Lowassa ana-value for many ndani ya upinzani(UKAWA)

Sep 28, 2014
78
113
Chama chochote cha siasa huwa kina deal na vitu viwili ambavyo ni mosi,value for money and value for many,hivyo basi kigezo chenye nguvu kuliko vyote ni value for many.Value for many maana yake wanaangalia mtu huyu anaufuasi wa watu kiasi gani anakubalika vipi kwenye makundi yote ya kijamii ananguvu gani ya ushawishi kwa UMMA?.

mtakubaliana nami kuwa mtaji wa chama chochote cha siasa nchini ni rasilimali watu(human resources), hata kama chama cha siasa kikiwa na ilani nzuri na mvuto wa katiba yake bila ya kuwa na wanachama ni kazi bure.tukumbuke kuwa chama chochote cha siasa lengo(goal) kuu ni kukamata dola hivyo itangua ni ndoto za mchana kwa chama cha siasa kushika dola bila kuwa na rasilimali watu(human resources).

Lowassa kumkaribisha Chadema imetokana na kutimiza kigezo cha value for many kwamba anaufuasi mkubwa nyuma yake ambapo itarahisisha kwa upinzani (UKAWA) kuchukua dola kiwepesi zaidi na si kweli kwamba lowassa asingeamia Chadema upinzani wasingeshika dola simaanishi hivyo,Upinzani ungeshika lakini kwa kutumia nguvu nyingi.

Mpango tekelezi:Lowassa anaenda kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kugombea urais chadema,akipambana na Dr.slaa.Wajumbe watapiga kura.Dr.slaa atashinda.Lowassa atakubakubaliana na ataitisha press conference na kutangaza kumuunga mkono Dr.slaa.Hili kufuta propaganda kuwa lowassa anauchu wa madaraka.

Until then will be the end of the revolutionary part(ccm)..
Mpaka hapo ndipo patakuwa mwisho wa chama cha mapinduzi (CCM)..
 
Value aliyo nayo Lowasa ni uwezo wake wa kuisambaratisha CCM. Hicho tu ndicho tunachokitaka kutoka kwake! Kumbuka hata Marekani ilimtumia gaidi Osama Bin Laden kuisambaratisha Urusi.

Si mbaya kwa sasa CDM wakimtumia Lowasa kuusambaratisha mfumo mfu wa CCM. Siasa ni strategy na hii ni fursa nzuri ya kuisambaratisha CCM hata kama ni kwa mbinu chafu! Baadae mengine ndiyo yatafuata!
 
Chama chochote cha siasa huwa kina deal na vitu viwili ambavyo ni mosi,value for money and value for many,hivyo basi kigezo chenye nguvu kuliko vyote ni value for many.Value for many maana yake wanaangalia mtu huyu anaufuasi wa watu kiasi gani anakubalika vipi kwenye makundi yote ya kijamii ananguvu gani ya ushawishi kwa UMMA?.

mtakubaliana nami kuwa mtaji wa chama chochote cha siasa nchini ni rasilimali watu(human resources), hata kama chama cha siasa kikiwa na ilani nzuri na mvuto wa katiba yake bila ya kuwa na wanachama ni kazi bure.tukumbuke kuwa chama chochote cha siasa lengo(goal) kuu ni kukamata dola hivyo itangua ni ndoto za mchana kwa chama cha siasa kushika dola bila kuwa na rasilimali watu(human resources).

Lowassa kumkaribisha Chadema imetokana na kutimiza kigezo cha value for many kwamba anaufuasi mkubwa nyuma yake ambapo itarahisisha kwa upinzani (UKAWA) kuchukua dola kiwepesi zaidi na si kweli kwamba lowassa asingeamia Chadema upinzani wasingeshika dola simaanishi hivyo,Upinzani ungeshika lakini kwa kutumia nguvu nyingi.

Mpango tekelezi:Lowassa anaenda kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kugombea urais chadema,akipambana na Dr.slaa.Wajumbe watapiga kura.Dr.slaa atashinda.Lowassa atakubakubaliana na ataitisha press conference na kutangaza kumuunga mkono Dr.slaa.Hili kufuta propaganda kuwa lowassa anauchu wa madaraka.

Until then will be the end of the revolutionary part(ccm)..
Mpaka hapo ndipo patakuwa mwisho wa chama cha mapinduzi (CCM)..

Kwa strategy hizo kweli ukawa watakuwa master mind wa politics za bongo cha msingi ndo hicho lowasa kumuunga mkono slaa bonge la kick
 
Back
Top Bottom