lowassa:chadema iachane na mandamano na uanaharakati

lendomza

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
396
228
July 09 2016 Waziri mkuu wa zamani na aliyekuwa mgombea urais kupitia CHADEMA, Edward Lowassa amekutana na umoja wa mameya na wenyeviti wa halmashauri wa CHADEMA.

Wakati akizungumza nao Lowassa amesema chama hicho kinatakiwa kiachane na uanaharakati na maandamano ili kiweze kujipanga kuchukua nchi 2020, Lowassa amesema…….

>>>’Chama cha siasa kazi yake ni kukamata dola basi, hakuna kitu kingine duniani, vision ya chama cha siasa ni wanasiasa kukamata dola, mnapokaa hapa mjiandae kukamata dola na sio kitu kingine, acha habari ya maandamano, maandamano ni process’


Mh Mbowe nafikiri utakuwa umemwelewa rafiki wako kipenzi !!!au ni ile:eek:ver my dead body!!!!!hahahaaaaaaa
 
Uzi huu hutapata wachangiaji wa upande wa CDM.... namuheshemu sana mzee Lowassa pamoja na kwamba sikuzikubali mbinu zake za kuwania urais pamoja na tabia yake ya kupenda madeal nilikuwa na mahusiano na accountant mahali fulani alipokuwa anakuja kuchukua posho mpaka kuna wakati aliekuwa boss wapale akimuona EL alikuwa anawambia wafanyakazi waseme hayupo....
 
Back
Top Bottom