Lowassa amezuiwa na Jeshi la Polisi kufanya kikao Rujewa

Kweli Ndalichako anasafari ndefu, kilicho andikwa hapa ni KITUSI au kiswahili? Kama ni kiswahili basi tunasafari ndefu kama taifa. IMBOMBO NGAFU NKAMU

Hao ndio wandani wa mtukufu rais!!! aka mainjinia wa Tanzania ya viwanda!!!
 
Mtoa mada napata wasi wasi na akili yako.. Ulipitia mara mbili ulichokiandika...
Cha msingi we kusanya ushahidi wako alaf kafungue kesi mahakamani... Soma katiba utajielewa siku moja
 
Thread kama hizi nikimaliza kuzisoma huwa nakasirika na kujilaumu sana.

Ona sasa mjinga kama huyu nashindwa hata nimjibu nini kwa utumbo huu aliouandika.
Maswali ni mengi na kwa akili yake kiduchu hawezi kuyajibu.
 
Kilaza huyu hana tofauti na jesca
 
Unajua ni bora tukawa wa kweli kuliko kuwa wanafiki. Ukuta na propaganda zake zote mchawi ni mmoja tu na kama huyu mchawi tutaendelea kumpigia makofi na maafisa usalama kumtisha rais eti hadhibitiki na ataleta maafa huku nikupoteza muda. Taifa letu linao vijana shupavu waliosomea ukidon ni wakati aina ya viongozi kama Lowassa kuwafungia ndani mpaka siku ya mwisho waokulikotumia taaluma na uwezo wao kutikisa taifa.

Binafsi nasema hivi Lowassa aambiwe imetosha na kama hasikii wenye kazi yao waachiwe maana sheria inaruhusu. Usalama wa taifa hili kwanza na mambo mengine yatafuata.

Ni lazima ijulikane tuna Rais na sio rahisi. Lowassa ni nani na analindwa kwa nini? Au ndio ugomvi wake na CCM anataka umwage damu za vijana maskini wakati yeye akienda nje kupata mapumziko.
lowasa is a major pain in your as
 
Au kama vpi muumbuwemi wekeni sauti na vikao vyao live dunia ijuwe tuna makaid walio vaa kofia zakisiasa ila wana ajenda zao
Sasa ndugu yangu mbona unaanza kuagiza wengine wakati ingefaa wewe uonyeshe mfano?
Hivi unavyoandika wewe ndio wao nao hivyo hivyo wanavyoandika...
Kwa kifupi hakuna wa kumfunga paka kengele....kumbuka huyu ni paka sio panya
 
Unajua ni bora tukawa wa kweli kuliko kuwa wanafiki. Ukuta na propaganda zake zote mchawi ni mmoja tu na kama huyu mchawi tutaendelea kumpigia makofi na maafisa usalama kumtisha rais eti hadhibitiki na ataleta maafa huku nikupoteza muda. Taifa letu linao vijana shupavu waliosomea ukidon ni wakati aina ya viongozi kama Lowassa kuwafungia ndani mpaka siku ya mwisho waokulikotumia taaluma na uwezo wao kutikisa taifa.

Binafsi nasema hivi Lowassa aambiwe imetosha na kama hasikii wenye kazi yao waachiwe maana sheria inaruhusu. Usalama wa taifa hili kwanza na mambo mengine yatafuata.

Ni lazima ijulikane tuna Rais na sio rahisi. Lowassa ni nani na analindwa kwa nini? Au ndio ugomvi wake na CCM anataka umwage damu za vijana maskini wakati yeye akienda nje kupata mapumziko.

Kama hujajua mpaka sasa ni nani chanzo cha haya matatizo basi unastahili kupewa kitanda hospitali ya vichaa Mirembe
 
Unajua ni bora tukawa wa kweli kuliko kuwa wanafiki. Ukuta na propaganda zake zote mchawi ni mmoja tu na kama huyu mchawi tutaendelea kumpigia makofi na maafisa usalama kumtisha rais eti hadhibitiki na ataleta maafa huku nikupoteza muda. Taifa letu linao vijana shupavu waliosomea ukidon ni wakati aina ya viongozi kama Lowassa kuwafungia ndani mpaka siku ya mwisho waokulikotumia taaluma na uwezo wao kutikisa taifa.

Binafsi nasema hivi Lowassa aambiwe imetosha na kama hasikii wenye kazi yao waachiwe maana sheria inaruhusu. Usalama wa taifa hili kwanza na mambo mengine yatafuata.

Ni lazima ijulikane tuna Rais na sio rahisi. Lowassa ni nani na analindwa kwa nini? Au ndio ugomvi wake na CCM anataka umwage damu za vijana maskini wakati yeye akienda nje kupata mapumziko.
Mkuu.......si kila jambo laenda hivi hivi tu kirahisi kuna namna yake ya kuyaendea mambo ka haya...
 
Mkuu na wewe ni Great Thinker? Acha kutoa povu, kama huna cha kuandika kaa kimya?
 
Big NO, they're not wasting their time, the police force in Tanzania is doing what it is suppossed to do in order to maintain peace and security. We all ought to abide to the rule of law, and for those who breaks the law shoud be dealt with brutual force in such a way it should serve as a lesson for others.
Talking of the rule of law, does our president observe the rule of law?
 
Back
Top Bottom