Lowassa ashangazwa mikutano ya kisiasa kuzuiwa; sasa kutumia mitandao ya kijamii kuhutubia wananchi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Lowassa ashangazwa mikutano ya kisiasa kuzuiwa

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameshangazwa na polisi kuhusu uzuiwaji wa mikutano ya kisiasa akisisitiza kuwa ni kinyume cha sheria.

Kutokana na hali hiyo, ameibuka na mkakati mpya wa kuhutubia wananchi kwa kutumia mitandao ya kijamii.
 
Wangapi, hasa wapiga kura wanasoma mitandao?
 
hapa ulitakiwa u upload na video, maneno ya kuandika yana ushawishi mdogo tofauti na mtua akisikiliza, Mwambie afanye hivyo, watu wengi wanatumia mitandao ya jamii , hasahasa facebook, ajirini watu wa kuwa post, clip za video pia, huko youtube na twitter, jamiiforums, etc halafu wanaosoma wanaeneza ujumbe kwa wasiokuwa na access na mitandao.....zama za dijitali hizi,

mi naona hyo mzee apunzike tu.siasa awaachie akina tundu lisu.huwezi kuchukua dola kwa hyo style yake.km ni mitandao cdm bdo wanatumia tu.labda atuambie lengo lake nikuua upinzani na c vingenevyo
 
Asante Noted
 
Huyu Mzee ni bora apumzike tu. Siasa imeshamkataa baaasi. Pesa sake aendeleze biashara maana hapati Urais ng'oooooo!
 
Wangapi, hasa wapiga kura wanasoma mitandao?
wengi tu mbona cku hizi hata bibi yangu kule kijijini anatumia wazap,twita na fb na juzi nimemwona ka coment hapa JF. Zamani alikuwa akiniagiza mjukuu wangu usisahau kuja na lile ligazeti la nipashe, lakini cku hizi anapakua mwenyewe tu kwenye mitandao
 
mi naona hyo mzee apunzike tu.siasa awaachie akina tundu lisu.huwezi kuchukua dola kwa hyo style yake.km ni mitandao cdm bdo wanatumia tu.labda atuambie lengo lake nikuua upinzani na c vingenevyo
Mzee kawasaidia kuongeza wabunge na kuichachafya CCM halafu leo mnaibuka na kusema kaja kuua upinzani? Akyanani hii sasa haivumiliki, ngoja mzee apachimbe
 
Mimi mwenyewe nimeanza kujiimarisha kwenye ubunge wa Jimbo la Kyela 2020 kupitia mitandao ya kijamii , hii ni njia rahisi ya kuwafikia wapiga kura wasomi na wenye ushawishi kwenye vijiji vyao .

Ni hivi , kwa mfano nikifanikiwa kumfikia mtu mmoja mmoja tu msomi wa Ngonga , kajunjumele , matema , mwaya , ipande , ngyekye , boda , katumbasongwe etc , nitakuwa nimewafikia mamia ya wapiga kura , siku zote wasomi ni kioo cha jamii , ukimfikia mmoja umekifikia kijiji kizima .
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom