Lowassa amkosoa Kikwete

Kilimo kwanza bila wataalamu? kilimo kwanza kwa ndege ya kunyunyuzia dawa ya kukodisha? kilimo kwanza kwa pembejeo feki na zinazopatikana kwa njia feki? kilimo kwanza huku wizara ipo dar? kilimo kwanza kwa machinga complex? which is which? kilimo kwanza kwa kutegemea mvua? upuuzi mtupu, sitaki kusikia ujingab
 
hata mimi nilimsikia akisema hivyo na namuunga mkono kwa hilo lakini CCM wanajua hayo?
 
Hana lolote huyo!!!! Huwezi kumkosoa Kiongozi wako hadharani hiyo in "contradiction". Alichotakiwa ni kutafuta njia muafaka ya kulijadili hilo kwenye vikao vyao; kwani hajui kwamba yeye ni MSHIKAJI wake??????????????????Kulikoni Prezida kasema hivi na yeye amkosoe!!!!!!!!!!!!!!!!!umaarufu hatafutwi hivyo...!!!!!!!!!!! au ndio anaanza kutengeneza njia ya kwenda IKULU. Hatudanganyikiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Rutashubanyuma wewe ndo mdini mkubwa maana umeamua kutuwekea na bible kwenye picha yako-ni kweli JK ana mapungufu kibao, lakini wewe ni mbaya zaidi kwani-unataka kutupandikizia maslahi yako wana JF-hufai kabisa, mimi pia najutia kuwa sehemu ya JK mwaka 2005 na nilishiriki ipasavyo kuweka madarakani na sasa najuta-lakini si unganishi habari hizo na udini unao uleta wewe wa kijinga kabisa
Avatar ya Biblia haimaanishi ni udini wo wote...................unataka kuniambia kwa vile wengine wote ndani ya JF hawana avatar za nembo za imani za dini zao basi wao hawana udini..................................Hivi udini ni nini?

Kukosa dini na kuwa mpagani au kuwanyanyapaa wenye dini nyingine?.........tatizo lako ni upeo na jazba.............zipunguze na hapo utajua hoja za Udini ni za wale walioshiba mimi na wewe kamwe tusikubali watugawe kwenye matabaka ya udini tukasahau matabaka ya kweli ya kipato....................

Hivi huu ni udini au ninauzungumzia ukweli? Mwenye udini ni yule ambaye anataka kutuingizia haya kinyume na katiba..............................
Ninauhakika ya kuwa katika kipindi cha miaka miwili ijayo nchi hii itakuwa imejiunga na OIC na mahakama za kadhi kuanzishwa .......................mbali ya JK jana kudai ya kuwa kuna nyufa za udini na serikali yake itafanya juu chini kuzishughulikia.................lakini ukweli ni kuwa kazi kubwa atakayoifanya kwa miaka mitano ijayo ni kuzikuza nyufa hizo kwa kutoa upendeleo kwa dini yake...............
 
So Hon. Lowasa has his own priority and His Excellence President J K has his priority. The conclusion is that since we have official and non-official opposition camp in the parliament we also have Official Government led by JK with Kilimo Kwanza as its priority and non-official Government led by Lowasa with Education as its priority!!!!
 
Naomba kuungana na JK na Mzee wangu Kayanza, mtu akishiba ni rahisi kufanya maendeleo mengine, uwezi kukaa darasani na njaa asilani. NI lazima tuwe na uhakika kuwa kesho tutakula nini!! hivyo ni rahisi kukaa darasani na masomo fomula, definitions, calculas, yoote yaho yaka gota kichwani kwa makini. NJAA HAINA ADABU, watu washibe kwanza ndio akili itafanyakazi. So what I conclude, JK na Kayanza keep it up!! KILMO KWANZA MAZEEE!!

wewe unadhani uchakachuzi wa matokeo umetendeka na watu walioshiba? au wenye uelewa wa mambo
uliotokana na elimu?
kumbuka kwamba daima kushiba kupo tangu asili kwa kuwa ni sehemu ya maisha ya wanadamu, na elimu
anayoizungumzia bwana Lowasa ni ile ya kukitengeneza kizazi cha wasomi, yaani kutengeneza mazingira ya elimu
ili watoto wetu baadae wasiwe mapoza ili baadae wakiambiwa kilimo waelewa ni nini
, na wale wa ndiyo mzee, kama unavyotaka wewe, Pinda na Mkwere hasa mnaoneka ni
watu ambao mpo kwa ajili kula zaidi
 
Akitubu kwa uwazi mbele za Mungu sawa lakini isije kuwa Chui kumchekea mbuzi au Fataki kumnunulia mtoto wa shule soda.Kwa kweli Padri akizini hata atoe mawaidha mazuri kiasi gani hayatakuwa na mshiko hadi akitakaswa.
 
Kati ya JK na EL nadhani EL anatakiwa akapimwe akili zake mie naona JK yupo sahihi kuhusu kilimo kwanza kwasababu moja kuu.

1. Huwezi kuelimika kama una lishe duni

Inaelezwa na wataalamu wa afya kuwa kipindi cha ukuaji watoto wakikosa lishe bora wanadumaa Wanakuwa "stunted" na wanapodumaa wanakuwa na dumaa mwili na akili kwani katika kipindi hicho hicho akili ya mtoto inakuwa kwa kasi zaidi na inategemewa na lishe anayopata.

Short-changing children

Low weight at birth, insufficient feeding, inadequate care and nutrient depletions caused by repeated bouts of illness culminate over time in a child whose height is less than that of other children of the same age. Such stunting is a standard marker of a failure in early growth.
Deprivations in feeding and care that impair growth in the critical first years may also reduce a child’s cognitive development and learning ability, often leading to poor school performance and dropping out.
Some 39% of children under five in the developing world are stunted – around 209 million children. Stunting rates are highest in Asia and sub-Saharan Africa.
Inadequate feeding and repeated illness are the immediate causes of stunting in the young child. This vicious cycle is itself a result of poverty and the consequent inability of families to adequately care for their children. A lack of clean water supply in a poor community, or a long distance between home and health clinic, for example, affects the level of care that can be given.
Stunting also occurs when babies are born underweight because the mother was poorly nourished or because she was herself stunted.
Once established, stunting and its effects typically become permanent. Stunted children may never regain the height lost and most will never gain the corresponding weight. And when the window of early childhood is closed, the associated cognitive damage is often irreversible.

kwa msaada zaidi someni link zifuatazo ili mjue kwanini lishe ni muhimu kwa ukuaji wa mtoto na hapo hapo lishe itamsaidia kuweza kusoma vizuri shuleni..

Behavioral and Brain Functions | Full text | Cognitive development in children with chronic protein energy malnutrition

UNICEF Home

Stunted growth - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Huyu bwana anasaka uruma ya jamii, kwa kwa heheheeee teh teh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
Alipochota richmonduli alidhani shule zingejengwaje na walimu wasomeshwe.
 
Kuna kitu anakitamani mbele yake. sio wa kuamini. Ogopa huyu mtu. ana mahesabu yake!! Pesa!!
 
mi binafsi huwa namkubali sana EL, sijui aliingiaje kwenye mkenge na rostam na iyo richmond yao.
 
Hahahahahahah! Mi yangu macho ila hii miaka mitano itakuwa ya taabu na vihoja vingi ila "I HAVE A DREAM THAT THERE IS LIGHT AT THE END OF THE TUNNEL"
 
kwa upande mmoja naweza kuungana na Lowasa katika hili elimu ya darasani na elimu ya street ni muhimu ili tuweze kufanikiwa. pamoja na hayo tutafanikiwa tukiwa na uadilifu na wachapa kazi.!!
Lowassa Bravo. Mmasai tunakuheshimu kwa mawazo na mzigo unajui kuupiga shida tu ukisikia mlio wa senti imedondoka mori unakupanda. Kungekuwa na sindano ya kukuchoma ili njaa yako ipungue tungefanya hivyo halafu tukupambanishe na best yako jk hata ikiwa kupitia chadema
 
icon1.gif
Lowassa amkosoa JK...................

Gazeti la habari leo limetuhabarisha leo ya kuwa Mheshimiwa Mbunge wa Monduli ametofautiana na JK kuwa yeye anaamini nchi itangulize elimu kwanza badala ya kilimo kwanza.................................

Mheshimiwa Lowassa amesema bila ya raia kuwa na uelewa wa kutosha hata hicho kilimo kwanza utekelezaji wake utakuwa mgumu..............

Maono yangu yananiongoza kuamini ya kuwa JK hana mpango wa kumweka Lowassa kwenye baraza la mawaziri kwa sababu siyo za uadilifu au uchapaji kazi - JK hajali sifa hizo katika uteuzi zake na huzitaja tu ili kumwaga changa kwa wapigakura tu- lakini JK anamwona Lowassa atavuruga hesabu zake za kumrithisha Uraisi mzanzibari ambaye JK atamwandaa hivi sasa kwa madai ya kuimarisha muungano huku anaendeleza ajenda ya siri ya kuhakikisha maamuzi ya uanzishwaji wa mahakama za kadhi na nchi hii kujiunga na OIC hayatahojiwa na serikali inayoongozwa na mkristu...........bila ya kujali chama anachotoka................

Ninauhakika ya kuwa katika kipindi cha miaka miwili ijayo nchi hii itakuwa imejiunga na OIC na mahakama za kadhi kuanzishwa .......................mbali ya JK jana kudai ya kuwa kuna nyufa za udini na serikali yake itafanya juu chini kuzishughulikia.................lakini ukweli ni kuwa kazi kubwa atakayoifanya kwa miaka mitano ijayo ni kuzikuza nyufa hizo kwa kutoa upendeleo kwa dini yake...............

Lowassa haya yote amekwisha kuyaelewa na ndiyo maana anaonyesha ghadhabu zake kwa kutofautiana na JK hadharani.................

Unapochangia kwa nia ya kuelimisha wengingine usiwe mbinafsi wa kuruhusu fikra zako zionekane za msingi zaidi kuliko uhalisia wa kile unacholenga kuelimisha. Lowasa anamaono yake na dira yake.Labda ameshaambiwa yeye kuwa waziri tena ni ngumu ndio maana yeye anamwaga ugali ikiwa Jk kamwaga mboga. Unanipa tafakuri kubwa sana juu dhana ya UDINI. Kwa maana yako mwizi wa umma kama Lowasa kumbe kafanya sawa kwa misingi dini ya kikikristo? Au unamaanisha Lowasa akija CHADEMA ATAKUWA msafi mbele ya watanazia? Kwa hiyo CHADEMA NI CHAMA CHA DINI YA KIKIKRISTO sio!!! MWALIMU MZURI NI YULE MWENYE UWEZO KUMFUNDISHA MWANAFUNDISHA AKAELEWA ( Capable to deliver knowledge) na sio CHETI CHA UALIMU. Wewe sio muelishaji bali mfinyu wa fikra.
 
naomba kuungana na jk na mzee wangu kayanza, mtu akishiba ni rahisi kufanya maendeleo mengine, uwezi kukaa darasani na njaa asilani. Ni lazima tuwe na uhakika kuwa kesho tutakula nini!! Hivyo ni rahisi kukaa darasani na masomo fomula, definitions, calculas, yoote yaho yaka gota kichwani kwa makini. Njaa haina adabu, watu washibe kwanza ndio akili itafanyakazi. So what i conclude, jk na kayanza keep it up!! Kilmo kwanza mazeee!!

kilimo kwanza???????????? Jiulize wewe unazo ekari ngapi za ardhi [shamba??] jk anazo ekari 300 huko bagamoyo - angalia usibakie kuunga mkono wakati wenzako wana projects zao - shauri yako
 
Kati ya JK na EL nadhani EL anatakiwa akapimwe akili zake mie naona JK yupo sahihi kuhusu kilimo kwanza kwasababu moja kuu.

1. Huwezi kuelimika kama una lishe duni

Inaelezwa na wataalamu wa afya kuwa kipindi cha ukuaji watoto wakikosa lishe bora wanadumaa Wanakuwa "stunted" na wanapodumaa wanakuwa na dumaa mwili na akili kwani katika kipindi hicho hicho akili ya mtoto inakuwa kwa kasi zaidi na inategemewa na lishe anayopata.

Short-changing children

Low weight at birth, insufficient feeding, inadequate care and nutrient depletions caused by repeated bouts of illness culminate over time in a child whose height is less than that of other children of the same age. Such stunting is a standard marker of a failure in early growth.
Deprivations in feeding and care that impair growth in the critical first years may also reduce a child’s cognitive development and learning ability, often leading to poor school performance and dropping out.
Some 39% of children under five in the developing world are stunted – around 209 million children. Stunting rates are highest in Asia and sub-Saharan Africa.
Inadequate feeding and repeated illness are the immediate causes of stunting in the young child. This vicious cycle is itself a result of poverty and the consequent inability of families to adequately care for their children. A lack of clean water supply in a poor community, or a long distance between home and health clinic, for example, affects the level of care that can be given.
Stunting also occurs when babies are born underweight because the mother was poorly nourished or because she was herself stunted.
Once established, stunting and its effects typically become permanent. Stunted children may never regain the height lost and most will never gain the corresponding weight. And when the window of early childhood is closed, the associated cognitive damage is often irreversible.

kwa msaada zaidi someni link zifuatazo ili mjue kwanini lishe ni muhimu kwa ukuaji wa mtoto na hapo hapo lishe itamsaidia kuweza kusoma vizuri shuleni..

Behavioral and Brain Functions | Full text | Cognitive development in children with chronic protein energy malnutrition

UNICEF Home

Stunted growth - Wikipedia, the free encyclopedia

Mkuu ni lazima ujue kuwa kusema na kutenda ni vitu viwili tofauti. Hakuna asiyefahamu madhara ya morbidity kwa watoto, hata wanyama wanajua kasbia kuwa watoto wao wasipokula matokeo yake ni nini. It is basic knowledge, issue ni kuwa unahakikisha vipi kuwe na chakula kwa hao watoto? Atakaye fanya hili ndiye atakayekuwa right, siyo anayesema jukwaani tu.
 
Back
Top Bottom