Lowassa anena, amponda Kikwete kimtindo...

Status
Not open for further replies.

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Source FB katika wall ya Edward Lowasa ambaye anajulikana kwa jina la Edward Lowasa the NEXT President of United Republic of Tanzania.
tarehe 13.10.2011 saa 12.59 pm amepost maneno yafuatayo, "siwezi kuahidi mengi kama ilivyokuwa kwa serekali iliyopo madarakani hivi sasa.
Ninachoweza kuahidi kwa sasa Ndugu zangu WATANZANIA ni hichi..."Nichague mimi na hutojutia kunipa kura yako"

Nawatakia mapumziko Mema Tumkumbuke Mwalimu na tudumishe Amani
na Upendo aliotuachiaa." mwisho wa kunukuu
 
Kiukweli mimi napenda sana lowasa ateuliwe na chama chake awanie kiti cha uraisi afu dokta slaa kwa cdm ii ndo itakuwa njia nyepesi sana kwa slaa kwenda magogoni kwaiyo wanajamvi mistake ii wakifanya magamba itakula kwao.
 
Source FB katika wall ya Edward Lowasa ambaye anajulikana kwa jina la Edward Lowasa the NEXT President of United Republic of Tanzania.
tarehe 13.10.2011 saa 12.59 pm amepost maneno yafuatayo, "siwezi kuahidi mengi kama ilivyokuwa kwa serekali iliyopo madarakani hivi sasa.
Ninachoweza kuahidi kwa sasa Ndugu zangu WATANZANIA ni hichi..."Nichague mimi na hutojutia kunipa kura yako"

Nawatakia mapumziko Mema Tumkumbuke Mwalimu na tudumishe Amani
na Upendo aliotuachiaa." mwisho wa kunukuu
Hamkumwelewa anataka achaguliwe kuwa Laigwanani huko kwao umasaini si Rais wa Tanzania.
 
hahahahahahahahahahah kudadeki kua uyaone mi nilidhani migorofa kumbe...........................
 
Source FB katika wall ya Edward Lowasa ambaye anajulikana kwa jina la Edward Lowasa the NEXT President of United Republic of Tanzania.
tarehe 13.10.2011 saa 12.59 pm amepost maneno yafuatayo, "siwezi kuahidi mengi kama ilivyokuwa kwa serekali iliyopo madarakani hivi sasa.
Ninachoweza kuahidi kwa sasa Ndugu zangu WATANZANIA ni hichi..."Nichague mimi na hutojutia kunipa kura yako"

Nawatakia mapumziko Mema Tumkumbuke Mwalimu na tudumishe Amani
na Upendo aliotuachiaa." mwisho wa kunukuu

Tumchague kwa lipi? na kwa uchaguzi upi? maana isije ikawa ni kuzeeka vibaya.
 
Mmethibitisha kuwa hiyo a/c ni yake? Otherwise thread ipelekwe kwene dust bin, I mean..swiftly.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom