Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

Status
Not open for further replies.
Roosevelt alikuwa ame paralyze na Wheel chair yake. ..ila akachaguliwa president .. na aliisaidia marekani kipindi cha great economic depression. ...
 
Huu uzi nilikuwa naupuuzia aiseee.. Hahahahahahahaha....

Hivi huyu Mange ni nani wadau? Kwanini anakuwa si muoga kiasi hiki? Hebu chinguzeni kama mtu wa Msoga hausiki hapo.. Anajiaminije kiasi hiki? Hahahahaha... Nimecheka mimi leo Daaaahhh We acha tu...

Eti nchi itakuwa inaongozwa na Kingunge, Na kingunge na uze ule upepo ukipuliza tu anadondoka chini pwaaa..!!....Hahahahahah huyu binti wa wapi jamani.??? Eti haya basi tuseme Nchiw itakuwa ikiongozwa na Kinje...., Na Kinje Tutakapokua tukipanga foleni badala ya kupata Maji tutakuwa tukipata kete...!!!!... teh teh teh.. Huyu binti kajeruhi mbavu zangu jamani daah..!!!

BACK TANGANYIKA
 
Ugonjwa huu pia husababisha jogoo kutokuwa bukheri wa afya.
Sasa rais gani ambaye jogoo hananiliuuu?
 
Mi nampa changamoto lowassa,aitishe mkutano na wanahabari kisha asiongee chochote ashike pen na karatasi aandike Jina lake tu.Akiweza nakunya hadharani.

kipi kipya kwa wewe kunya hadharani? sanasana inadhihirisha sifa yako ya sphincter muscles kulegezwa na vitu vigumu na vyenye ncha kali vinavyoingizwa kunako maliwato.
 
Wakati wa uchaguzi usemwa watu usema mengi bila aibu wala soni.

Je tunakumbuka yaliyosemwa na kuandikwa juu ya Dr. Salim A. Salim mwaka 2005?

Kwa jinsi mtoa mada anavyoelezea hisia zake ni vigumu kuamini hoja yake zaidi ya kudhani kuwa ndiyo siasa chafu za Tanzania. Siasa za haki ni bora kwa taifa letu manake siasa chafu uondosha wagombea fulani na mbaya zaidi uishia kupitisha wagombea wasiofaa.

Shindaneni kwa haki na hoja na mkifanya hivyo mtagundua ni rahisi kumshinda Lowasa mnayemuogopa kama nini.
 
vp dada zako na mama zako kule ROMBO bado wanavuka mpaka kwenda kupata huduma za jando upande wa pili??pole sana BAVICHA FANATIC.naona kwa sababu ya ukabila na ukaskazini, hata akiguswa LOWASSA wewe mbavu zinakutekenya. nikuhakikishie tuu, hata mzikiri uchi huyo mamvi haigusi ikulu
Huwa sisi hatuzikiri hatufugi wala kufanya ibada ya yale makitu.Nashukuru kwa kukiri kwamba ukaskazini wa lowas ndio shida kwenu.Niliwahi waambia wapuuzi wa Lowasa kwamba Lowasa alidanganyika sana.Akadhani wakaskazini ni wachaga tuu...akdhani ni wengine.CCM ni ushenzi ni laana .Kwa taarifa yako Lowasa nae ni gamba tuu tunamsubiri siku ya kiama baada ya ccm kumalizana.Kwa muda huu tunachochea tuu kuni.Dada zenu kwenda kenya sio shida,km kijiji kizima kina damu ile ile,hatuwa uzao wa binamu nyama ya hamu ndio maana mbegu zetu siko zote ni strong na tayari kuwa na watu wenye kuweza pambana.Nyie baki mkizaana na dada zenu.
 
Haya tena Lady of Rage aka Mange Kimambi,ameweka wazi kila kitu bila woga wala nini.

Hebu soma hapa chini:

_______________________________

Kwanza naomba ieleweka kuwa ugonjwa sio sababu ya mtu kutopewa kazi au kunyanyapaliwa ila naomba muelewe the fact that Lowassa anadanganya wananchi kuwa haumwi na anashindwa kushare na watu ugonjwa wake ni sababu anajua ulemavu unaotokana na Parkinson disease. Yani namuonea huruma kuwa anaumwa but also nashindwa kumuonea huruma sana sababu sio mtu mwema angekuwa mwema angesema ukweli ila anadanganya sababu anajua kabisa huu ugonjwa ni mbaya sana na una undermine stability ya uwezi wake wa kufikiri.

Lowassa haipendi Tanzania nyie nawaambia mimi, Lowassa anampenda Lowassa and thats it….. Na ndo maana anataka awe Rais for the sake of kujitajirisha na sio kuongoza nchi maana anajua kabisa hatokuwa kweli hali yoyote ile ya kuiongoza hii nchi…..

Uwiii, naomba mrudi huko nyuma muone watu wote wanaosema Lowassa anaumwa wanasemaje? wanasema Lowassa anatetemeka ila hawajui ugonjwa. So nimeongea na Dr wake huko ujerumani asubuhi hii ndo akanimbia kuwa Lowassa anaumwa Parkinsons disease. Uwiii,natania nimjulie wapi Dr. wake ila ndo hivyo hizi sio habari za mtaani hizi ni uturn exclusive news….sawa eeeh.

Kwa wanaoujua huu ugonjwa wanajua kuwa hauna tiba ni ugonjwa haukuui ila ni ugonjwa ambao utaishi nao mpaka unakufa na ni ugonjwa ambao unazidi kila siku , na kumbuka Lowassa is no spring chicken and miaka 63 hivi huu ugonjwa plus uzee ni balaaaa.

Alafu mnajua huu ugonjwa Lowassa hawezi kutibiwa Tanzania maana madaktari wa TZ hawaujui vizuri lazma awe anapelekwa nje kila siku kutibiwa sasa niambie Raisi kila siku yupo hospital nje ya nchi, sisi tunaongozwa na nani kwa mfano?

Kinachotisha kati ya vyote huu ugonjwa una affect UBONGO -Huu ugonjwa unaletaga hali ya mtu kupatwa kama na dementia kiswahili sijui nisemajeyani ni hali ya mtu kuwa kama kachanganyikiwa hawezi kutumia akili yake kama mimi na wewe, sasa niambie huyu ndo raisi siku hiyo ugonjwa umechacha kawa chizi ghafla mnaskia Raisi katoa tamko la ajabu watu mnashangaaa huyu anakili kweli? kumbe kweli hana akili ugonjwa huo… Alafu sasa kwa Tanzani ni hatari maana hakuna wa kumtibu so siku vikimchachia ni hatari itabidi kusema na kiongozi nchini mpaka apelekwe huko ujerumani apate nafuu ndo arudi.

Angalia some of the sypmtons za parkinsons

Hallucinations and delusions

The most common psychotic symptoms experienced by people who have Parkinson’s disease are visual hallucinations – seeing things that aren’t there. People may see friends and relatives, pets and other animals, or buildings and places that mean something to them. Sometimes what they see appears to be reduced in size, or transparent.
People who have Parkinson’s disease may also experience other types of hallucinations – hearing voices or sounds, or smelling unpleasant odours, for example.

Some people understand that they are experiencing a hallucination, but others believe the experience is real. Some hallucinations can be relatively harmless, but others can be frightening for the person who is experiencing them, and for their family members.

People less commonly experience delusions – irrational thoughts and beliefs. They may believe that family members are plotting against them, for example, that someone is entering their home and hiding things, or that their husband or wife is being unfaithful. Delusions of this nature are very upsetting for family members, especially as they can make the person who is experiencing them become very suspicious, angry or anxious.

Parkinson’s disease is often accompanied by these additional problems, which may be treatable:

Thinking difficulties. You may experience cognitive problems (dementia) and thinking difficulties, which usually occur in the later stages of Parkinson’s disease. Such cognitive problems aren’t very responsive to medications.

Depression and emotional changes. People with Parkinson’s disease may experience depression. Receiving treatment for depression can make it easier to handle the other challenges of Parkinson’s disease.

You may also experience other emotional changes, such as fear, anxiety or loss of motivation. Doctors may give you medications to treat these symptoms.



and you know what? kwa vile anaishi Tanzania parkinson yake ita progress haraka mnooooooo.
Huuu ugonjwa ndo ugonjwa alionayo Mohammed Ali, na sasa hivi Mohammed Ali kafika stage ambayo hata kuongea hawezi tena kapewa kimasheni naskia anagusa hiko kimashine kinaongea. Sasa mko tayari Raisi ifike sehemu hawezi hata kutoa speech aongee na wananchi.


I feel sorry for him anaumwa hivi, siwezi kufurahi binadamu mwenzangu kuumwa maana Mungu bwana sio wa kuchezewa hata mie naweza kuamka kesho nna gonjwa baya zaidi ya hili. Nachosema mimi ni kwamba hata tukiweka pembeni huo ufisadi wake na mambo yake ya kupewa support na wauza unga jamani huu ugonkwa wake tu unahatarisha nchi na ndo maana anashindwa kabisa kuwaambia wananchi anaumwa.


Alafu pia huyu mzee sio mtu mzuri jamani, unajua anajua kabisa huko mbele hatokuwa na hali nzuri and still anasimama anaogombea urais anasema kuwa yeye ana afya nzuri ,kweli jamani?

Yani hapo mnavyomuona anatetemeka ni cha mtoto ndo kwanza ugonjwa umeanza huko mbele ni atakuwa anatetemeka peni tu hawezi kushika, sasa rais hata kutia saini mikataba hawezi anatetemeka , dah!! kingine nachoogopa kama anaipenda nchi yake kwanini anataka kuwa raisi wakati ni mtu mgonjwa hivi? Huko ikulu kuna nini jamaniiiiiii, tuambieni wenze na sisi labda tugombee kuna huko?

Dah embu chekini hii video ya MOHAMMED Ali ,yani ndo kafika hapa maskini na hii video ni ya 2 yrs ago naskia now ndo inasikitisha, jamani sio uzee huo Mohammed Ali na Lowassa wamepishana miaka kama 9 tu… Mohammed ali ana miaka 71 Lowasa ana miaka 62.

Mwangalieni Mohammed Ali alivyokuwa hapo jamani , na hapo mjue Mohammed Ali anaishi Mrekani ana madoctor wa dunia nzima wanamshughulia daily na na wameweza kupunguza kasi ya ugonjwa kwa kiasi kikubwa mno, sasa Lowassa kule Monduli huu ugonjwa miaka less than mitano tu atakuwa kafika hapa kwa Mohmmed Alli or else kila siku awe anapelewa ujerumani kutibiwa huku nchi inaongozwa na KINGUNGE.

Ehhh, Mkimpitisha Lowassa mjue sio Raisi wenu maana atakuwa hana hata uwezo wa kuwa Raisi ,raisi atakuwa KINGUNGE na KIngunge akiwa raisi na uzee ule ambao upepo ukipita tu anadondoka basi Raisi wetu tuseme atakuwa KINJE…. HAHAHAHAHAHHAHAHAHHAHHA…. Uwiii yani sasa itakuwa ukisimama kwenye yale mafoleni huuziwi tena maji na juice unauziwa kete za unga….eeeh….lol.

Lowassa needs to stay home maskini, acheze na wajukuu zake now, aongee na wanae now while he can speak soon hata kuongea hatoweza tena , hata akili zitamruka why asitumie huu muda na familia yake jamani? why uraisi ? kuna nini huko Ikulu jamani.

Ni hayo tu jamani mimi kama muongo Lowassa akubali kufanyiwa public testing ya parkisons’s disease amalize utata… Na hatokubali coz anajua anao ugonjwa.

Dah, I fell bad kuongelea ugonjwa wake hivi na wala haijanipa furaha but I stronglu believe LOWASSA is not presidental material na ukiongeza huu ugonjwa dah ndo kabisaaa yani, yani siku ugonjwa ukizidi maana ugonjwa una affect ubongo kabisa , kwa vile anapenda pesa siku ugonjwa ukimchachia anaweza kuwaambia benki kuu wamchapishie mabilioni yasiohesabu wamepelekee ikulu…. seriously? na kama watu wa karibu hawajui wsababu ana ficha wanaweza kudhani ni amri ya mkuu kumbe mtu ugonjwa umepanda kichwani.

Alafu uraisi ni kazi stressfull nyie lowassa kwa huu ugonjwa nawaambia lazma atachizikaaaa, nyie kumbukeni JK alivyoingia ikulu ,alikuwa young, handsome and healthy, miaka mitano tu ikulu akaanza kudondoka hovyo alizzeeka almost 20 yrs ndani ya 10yrs…Ni stress za hiyo kazi… Sasa imagine Lowassa na hali yake apewe hii kazi jamani… DAH!!

Lastly mtakuwa mmesikia kuwa CCm wameandaa debate ya wagombea wao, wenzie wamekubali na wanakwenda Lowassa AMEKATAAAA, jiulize mtanzania kwanini Lowassa amekataa kwani kaambiwa aneanda kuulizwa kuhusu Richmond pale? keshaambiwa topic ni future economic development sijui na mauza uza gani,wanaujua wenyewe. Sasa anachoogopa kitu gani mtu unataka kuwa Rais KISHA unaogopa kutetea sera zako mbele ya wagombea wenzio.

Jamani tatizo sio uwoga, Lowassa sio zero brain tatizo ni huo ugonjwa. Huu ugonjwa jamani unakula hadi ubongo sometimes inabidi mjonjwa awe anakunywa dawa za machizi kabisaaaa ili kichaa kitulie wengine hawafikii kuwa vichaa ila sasa wanakuwa very confused yani kama kachanganyikiwa , inshort Lowassa now brain yake ni very slow labda apewe speech asome ila sio mtu wa kupigwa swali la papo kwa papo ,uwezo wake wa kufikiri jambo kwa haraka au kwa kina ni mdogo sana sasa hivi na ndo hicho anachoogopa anajua kina Membe watamwaibisha sio kumshinda yani ataaibika na watu ndo watajua kuwa hayuko sawa, then itabidi akae pale huku anatikisika mikono , no maana hawezi kwenda…… Wwatu wanadhani anakwenda kupigwa maswali ya Richmond hapana anakwenda kushindwa kujibu maswali kama wenzie sababu ya huu ugonjwa….



Dah embu cheki hii interview yake na waandishi wa habari hapo juzi nyumbani kwake..

Uwiii embu mcheki vidole vinavyocheza, yani akikosea tu akaviinua mezani vinatetemekajeeee so kapata ujanja anavilaza kwenye meza ila anajisahau anaiua mkono ndo vinatetemekaaa… Na hapo ukute ndo katoka knywa madawa ndo kidogo yupo stable hizo ila ukimuta dawa zime weae off atakuwa ana shake sanaaa…Ugonjwa kuficha ni mbayaaaa sanaaaa maana unaweza kufa siku si zake… Na why ana hamu na kili kiasi cha kuficha ugonjwa????

Hii interview iko too staged soo fake, Gerald hando eti ndo anachagua nani aulize swali……why? inshort walipangwa na alishajipanga anajibu nini na ndo maana akawaita nyumbani kwake ambayo yupo comfortable raisi gani anafanya press conference nyumbani kwake…eeeeh jamani….Anyways, labda sie waongo so angeenda tu kwenye debate ya CCM akaongea kule ndo hakuna mtu kupangwa maana swali ni moja na wote mnatakwa kulijibu au mgombea mwenzio anakuuliza swali …. Hii ya kuulizwa maswali unayotaka wewe ujingaaa…. Explanation ya Richmond ndo kituooooo bora hata wangeruka hilo swali.

The only thing nachokubaliana nae ni kwamba waekeze kwenye elimu wakieza kwenye elimu tutaondokana na umaskini…. Ila sasa hii idea sio yake wala sio original ,Nyeere alikuwa na hii idea pia tatizo utendaji.

POLE LAKINI LOWASSA TAKE CARE OF YOUR HEALTH

Chanzo: Uturn blog


umepima
 
Last edited by a moderator:
uo ugonjwa afu na bro wangu nahisi anao kwa nilivyoelewa hizo dalili, sema ye anakula sana "kashumpe"
 
Pamoja na Uhuru wa kujieleza but this is too much and it will cost you despite how much you have been paid for polluting the political arena. Nsalimie huko Nakapanya ntwara uliko andikia ujumbe wako dadangu.
 
vp dada zako na mama zako kule ROMBO bado wanavuka mpaka kwenda kupata huduma za jando upande wa pili??pole sana BAVICHA FANATIC.naona kwa sababu ya ukabila na ukaskazini, hata akiguswa LOWASSA wewe mbavu zinakutekenya. nikuhakikishie tuu, hata mzikiri uchi huyo mamvi haigusi ikulu
Walas itaki aguse ikulu..ila tunamtumia tuu kuwaadhibu waswahili.Lowasa alichemka sana alijisahahu akadhani sio mkaskazini mbele ya macho ya ccm.
 
Mi nampa changamoto lowassa,aitishe mkutano na wanahabari kisha asiongee chochote ashike pen na karatasi aandike Jina lake tu.Akiweza nakunya hadharani.

Mbona waliopiga mweleka hadharani tena mara kadha leo ni viongozi? Wengine walipelekwa Ujerumani kwa matatizo makubwa ya moyo na hadi leo ni wagonjwa lakini mbona wamo. Hamukuwaona? Acheni ujinga huu. Mkimwaga mboga, tutamwaga ugali.
 
HNIC huna mkataba na Mungu kwamba kwa Kuwa unadhani u mzima leo basi utaishi miaka mingi zaidi kuliko aliyelazwa leo hospitslini! Ni shetani na wafuasi wake wa karibu tu ndio wanaweza kushabikia maneno unayoyaleta hapa! Mbona walioenda kupata operation mpaka nchi za nje ni wengi tu na wengine ni Viongozi wetu lakini Mungu amewaponya! Angalia usije ukatangulia huko unakowatakia wengine!
 
Mbona Rais wako ni mgonjwa na ameweza Urais? Ugonjwa wa Rais wako tunaujua,kwa kuwa sisi tuna akili timamu hatuwezi kuweka hadharani!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom