Lowassa atabiri vita Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa atabiri vita Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BONGOLALA, Nov 13, 2011.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,486
  Likes Received: 1,850
  Trophy Points: 280
  EL amesema hayo mwanza alipokua mgeni rasmi kuchangia kanisa katoliki, kukosekana kwa ajira kwa vijana ni bomu linalotarajia kulipuka wakati wowote hivyo kusababisha vita nchini.

  Kuna vijana 2.5m wasio na ajira!

  ==========
  UPDATED:

  Na mwandishi wa FikraPevu.com

   
 2. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 612
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Kwa mara nyingine tena Edo amerudia kauli yake juu ya tatizo la ajira kwa vijana kuwa ni bomu linalosubiri kulipuka. Amezungumza hayo akiwa kwenye harambe ya kanisa huko Mwanza.
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,890
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hata yaliyotokea mbeya ni rasha rasha za hilo bomu la ukosefu ajira kwa vijana.
   
 4. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  It's really confusing! Nashindwa hata kuandika...
   
 5. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,940
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  .....Kama YOHANA MBATIZAJI...... kikikiki
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,250
  Likes Received: 15,065
  Trophy Points: 280
  Lowassa anataka kuingia ikulu kwa mtutu?
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 28,805
  Likes Received: 28,912
  Trophy Points: 280
  Tazama hapa bomu hilo limeshalipuka Kenya [video]www.youtube.com/watch?v=va5K54TNU5k[/video]
   
 8. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,940
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Andika tu!!!itatusaidia kutuliza mabomu yasilipuke
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,828
  Likes Received: 576
  Trophy Points: 280
  miaka 10 na mkapa.

  miaka 2+ na 'msanii'

  hilo bomu halikuwapo? au zile mvua za 'kufua' ziliishia wapi?

  kwanza amechangia bei gani kwenye harambee?
   
 10. B

  Bundajo JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  He was once in the JK's team and he ended up in embezzling public funds which prompted his embarassing exit.
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  @Invisible, tuko pamoja. Very confusing! Increadible!
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,828
  Likes Received: 576
  Trophy Points: 280
  Lowassa lazima amkane Kikwete na mambo yake yote ndiyo tutamfikiria hata kuwa balozi wa nyumba kumi mwaka 2015.
   
 13. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  ZD,

  Udhaifu wa JK unasababisha hata wale walioonekana ni wabaya waonekane Malaika. And they know how to play this game, I'm speechless!

  Tusaidie JK, ng'atuka mkuu... Tunaelekea kubaya kama taifa, unaweza usielewe nini kinaendelea au unaambiwa unapuuza lkn dalili si nzuri kwako!
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Lowasa is very intelligent politically.

  Now anataka kutumia mtaji wa vijana. Kama mwanasiasa anataka tuamni kuwa yuko very concened na "vijana".

  VIpi Kuhusu wazee amabao walitumikia serikali na makampuni binafsi na pension zao wanazopata sasa wanaishi maisha ya ajabu. Au sababu wazee hawana uwezo wa kurusha mawe.

  Labda walio karibu yake wamuulize hilo bomu la ajira kwa vijana limeanza hasa kutengenzwa mwaka gani?
   
 15. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,966
  Likes Received: 889
  Trophy Points: 280
  People have a gut to call this fund raising speacilist and talk politics? Naona CMG amejiingiza rasmi kumpa shavu huyu bwana. Bila yeye jana ingekuwa ngumu kuwa Mwanza. Anyway,siasa nazo wakati mwingine zimejaa vichekesho
   
 16. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lowassa is a matured politician!

  alishauri ccm na CDM wakae arusha ili kurinda hadhi ya jiji la Arusha - Akapingwa kwa matusi na dharau matokeo yake jambo dogo sana la mumuondoa yule diwani batili limesababisha mgogoro ambao unakaribia kuwa out of control!

  Hivi sasa ameshauri juhudi za maksudi zifanyike kuondoa tatizo la ajira kwa vijana - anaanza kuambiwa anatafuta urais ndio sababu anasema hayo!! watu wanaosema hayo wanaona kabisa jinnsi miji mikubwa ya Tanzania ilivyojaa pet traders kazi ambazo zingefanywa na wazee wasio na nguvu badala yake zinafanywa na vijana wenye nguvu!
   
 17. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #17
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,940
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Asante......its True.....lakn hiyo ya kungátuka ni kama ndoto.Sio utamaduni wa kiafrika...Mara nyingi huwa wanasubiri damu imwagike kwanza.Tuombe Mungu atunusuru WaTZ waendelee kuwa wapole
   
 18. C programming

  C programming JF-Expert Member

  #18
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,439
  Likes Received: 1,329
  Trophy Points: 280
  nampenda sana lowassa is so interligent amesoma arama za nyakati
   
 19. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #19
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu unajua nawe unazidi kutuchanganya, ina maana kuna vitu unajua lakini unashindwa hata kuandika au ?
   
 20. Dickson Mpemba

  Dickson Mpemba JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Baada ya uchaguzi mkuu wa chama 2012 tunamaliza kesi kwa kumpa u chifu wa Kabila la wasukuma pale Bujora EL 2015 CCM.
   
Loading...