TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Tumpongeze kwa maamuzi haya magumu.
Nilivyoona Lowassa nikajua siwezi kukukosa hapa.Sasahivi Chadema imeachwa kwenye "auto pilot" mode na huku fuel gauge/account inasoma "empty"...muda si mrefu pipa litaanza kuporomoka kwa kasi
hongera kiaziSasahivi Chadema imeachwa kwenye "auto pilot" mode na huku fuel gauge/account inasoma "empty"...muda si mrefu pipa litaanza kuporomoka kwa kasi