Lowassa amwaga pombe na nyama choma kushawishi makada wa ccm wamuunge mkono-mwananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa amwaga pombe na nyama choma kushawishi makada wa ccm wamuunge mkono-mwananchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sikiolakufa, Jan 29, 2012.

 1. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mwacheni lowasa nyie''au anawafanya mnakuna vichwa???
   
 3. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ataishia kupata stroke mwache aendelee kuhangaika, kwa upande mwingine mwache aendelee kurudisha pesa zetu alizotuibia
   
 4. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  dIRECTOR VIPI AU UMEAMKA NAZO?
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  kwa hali tuliyofikia watanzania kwa sasa, Lowassa ndiye mwenye uwezo wa kututoa kutoka kwenye uongozi uliojaa NEGATIVITY nyingi kwenda kwenye POSITIVITY. Time will tell
   
 6. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kweli huyu jamaa ni natural causes tu ndizo zitakazomuondoa
   
 7. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ile habari kuwa na yeye wamemwakyembe imekaaje?
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  si alikuwa shy jana huyu mmasai?
   
 9. a

  adobe JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  acha ujinga wako.yani asile wala asinywe.jf mod tunaomba topic za el zisiwemo humu maana watu wanatumia masaburi humu
   
 10. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Kwa taarifa kutoka kwa watu wa karibu na Bro Edo, ni kuwa madaktari wamemshauri aache pombe na red meat. Nb: soko la hennessy limepungua.
   
 11. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Adobe,
  Acha topic za Lowassa ziwekwe, maana jamaa wanamuota mwanaume mwenzao usiku.

  Msije mkaanza kutembea huku unaimba Lowassa kidume Lowassa kidume! Mie sidhani kama Lowassa anajipeleka makanisani au huko anakoitwa. Wakatazeni maaskofu ma wachungaji wasimuite basi.

  Kwa akili hizo za kufikiria ndio mnataka aje rais anayefikiria kama nyinyi! Duh!!

  swali ni kua kwanini wanamuita Lowassa tu? Jiulizeni kama hamna majibu niwasaidie. ANATHUBUTU NA ANAWEZA
   
 12. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mohamed Raza jimboni Uzini anagawa Khalua, Tende na tzs 15,000 na dau lapanda kwa kila anaepita maeneo yake, huku akitoa anatangaza mie kura sinunui. sikuwepo ni taarifa nimepewa na watu wa huko
   
 13. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kumbe huyu bwana anawalaza watu macho? kila mara Lowassa, Lowassa,Lowassa mnamtaja mwanamme mwenzenu kila siku loh!
  amekua maji kama hukunywa utakoga, wako wengi ebu watajeni hatuja wasikia huyu Lowassa tena apumzike....
   
 14. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Huyu jamaa bana mimi huwa namkubali kwa kitu kimoja "UTHUBUTU" hasa kwenye mambo magumu. Najua hakuna aliye msafi nchi hii 100% ila sema wengine hawajaanikwa tu ndio maana hatuwajui. Akifanya yafuatayo mimi nitampigia kura tena nitamfanyia na kampeni japo kwa watu wanaonizunguka.

  1. Atuelezee ukweli wote kuhusu lile deal na kila mmoja alivyoshiriki. Asimung'unye maneno wala asimhifadhi mtu. .
  2. Atuahidi kuwa atafuta mikataba yote ya kinyonyaji HASA YA MADINI nakuingia mingine yenye faida kwa nchi.
  3. Aahidi kutumilikisha ardhi kwa utaratibu rahisi wa bei nafuu na sio ardhi yetu hasa yenye rutuba kupewa wageni.
  4. Aahidi kutokulipiza visasi kwa wabaya wake maana nao wanafamilia na majukum kama yeye.


  Kwa kuanzia na hayo anaweza kunishawishi kumuunga mkono.
   
 15. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #15
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mwenzake anaizunguka dunia, yeye anazunguka vijijini, safi sana, ndo vzr azijue shida za watz huko vijijini.
   
 16. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #16
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mi sijamuelewa mleta mada hii, kichwa cha habari ya mada yake ni tofauti na mada husika. Habari hiyo haijamtaja Lowasa, imetaja kigogo. Sasa mbiombio kwa Lowasa zote za nini. Ama kweli anawanyima usingizi. MUTAKI MUNANI KANGE NZILA!!!
   
 17. Dickson Mpemba

  Dickson Mpemba JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 330
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Bado hata hajatangaza mnalalamika hivyo kipenga kikipulizwa je si mtahama nchi nyinyi?!
   
 18. only83

  only83 JF-Expert Member

  #18
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nape anamuogopa sana huyu mzee..yani Nape anapozungumzia issue zinazomtachi Lowasa uwa anatazama pembeni kama kuna mtu anamsikia..lol!!
   
 19. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mtatokwa sana na mapovu mdomoni na Lowassa ataendelea kupeta!!
   
 20. Patriote

  Patriote JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Tupo watanzania takriban 40mil hv lazma wawe ni hawa hawa waliokaa madarakan miaka nenda rud??mbona hawa ndo wametufikisha hapa tulipo??au wewe ndo unataka hali hii??Lowassa kawa waziri miaka mingap??did you see any significant change au ni ushabiki tu??Hebu tufikirie wapya jaman hawa waliokwisha ishika hii nchi ktk ngaz mbali mbali tushaona utendaji wao. Nadhani hakuna utendaj unaoguarantee kututoa hapa, so far had sasa woooote wa magamba wanaelement za wizi. Bora tujaribu na wengine pls.

  Usisahau kuwa Lowassa atafanya kazi na mijizi hii hii ya magamba kuanzia ngazi ya taifa had shina, atalipa fadhira wa waliomwezesha ambao ni majiz ya siku zote. Mimi nadhan anaye mpigia chapuo Lowassa must be crazy mana hata alipokuwa waziri mkuu hakuonesha significant impact. Yeye mwache akeshe makanisan tu aone km makanisha yatamtoa, makanisha yenyewe siku hizi yameshapoteza mvuto, wao kikubwa ni pesa tu atakama mtu anapata pesa haram wao wanajifanya hawajui na wanachohtaj ni fedha kwa njia zozote. Yaan kwa kupitia makanisa njaa ndo atapoteza sifa mazima mana wengi weshaona ubabaishaj wa makanisa ya sasa. Huyu akigombea urais vijana wote tutakuwa wapiga kampeni against yeye.
   
Loading...