Waziri mkuu aliye jiuzu(si kustaafu) E.Lowassa angejua kwamba chochote anachofanya kujisafisha anajiaribia zaidi angefuata ushauri wa bure anaoupata hapa JF.Huwe kuwadhulumu Watanzania ukajisafisha bila kuwaomba radhi kwa uwazi na kuwarudishia ulichodhulumu.Huwezi kuwaonea Watanzania ukajisafisha bila kutubu kwa uwazi.Lowassa asifikiri anaweza akaongoza nchi hii kwa mlango wa nyuma bila kujulikana.Angalia ulivyomuaribia Ubunge Dr.Batilda huko Arusha mjini,Ulivyoshindwa kumhujumu Olesendeka na Sitta.Haya yote yangetosha kumuonyesha kuwa njia yake ya pekee ya kujisafisha ni kutubu kwa uwazi kama neno la mungu linavyosema na sii kwenda kutembea nje na kuja kusema umekwenda Israel kuhiji hiyo ni kejeli nyingine kwa Mungu. Wana JF mchango wenu.