Lowassa atawatesa CCM milele

Mkuu Nyani Ngabu tuhuma bila ushahidi ni sawa na kujaza maji kwenye tenga. CHADEMA walipomtuhumu kipindi hiki walifuata mkumbo wa CCM. Ushahidi ulipokosekana, CHADEMA wakagundua kumbe CCM walikuwa na chuki binafsi na Lowassa has baada ya kujiuliza maswali yafuatayo:

Umeuliza CHADEMA walimtuhumu lini, nimekujibu kwa kukuwekea video kabisa.

Walau sasa umejua kuwa walimtuhumu. Na walifanya hivyo kwa muda mrefu sana.

1. Kama Lowassa ni fisadi mbona hafikishwi mahakamani (sasa mahakama ya mafisadi)?

Kwani mafisadi wote tayari washafikishwa mahakamani?

Binafsi ningependa afikishwe mahakamani na Tundu Lissu aitwe kama shahidi maana yeye ameshakubali kuwa ndiye aliyeandika ile orodha ya mafisadi.

2. Mbona Nape alisema CCM watamvua gamba lakini walishindwa?

Hukuona walivyomkata pale Dodoma?

Ndipo ikaja kugundulika kwamba kumbe ilikuwa ni janja ya CCM kutaka kuwatoa CHADEMA kwenye laini kwa kumzulia Lowassa tuhuma za uwongo ambazo hawawezi kuzithibitisha mahakamani.

Imegundulika lini? Baada ya CHADEMA kumchukua na kumfanya awe mgombea wao?

Mnamsafisha sasa hivi kwa sababu tu yupo upande wenu.

Hamna lolote!
 
Umeuliza CHADEMA walimtuhumu lini, nimekujibu kwa kukuwekea video kabisa.

Walau sasa umejua kuwa walimtuhumu. Na walifanya hivyo kwa muda mrefu sana.

Kwani mafisadi wote tayari washafikishwa mahakamani?

Binafsi ningependa afikishwe mahakamani na Tundu Lissu aitwe kama shahidi maana yeye ameshakubali kuwa ndiye aliyeandika ile orodha ya mafisadi.

Hukuona walivyomkata pale Dodoma?

Imegundulika lini? Baada ya CHADEMA kumchukua na kumfanya awe mgombea wao?

Mnamsafisha sasa hivi kwa sababu tu yupo upande wenu.

Hamna lolote!
Nimekuuliza swali moja tu rahisi badala yake unazunguka mbuyu: Je, kama Lowassa ni fisadi mbona hamjamfungulia mshitaka mahakamani?
 
Lowassa ni mwanasiasa aliyekomaa kisiasa kwa hiyo lazima atuumize ndo maana mikutano tumezuia kwani huyu mtu siasa anazijua namna ya kuzichanganya karata zake. Anayesema hatuumizi sawa tumruhusu aende mikoani kuwashukuru wapigakura waliopigia japo hakushinda ndo tutajua anavyotutesa.
Hilo ni jinamizi na ndoto mbaya kuliko zote ambazo CCM wamepata kuota!
 
Hivi@lizabon yuko wapi au buku 7 zimefika kikomo. Maana huyo huwa akimuona lowasa huwa anajinyea
Amezira baada ya boss kuruka viunzi na kuteua mtu kutoka upande mwingine akiwaacha akina Lizaboni wakipiga miayo!!
 
Back
Top Bottom