Lowassa asaini fomu ya kutokuwa na imani na Pinda. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa asaini fomu ya kutokuwa na imani na Pinda.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Landala, Apr 21, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kuna tetesi nimezipata toka kwa mbunge mmoja wa CCM aliyekwenye kambi ya mzee Monduli kuwa waziri mkuu aliyejiuzulu kutokana na kashfa ya richmond ni kuwa Edward Lowassa amesaini fomu ya kutokuwa na imani na waziri mkuu Mizengo Pinda.
   
 2. amba.nkya

  amba.nkya JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 431
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Tutaona na kusikia mengi mwaka huu, kweli 2015 sio mbali, we need M4C
   
 3. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duh!! Si gamba hili linalotakiwa kung'oka?!
   
 4. J

  John W. Mlacha Verified User

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  si kweli ...wa ccm waliosaini wanajulikana mbunge mmoja wa kuteuliwa ndiye aliyekataa kutajwa
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Zitto ndiyo mwenye list ya majina ya waliotia sahihi. Atuambie kama kweli nayeye hana imani na Pinda
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...