ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 642
Kweli methali ya,wahenga iliyosema shukrani ya punda mateke imetimia baada aliyekua mgombea urais kupitia CHADEMA bwana Edward Lowassa kutengwa na uongozi wa juu wa chama hicho.
Inadaiwa Lowassa ameanzwa kutengwa tangu alipokua analazimisha mtu wake ndugu salim mwalimu apewe ukatibu mkuu lakini akakataliwa na muasisi wa chama hicho mzee Edwin Mtei na mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe. Baada ya hapo tu jitihada za makusudi zilianzishwa chini kwa chini kwa lengo la kumtenga au kumuweka mbali ma chama.
Inaelezwa kua hatua hiyo haiwakufurahisha baadhi ya wanachama wa ccm waliohama nae kutoka. CCM kama vile bwan hamis mgeja na Ole Medeye ambaye hivi karibunia alitimka kwenye chama hiko huku ikielezwa bwana Hamis Mgeja nae akiwa mbioni kurudi CCM.
Hatua hiyo ya kumtenga lowassa imeonekana dhahiri baada ya umoja wa wanafunzi wa chuo kikuu ambao ni wanachama wa CHADEMA kumualika lowasa na mbowe na Mbowe lakini Mbowe alipoulizia nani ataku mgeni rasmi katika mahafali hayo alijibiwa ni Lowassa akasema kama mgeni rasmi wanataka awe Lowasa yeye hatahudhuria na atawakataza viongozi wengine na wabunge kuhudhuria mahafali hayo.
Hatua hiyo ya kumtenga Lowassa inadaiwa ni kumzuia kugombea uenyekiti katika uchaguzi mkuu ujao mpango unaoratibiwa na mwenyekiti wa sasa ambaye hataki kuona anapata upinzani hivo anataka kuwa mgombea pekee katika nafasi hiyo.