Elections 2015 Lowassa ashindwa kuhutubia Geita

Ugonjwa ndo tatizo, mzee anatetemeka mwili mzima siku hiyo hali yake ilizidi kuwa mbaya.
 
Akiliccm ni ugonjwa mbaya kuliko kansa, akiliccm huondoa fikra za kibinadamu, akiliccm unasifiwa kwa kujua kukariri, akiliccm unajivuna kwa kujua kutukana, akiliccm ni kujua ccm ina haki ya kutawala milele, akikiccm rushwa mbele mengine majaaliwa. AKILICCM MIMI KWANZA WENGINE BAADAE (Ndio maana wanajijali wao huku ndugu zao wakitaabika vijijini)Akiliccm UTAWALA MBELE TAIFA BAADAE... HIZ O NDIZO BAADHI YA AKILICCM
 
Jamani hii issue ya mzee kujinyea ikoje jamani? nikwamba alipatwa na nini gafla hivyo? huu ugonjwa ni waaina gani??

jaman kuna vitu sio vyakucheka mmmmh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom