwa kuipinga rasimu ya Warioba kipindi kile
 

Forum statistics

Threads 1,235,612
Members 474,678
Posts 29,228,660