Lowassa amtumia JK vibaya imegundulika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa amtumia JK vibaya imegundulika.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Hasara, Oct 20, 2007.

 1. H

  Hasara Senior Member

  #1
  Oct 20, 2007
  Joined: Dec 29, 2006
  Messages: 143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Baada ya Lowassa kujua uwezo wa kufikiri wa Kikete ni mdogo na yeye kuwa mshauri wake mkuu na kujua hobi za Rais huyo,anapeda kusafiri, kuvaa vizuri, kupingwa picha, kuonekana na watu maarufu dunia, anapenda kufuraisha nafsi....n.k, basi anamwambia JK kwenda nje na kuomba misaada wakati yeye anajijengea umaaru mkubwa, na kufanyabiasha na Mawaziri anaporudi anaambia tumeka kikao na waziri husika na bodi tumepitisha hivi,MIKATABA
  sababu hiyo mikataba ina sainiwa kijinga na hizo ni haraka za Lowassa na kuwahaikishia mawazri hakuna kitakacho tokea, nchi ni yangu mimi na kikwete.

  kama kawaida yake wamesha mgundia Kikwete huwa hasomi,Lowasa ameitumia nafasi hii kama alivyo mwambia JK ampeleke mtoto wa SOKOINE kusoma Marekani na kazi ampe ubalozi Washngton DC. baada ya kujua yule mtoto alishawishiwa na wazee wakimasaai agombae Ubunge Wilaya ya Mondoli , kutokana na uswaiba wao JK alifanya hivyo mara moja , akiwa kama waziri wa mambo ya nje.

  Lowassa alijua awezi kushindana na yule mtoto wa sokoine dawa ni kumuondoa pale kwenda kusoma na ahadi nyingi za kuisaidia familia ya sokoine. pia EL soyo Mmasai ni Mmeru amekulia masaini.
   
 2. B

  BroJay4 JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2007
  Joined: Aug 27, 2007
  Messages: 236
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Lowassa hana siku nyingi,siku zake za mwisho zimefika,wote Manvi(lowassa) na Kingwendu(jk) ni mbumbumbu east and centre africa.
   
 3. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2007
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Heee! ndo hivyo!
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hasara, asante kwa ujumbe wako, lakini hapo kwenye wekundu matamshi yako miye naona yana radha ya 'kiukabila' fulani hivi.

  Nikiwa mmojawapo wa wengi wanaopinga mambo mengi ya Mh. Lowassa, nisingependa hata kidogo mambo ya ukabila yaingilie hoja za kumpinga. Ni hayo tu, asante.

  SteveD.
   
 5. K

  Katibu Tarafa JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2007
  Joined: Feb 16, 2007
  Messages: 980
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  naona kama huu ni udaku wa mchana sana,Hasara ungesubiri giza liingie kidogo,ndio utoke
   
 6. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2007
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hii nayo ni BREAKING NEWS!
   
 7. S

  SPOILA Senior Member

  #7
  Oct 20, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  no ni BREAK NEWS

  soma kicha cha habari
   
 8. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2007
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Heshima Mbele Mkuu Hasara!!,Habari yako yaweza kuwa na ukweli,Lakini unapoweka mambo ya Uongo unapoteza maana ya Habari nzima.Kwa mtazamo wangu ni kweli kwamba,Mheshimiwa Lowassa anajijengea heshima kubwa kwa Wananchi na Baraza lake la Mawaziri kwa kupitia weakness za Muungwana.Anajijenga hivyo kwa wazo la kuingia Ikulu.Muungwana analijua hili,lakini anashindwa kumchukulia hatua Lowassa ,kuna maneno kuwa Muungwana anamuogopa Lowassa.Sijui anatishika na nini,labda pesa au uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko yeye!!!!!

  Kaka Hasara si kweli kwamba Joseph Sokoine kasoma USA,Huyu jamaa kasoma Eastern Europe (Romania/Bulgaria),na hakuna anayejua aliingiaje huko Foreign,kwani mara baada ya shule yake alirudi Dar,na wakuu wakaamua kumpa nafasi Foreign kama shukran kwa Utumishi ulotukuka wa Mzazi wake(Edward Moringe),na alipelekwa Germany kwa Mahalu kabla ya kuja Washington DC.Mzee Mkapa ndiye aliyemuingiza Sokoine Foreign na wala sio Kikwete.

  Kuhusu Habari za Umeru wa Lowassa,hakuna ukweli lakini jambo hilo linasemwa sana sasa hivi,na ni kweli kwamba Joseph ameombwa na Watu wa Monduli arudi huko kugombea Ubunge!,Labda atafanya hivyo kwa kupishana na EL,wakati Lowassa akiingia Ikulu baada ya JK.Lakini hata hivyo Joseph nae kajenga heshima kubwa huko foreign,kwani last November amepandishwa cheo kutoka First Secretary kuwa Chancellor na si ajabu ukasikia anakuwa full Ambassador ili kumuweka mbali na politics za nyumbani,Kumbukeni kuwa Lowassa na Joseph wanaheshimiana kama mtu na kakaye,kwani kabla ya kuinuka kisiasa Lowassa alifanya kazi kama katibu wa Mzee Moringe.
   
 9. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  kweli hii ni break news not breaking news ! wkend spesho hii !
   
 10. Mtu Mzima

  Mtu Mzima JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2007
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Sasa wewe pointi yako ni nini hasa? kwamba Jk ni mtu safi??? WOTE LAO MOJA wadanganyika sasa wanawafahamu watu hawa vema hawawezi kuyumbishwa.Na hili suala la UMASAI NA UMERU limekujaje hapa?
   
 11. H

  Hasara Senior Member

  #11
  Oct 20, 2007
  Joined: Dec 29, 2006
  Messages: 143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Heshima mkuu ni vizuri kama mimi nimekosea basi wengine wanajua, mimi nimekulia mondoli,kusoma na hayo ndiyo niliyokuwa nina yajua kama kuna mwingine anajua zaidi ya mkuu hapa basi atujulishe kuhusu huyu mtoto wa sokoine kutongombea na aliombwa na wazee sana na lowassa alitumia ujanja.

  anaye mfahamu huyu mtoto atuwekee hapa asante kwa majibu yako mazuri .
   
 12. M

  Mkandara Verified User

  #12
  Oct 20, 2007
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hasara,
  Mimi nadhani unafanya kosa kubwa kuwatazama JK na EL badala ya kuwatazama Wadanganyika wenyewe. Sisi ndio hamnazo na hawa jamaa wanayafanya yote haya kwa sababu wanaelewa fika kwamba elimu dunia ya Wadanganyika walio wengi ni finyu.
  Kumnbuka haya maswalka EL hamfanyii JK ila atatufanyia sisi kwa hiyo huwezi kusema JK ni mbumbumbu hali anajua vizuri kinachoendelea. He is smart kwani ameweza kujenga jina lake bila kufanya kitu!
  Mimi, wewe na Wadanganyika wote ndio sababu kubwa ya Ufisadi wote. Tukiamka sisi hawa jamaa hawana mlango wa kutokea.
   
 13. N

  NakuliliaTanzania JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2007
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 560
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kazi ipo kumbe nilikuwa sijui maana yabreaking news!
   
 14. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2007
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Samahani Wakuu wote;

  Lakini nadiriki kusema huu sio tu ni udaku!!!! bali ni Upuuzi!!! content ya hii message sio tu haistahili kuwa hapa kweny jamvi takatifu la JF, lakini hata mitaa ya Msimbazi au Jangwani kwa wanasimba na wanayanga!
   
 15. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  sema wewe mkuu ! unajua siku hizi watu wanaangalia sana JK na EL, sasa wao kutumia mentality yao basing on federal leaders if u will, wanaona yale mabaya tu, kwa nini wasifanye small scale developments, waangalie viongozi wadogo na sio viongozi wakuu wa taifa, kwa mfano wakuu wa wilaya, watendaji wakuu wa serikalii za mitaa ambao wapo kaibu kabisa na wananchi ili waweze kuleta maendeleo, lakini kwa kuwa watu wanataka kushika madaraka (uroho) na sio kuleta maendeleo kwa wananchi wanadhani wakitumia jina la JK,EL ndio wataweza kufanikiwa, no way !

  kama wanataka maendeleo kwa wananchi kwanza waanze na viongozi wa ngazi za chini kwa kushirikiana nao then watafika huko ngazi za taifa, lakini leo hii uwe padre/sheikh halafu uingie siasa you expect to be the prezzo au PM within 5 years you must be crazy !

  lakini ndio tunaona hayo sasa hivi, watu wanataka madaraka kwa njia zozote ikiwemo hata kumchafulia rais jina ( hii isifananishwe na wala haina uhusiano na rais kuwakalia kimya wala rushwa ) lakini saa nyingine its too much, its more than politics ikichanganywa na personal things, na hate !

  so endeleeni, na JK keshasema kelele za wapiga kelele hazimsumbui. !

  Jamani kama kweli tunataka maendeleo basi tuanzeni ngazi za chini kwa kushirikisha viongozi wa pande zote vyama vya siasa, na sio kuona chama fulani ni bora kuliko kingine bali tuangalie maendeleo gani ni bora kwa wananchi kama sie ili tuwe proud !

  Maneno ya hate, yasiyothibika kwa kupakaza matope viongozi hayatosaidia bali kuonyesha kiasi gani tuna chuki na sio chachu ya maendeleo !
   
 16. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  sio breaking news, bali hii ni break news ( habari ya mapumziko )!!
   
 17. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2007
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Well, mimi nadhani hii Break nyuzi iko tofauti na maoni yangu. Naweza kusema El anamtumia vizuri sana JK, kwa sababu anafanya analotaka kwa manufaa yake kwa kutumia udhaifu wa JK,
   
 18. J

  JokaKuu Platinum Member

  #18
  Oct 21, 2007
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,751
  Likes Received: 4,968
  Trophy Points: 280
  Marshall ES, KadaMpinzani, Mwanakijiji,Mkandara,Halisi,Hasara,......

  Hivi mahusiano ya kiutendaji ya JK na EL yakoje? Je ni kama ya ...

  a.Bizimungu na Kagame.
  b.Nyerere na Kawawa.
  c.Nyerere na Sokoine.
  d.Mwinyi na Warioba.
  e.Mwinyi na Malecela.
  f.Mkapa na Sumaye.
   
 19. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2007
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  SteveD umeongea. Dhambi ya mtu ni yake mwenyewe, si ya kabila lake.
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  Oct 21, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,381
  Trophy Points: 280
  Jimbo la Monduli litagawanywa ili wote wawili Sokoine na Lowassa waweze kugombea.
   
Loading...