Lowassa,anne kilango malecela,lembeli,filikunjombe wateuliwe kuwa mawaziri

Ka nimajembe0peleka kijijini kwa mama yako akalimie alafu ujue majembe yana tobo/tundu kabla ya kuyapekeka pitisga kidole ujue kuwa mipini itafiti?
 
Ka nimajembe0peleka kijijini kwa mama yako akalimie alafu ujue majembe yana tobo/tundu kabla ya kuyapekeka pitisga kidole ujue kuwa mipini itafiti?

Angalia ulivyokua huna malezi mema, unaongea pumba Tupu kumjibu mwenzio...
 
Alahaulah, of all leaders I have come across so far, hakuna mtu mwenye kiburi, jeuri na dharau kama lembeli. Namwombea sana apate hata unaibu waziri tu watanzania walinganishe kelele na utendaji kazi wake. Sidhani kama atachukua round hata moja.
 
filikunjombe apewe nafasi tumwone. lembeli pia. mi nashangaa sana. mtu tumjuaye kwamba hafai wa nini? jaman nchi hii ina watu wengi sana. mbona tunazunguka humohumo tu?
 
Ka nimajembe0peleka kijijini kwa mama yako akalimie alafu ujue majembe yana tobo/tundu kabla ya kuyapekeka pitisga kidole ujue kuwa mipini itafiti?[/>>KATIKA DUNIA HII KUNA BINADAMU WA AKILI NA MITIZAMO TOFAUTI..,KUNA WENGINE NI MACHIZI LAKINI HAWAKO MIREMBE,TUKO NAO MITAANI,SO SIKUSHANGAI HATA...
 
Angalia ulivyokua huna malezi mema, unaongea pumba Tupu kumjibu mwenzio...

>>umemsoma huyo eeh,yan analeta pumba tupu,lakin achana naye unajua duniani hapa daima binadamu hatuwezi kufanana.,pia kuna machiz hawajapelekwa mirembe,tunaishi nao mitaan,so achana naye.!
 
Ka nimajembe0peleka kijijini kwa mama yako akalimie alafu ujue majembe yana tobo/tundu kabla ya kuyapekeka pitisga kidole ujue kuwa mipini itafiti?[/>>KATIKA DUNIA HII KUNA BINADAMU WA AKILI NA MITIZAMO TOFAUTI..,KUNA WENGINE NI MACHIZI LAKINI HAWAKO MIREMBE,TUKO NAO MITAANI,SO SIKUSHANGAI HATA...
 
Ukisikia tu kuwa Anne Killango ameteuliwa hata ile nafasi ya unaibu waziri ujue sasa ccm ndio kwishney!!!!
 
Back
Top Bottom