Lowassa: CHADEMA iachane na uanaharakati na maandamano

lendomza

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
396
228
July 09 2016 Waziri mkuu wa zamani na aliyekuwa mgombea urais kupitia CHADEMA, Edward Lowassa amekutana na umoja wa mameya na wenyeviti wa halmashauri wa CHADEMA.

Wakati akizungumza nao Lowassa amesema chama hicho kinatakiwa kiachane na uanaharakati na maandamano ili kiweze kujipanga kuchukua nchi 2020, Lowassa amesema...
>>>’Chama cha siasa kazi yake ni kukamata dola basi, hakuna kitu kingine duniani, vision ya chama cha siasa ni wanasiasa kukamata dola, mnapokaa hapa mjiandae kukamata dola na sio kitu kingine, acha habari ya maandamano, maandamano ni process’

Mbowe, unamwelewa huyu rafiki yako kipenzi??? au ni ile :eek:ver my dead body!!!!!hahahah
 
Lowassa utakamata dola bila kuwahamasisha watu wakuunge mkono, wakutambue? How do you go about winning the masses without making political awareness by mass political rallies! Wakae maofisini wasubiri 2020! Wakati CCM imejionyesha kwa wananchi miaka 50! No Mr. Lowasa! Both should go hand in hand!
 
CCM kila siku wanafanya kampeni ktk vyombo vingi vya habari ...
 
July 09 2016 Waziri mkuu wa zamani na
aliyekuwa mgombea urais kupitia CHADEMA,
Edward Lowassa amekutana na umoja wa
mameya na wenyeviti wa halmashauri wa
CHADEMA.
Wakati akizungumza nao Lowassa amesema
chama hicho kinatakiwa kiachane na
uanaharakati na maandamano ili kiweze
kujipanga kuchukua nchi 2020, Lowassa
amesema…….
>>>’Chama cha siasa kazi yake ni kukamata dola
basi, hakuna kitu kingine duniani, vision ya
chama cha siasa ni wanasiasa kukamata dola,
mnapokaa hapa mjiandae kukamata dola na sio
kitu kingine, acha habari ya maandamano,
maandamano ni process’

mh mbowe,unamwelewa huyu rafiki yako kipenzi??? au ni ile :eek:ver my dead body!!!!!hahahah
HAYO NI MANENO YAKO SIO YA LOWASSA
 
Acha kuchanganya habari nyie ndio mnao potosha umma.

Amesema wajikite kwenye kitekeleza majukumu yao na target zao .

Ushauri pia umetolewa kwamba wajitahidi sana kubalance shughuli za kijamii na majukumu ya kisiasa wasiegemee upande mmoja wa siasa
 
Lowassa utakamata dola bila kuwahamasisha watu wakuunge mkono, wakutambue? How do you go about winning the masses without making political awareness by mass political rallies! Wakae maofisini wasubiri 2020! Wakati CCM imejionyesha kwa wananchi miaka 50! No Mr. Lowasa! Both should go hand in hand!
Kwan wanajulkana kwa maandamano au utendaj? Istoshe kuna muda na sehem za kuuza sera siyo maandamano... Km kwel maandamano n mazr kwann tusiwaone na wao wakiwa na ndg zao wakiandamana?
 
Lowassa utakamata dola bila kuwahamasisha watu wakuunge mkono, wakutambue? How do you go about winning the masses without making political awareness by mass political rallies! Wakae maofisini wasubiri 2020! Wakati CCM imejionyesha kwa wananchi miaka 50! No Mr. Lowasa! Both should go hand in hand!
Kupiga deki barabara hakuhitaji maandamano
 
Back
Top Bottom