Lowassa apanda Uber kuunga mkono juhudi za vijana kujiajiri

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
IMG-20181119-WA0034.jpg

IMG-20181119-WA0033.jpg
IMG-20181119-WA0032.jpg
IMG-20181119-WA0031.jpg
 
Wanasiasa uchwara wanaweza kusema anaanza kampeni za 2020 hivyo si ruhusa kwake yeye kufanya tena hivyo mpaka kitakapofika kipindi cha campaign.
 
Ningekuwa mimi ni Lowasa ningestafu siasa na kwenda na familia yangu nchi nyingine kupumzika.Atapata kiharusi ndani ya hii nchi huyu mzee.
 
Ningekuwa mimi ni Lowasa ningestafu siasa na kwenda na familia yangu nchi nyingine kupumzika.Atapata kiharusi ndani ya hii nchi huyu mzee.
Waulize wenzako waliyombeza na afya yke wako wapi sahv

Ova
 
Tupo wengo tunaowaunga mkono..

Kiki bomuuuuu.. kaingia kwenye gari kapiga picha akatoka.

Jaribuni mengine basi.. shaaaaaa.. 😃
 
Keshaitia kimavi Uber tutegemee waziri aifungie tu uber sababu inajihusisha na siasa na kodi zake haziridhishi
 
Back
Top Bottom