Lowassa anachanja mbuga mikoani peke yake

jsenyinah

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
249
338
Kwa jinsi hali inavyokwenda, CCM hawana mpango wa kupambana na upinzani kabisa.Mpinzani wao n Lowasa,wengine wote kimya kimya kabisa.

Lowassa tu ndio anayezunguka nchi nzima,wao wanatalii Ulaya! Hawana vya kusema.Ni kama CHADEMA haipo kabisa.NCCR Mageuzi nao hoi.Coverage zote kwenye mitandao ya kijamii na media zingine ni LOWASSA,LOWASSA,LOWASSA! Mara yupo Mbinga, mara Iringa, mara Songea,mara Igunga nk.

Salum Mwalimu nae kapotea,Lowassa anachanja mbuga peke yake.
 
hizi ni dalili za kuishiwa, kwanini usingetumia muda huu kumuandalia Wasira hafla ndogo kurudishwa uwanjani
bc9ebca9620f4104eda99b86c004c23d.jpg
 
Lowassa hana madhara kama nyoka wa bujora makumbusho anatisha kwa sura tu lakini hana sumu acha azunguke tu 2020
Tunampa za uso tena hataamini
Ikulu ataiona kwenye tv tu
Alishindwa uwaziri mkuu urais angewezaje?
 
Ngoja asimike mtandao wake kama ule uliousimika CCM ndio watamwelewa.
Watuulize sie,jamaa walifikia kukitisha chama.
Chadema wakifkwa na hayo watapasuka vipande,ccm kwa kuwa wamekomaa sana ndio maana walitoka salama
 
Anachanja mbuga nchi nzima peke yake kuwaelekeza wafuasi wake kufanya siasa za kiustaarabu ambazo wakina Mbowe hawazitakk hivyo hawawezi kuzunguka naye kueneza sera hiyo. Sumaye haeleweki yuko pande gani.

Note: Upinzani unapasuka. CUF pande mbili, CHADEMA pande mbili, NCCR haieleweki.
 
Back
Top Bottom