Lowasa anajaribu kwa njia isiyo ya wazi kutuambia yeye ana dawa ya kutatua matatizo yanayotuzunguka vijana. Huyu jamaa mimi binafsi sina imani naye ingawa anayoongea yana mantiki. Mbona hata JK alikuwa na sera za aina hiyo hiyo? Huyu jamaa ni opportunist na tukimpa dola atashughulikia maslahi ya wafanya deal wenzake na kutusahau
Jamani tuache masikhara! Huyu mzee anakubalika.Toka 120 hadi 200mil. simchezo! Asante kanisa r.c kuvuka lengoKiongozi huyo ambaye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi katika harambee hiyo iliyokusanya sh. milioni 200 na kuvuka lengo la sh. milioni 120, alisema kwa sasa tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana hapa Tanzania limefikia zaidi ya asilimia 30, ikilinganishwa na wastani wa asilimia 21 wa tatizo hilo linalozikumba nchi zote za Bara la Afrika.
Huu ni upuuzi,upuuzi mtupu! Mimi ni mkatoliki lakini hii haivumilki! Kanisa lisipobatilisha haya litakuwa limeoza!! Watu wanataka tuone adui wa yote haya ni JK tu,wanataka tumuone Jk kama shetani! Haikubaliki tunajua matatizo yetu ya msingi pamoja na JK kuchangia lakini sasa wanataka kututumia kuhalalisha dhambi zao!! Sisi sio wapuuzi!! Wanatuvuruga hawa!
Watu kama Mwalimu ni wachache africa....Na ndio tunawatafuta.Nasema hiyo ya kungatuka ni ndoto kwa kweli...
Halafu kingine cha ajabu sijawahi kuona unemployement rate ya Tanzania...Economy indicator ya muhimu tu ambayo sisi hatuaitambui.A high population growth poses asignificant challenge. Roughly half of Tanzania's population is 15 years or younger, which raises the dependency burden, and creates additional unmetdemand for youth employment.High levels ofpopulation growth also imply increased demands for social services in thefuture. This is especially true for the urban areas where a rapid influx ofpeople increases the stress on institutions already struggling to cope withdelivery of basic services such as sewerage, clean water, schools, and healthcare.
Alichokifanya Lowassa ni kitendo cha ujasiri kuwazindua watanganyika kuna matatizo ambayo yakiachiwa yanaweza kuleta machafuko siku za mbeleni.
Unemployment especially youth unemployment, social marginalisation especially for muslims, the gap between rich and poor and finally corruption are key factors zitakazochangia kuleta machafuko nchini kama viongozi wetu hawajachukua hatua madhubuti kutatua.
Huo utabakia ukweli mkuu tena kwa mujibu wa tafiti nyingi zinazofanyika nchini.
Mmasai na Msukuma hawana Urafiki kihivyo Kwani Wana uadui AsiliaBaada ya uchaguzi mkuu wa chama 2012 tunamaliza kesi kwa kumpa u chifu wa Kabila la wasukuma pale Bujora EL 2015 CCM.
Hapo sasa!Kumbe anatwanga kotekote.
Duh! Naona Kikwete nae alienda kutembelea kanisa katoliki: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/192374-kikwete-azindua-mradi-wa-umeme-uliojengwa-na-kanisa-katoliki.html
Hiki kipande ni kwa mujibu wa World Bank...Yani nusu ya wananchi wa Tanzania ni miaka 15 ama chini...Tuliona picha za kule Mbeya jinsi ambavyo asilimia kubwa ya waliokuwa front lines na chupa za maji nk ni vijana wenye kati ya umri huo...
Kuanzia sasa,na miaka mitano ijayo pandora box litafunguka na mshike mshike lazima iwepo given un equal distribution of wealth.Tena huku serikali ikimilikiwa na watu binafsi...Tuombe uzima mtaona...Hizi ni data za 2010!
Halafu kingine cha ajabu sijawahi kuona unemployement rate ya Tanzania...Economy indicator ya muhimu tu ambayo sisi hatuaitambui.
Invisible,
Watanzania ni watu wa ajabu sana na naweza kukuhakikishia hakuna msafi. Hivyo Lowassa hana tofauti na watanzania wengi. Rostam na Lowassa wametukanwa mafisadi lakini Symbion inamezewa mate. Akina Mwakyembe wanajiita wapambanaji lakini wakipewa uwaziri huwasikii tena. Chadema wanajifanya wapambanaji wa ufisadi lakini wao ndio wa kwanza kupeleka muswada bungeni wa kuomba maposho zaidi. Waadilifu ni wachache sana Tanzania kila mmoja ni mchumia tumbo tu usijiumize kichwa mkuu. Tumejaa unafiki na uongo ndio maana tunadharaulika na hata majirani zetu na jumuiya ya kimataifa.