Lowassa is a disaster!pia kiukweli anaumwa japo mwenyewe anaficha,anaumwa tena ugonjwa mzito sana ambao unahitaji kupumzika muda mwingi lakini mimi namshangaa mzee wangu yule na hizi harakati badala ya kujionea huruma akatulia kuitazama afya yake;tatizo lowassa wapambe wake ndio wanammaliza taratibu bila yeye kujua,kuna watu wamemzunguka wanaamini bila yeye hawawezi kupata nafasi za uongozi,sasa wanatumia ile punda afe lakini mzigo ufike,hawamuonei huruma mwenzao wao wanatizama hatma zao za kisiasa huko mbele,hili ni tatizo!
Edward Lowassa ameaihirisha haja. Atabanwa tu na lazima atajisalimisha maliwatoni. Mukama ndiye atakayemuonyesha mlango wa maliwatoni. Kwa muda wa siku kadhaa magazeti yake aliyoyanunua yalituficha ukweli sasa Raia Mwema akamtoa paka kutoka kwenye gunia na ukweli huu unawasumbua walioamua kuuficha.