lowassa ameshinda uenyekiti kamati ya mambo ya nje.wakati huo huo serukamba amemshinda ANNA KILANGO kwa kura 1 na kuwa mwenyekiti wa miundombinu.zitto ameshinda POC
Imekuwaje tena? huyu Zito kwani hakutoka nje pamoja na wenzake wa CDM?

maana ya uchaguzi huu ni kuwa MEMBE na SITTA atakuwa chini ya lowasa
ni kuwa mnaohoji source ni mimi i m a well placed source. LOWASSA kapita bila kupingwa baada ya kina ngwilizi kujitoa.
Pole MTM, kumbuka hizi ni mvua za manyunyu, pale atakapochaguliwa kuwa Rais sijui utajificha wapi.its really crazy how EL bado anaaminiwa na kupewa nyadhifa katika hili bunge
Kuanzia leo siangalii bunge kwa siku saba kupinga na kulaani ushuzi unaofanywa na watu tuliowaamini watulindie nchi