Lowassa: Elimu na Ajira kwa vijana ndio ukombozi wa taifa hili!

TeamLowassa

JF-Expert Member
Nov 30, 2013
1,495
936
Wakuu kama heading inavyojieleza hapo juu. Mh lowassa amekuwa akiongelea umuhimu wa elimu na ajira kwa vijana kila apatapo fursa ya kuongelea hilo.

Tukiacha ushabiki wa kichama, Je, ELIMU na AJIRA si ndio ukombozi wa taifa hili kwa mapana yake? Katika elimu kuna mengi ila kubwa zaidi ni kujifahamu! Wakuu hasa great thinkers njooni tutazame haya maneno mawili ya mh lowassa "ELIMU NA AJIRA" tuachane na ushabiki wa namna yeyote ile!

Nawaasa great thinkers tuwe wapole, wasikivu na kutafakari!

Karibuni wakuu wote!
 
Kwa kuanza, ELIMU na AJIRA zina "multiplier effect" katika maendeleo ya taifa lolote lile duniani! no doubt at all! Labda prof Ibrahim lipumba na product zake za kiuchumi wanaweza kutuelezea hili kwa upana zaidi!
 
Mkuu Ng'wana, ukimuondoa yule Pasco mwenyewe ambaye ni real, na mimi Pasco wa Jf, wote tuko bold enough kutojifungia chini ya uvungu, chini ya meza, kochi, ndani ya kabati au kujifcha nyuma ya mlango kwa pen names!. Kuhusu Lowassa mimi Pasco wa jf niko very open tena bonafide genuine kuwa kwa CCM , EL ndio the one and only best they have, but due his frail health status, he is not the chosen one , anachofanya kwa sasa ni kuyanyoosha tuu mapito ya yule yuajaye!.

Jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa Jiwe kuu la pembeni.!.
Pasco.
 
Mkuu Pasco inaonekana huku jukwaani wewe ni jembe linalosapoti EL na hv kuna member mmoja anaona hii id ni yako ..... hii id si yako na hata mm binafsi sijui kama wewe unamuunga mkono el hadi hapa leo niliposoma comment yako kwenye huu uzi. Safi sana mkuu! Kuhusu afya ya el sioni kama kuna tatizo sana kwa sababu kama afya yake hiyo bado haimzuii kuwajibika kwa watz sasa kuna tatizo gani hasa. Mkuu Pasco watz karibu wote wana matatizo ya kiafya ila tu uzuri wake ni kuwa bado wanamudu kutekeleza majukumu yao kama kawaida. Pasco unakumbuka ule msafara wa viongozi wetu kwa babu wa loliondo? Unakumbuka kile kimbembe cha mkuu wa kaya kuanguka mara mbili kwenye hekaheka za kutafuta uraisi? Mbona kuanguka kwAKE hakujatoa shaka ya yeye kuwa mkuu wa kaya. Afya ya lowassa bado sio kigezo cha yeye kukosa nafasi ya kuongoza taifa hili kama rais wa Nchi. Afya yake inamruhusu pasipo shaka, msiwe na shaka na hili kabisa. EL URT president 2015!
 
Last edited by a moderator:
dah,hii id ni kwere!!haya mzee,heshima kwako

Sio kwere mkuu, ni id ya mawazo ya anaesapoti mawazo ya lowassa kuhusu taifa hili. Ni kama pro-chadema wanavyosapoti mawazo ya kiongozi wao Dr.W.Slaa na akina zitto na mbowe na wengine wengi!
 
Last edited by a moderator:
Huyu mtu mm sioni kama anaweza kuwa shujaa tena maana muda wote aliokua madarakani alishindwa kufanya mambo hayo naona sasa anajipambanua kwamba kuna mambo anayoyaona .Wazo la shule za kata tunaona ni nn kinachotokea labda waje na wazo la viwanda vya kata nafikiri litakua zuri.Kwa sasa naona huyu jamaa hatakua na nguvu sana kwa hili ila atafute tu mtu ambaye atamsapoti
 
And there is a TeamLowassa...? incredible... I need to start my own godm@#$n team now..

Hii kauli mbiu ya ajira kwa vijana watanzania walishaizoea, inatekelezwa kwenye majukwaa ya kisiasa tu hakuna jipya atakalolifanya Lowassa.
wizi mtupu

CC: Pasco
 
Last edited by a moderator:
Huyu mtu mm sioni kama anaweza kuwa shujaa tena maana muda wote aliokua madarakani alishindwa kufanya mambo hayo naona sasa anajipambanua kwamba kuna mambo anayoyaona .Wazo la shule za kata tunaona ni nn kinachotokea labda waje na wazo la viwanda vya kata nafikiri litakua zuri.Kwa sasa naona huyu jamaa hatakua na nguvu sana kwa hili ila atafute tu mtu ambaye atamsapoti
Unajua kikwazo kikubwa cha utendaji ndani ya ccm ni mfumo uliopo. Kwa mfano dr mwakiyembe na dr magufuli ndio mawaziri ambao kwa sasa ccm inawaangalia kama icon wao mbele ya wananchi, lakini bado wanashindwa kukidhi kiu ya wananachi kwa kuwa mfumo uliopo ni mbovu sana, hata lowassa mwenyewe amekua akiuponda hadharani. Lakini ukirudi nyuma kipindi lowassa alivyokuwa waziri wa kawaida bado nyayo zake hazijavutika kwa jinsi ambavyo amejipambanua kuwa ni mtu wa kufanya maamuzi magumu, kuna kipindi alisema bungeni kuwa ni heri kufanya maamuzi halafu ukalaumiwa kwa kufanya maamuzi kuliko kuacha kufanya maamuzi ukafedheheka! Kauli ambayo binafsi naiunga mkono sana, na hata inawezekana mahasimu wakubwa wa ccm yaani chadema wanatumia haya mawazo ya lowassa ya kufanya maamuzi! Mwamko wa mabadiliko unaofukuta nchi nzima sasa hv ni matokeo ya mawazo ya lowassa kuleta wazo la shule za kata. Lakini pia sio rahisi kujiuzulu katika nyadhifa kubwa kwa taifa hili, yaani uwaziri mkuu, lakn lowassa aliweza kujiuliza. Mkuu usione kama hili ni jambo dogo kwa siasa za tz. Wangapi wanaandamwa na kashfa kubwakubwa lakini wala hawana muda wa kufikiria kujiuzulu!
EL NI KIONGOZI SHUPAVU SANA KUWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA TAIFA HILI
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom