Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,100
- 1,195
Waziri Mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa amewataka waendesha bodaboda na watu wengine wasimwite Rais kwa sababu wanamtengezea chuki na uhusiano mbaya na watu.
Source; Mwananchi.
Source; Mwananchi.