kapotolo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 3,727
- 2,213
Tatizo hamaanishi anachoongea, matendo yake ni kinyume na anachosema, kama kweli kabadilika atuombe radhi watanzania na arudishe kila ambacho amekipata isivyo halalihata kama ni jamaa ni fisadi,anaposema ukweli basi anasitahiri pongezi.
Hakuna binadamu mkamilifu duniani, hilo ni lazimatuliellewe.
Mbona viongozi wengine akiwemo Membe wamekaa kimya na wizara zao?
Jamaa kaongea ukweli, hata mkikataaa huo ndio ukweli.
Nakumbuka hata kule Arusha jamaa alitoa tamko kali sana la kuomba CCM na CDM watafute njia ya kukaa pamoja ili wamalize tofauti zao.