Lowassa Amerudisha Kadi ya CCM?

WE ARE ANONYMOUS

JF-Expert Member
Mar 23, 2015
217
282
Tumeshuhudia jinsi Ndugu Edward Lowassa alivyopokelewa kwa shangwe ndani ya Chamba cha Demokrasia na Maendeleo, ila kwa kwawaida huwa mtu akihama chama kimoja kwenda kingine, tunaona akikabidhi kadi yake ya awali, sasa tumeshuhudia LOWASSA akitoka CCM kwenda CHADEMA na kukabidhiwa kadi ya CHADEMA, lakini Je I wapi kadi yake ya awali ya CCM?

Zaidi ya hapo, wale vijana wake wakiwemo akina Bashe ambaye alikuwa msemaji wake, wapo CCM bado, je watakuwa na uhusiano gani na Lowassa wakati huu ambapo yupo CHADEMA.

Kwa kweli CHADEMA siwaelewi, siku zote napenda mabadiliko, and I hate to see CCM ruling, ila hii style ya mtu kujiunga juzi, na leo ndio mgombea uraisi, simply like that, daaah, hata kama ni opportunity, CHADEMA mpe prove udhaifu mkubwa!
 
Basi jua lowasa bado ni ccm ht akirudisha kadi nyumbani kwake kadi na picha zooooooote ni ccm
 
Alinunua kwa hela yake, akirudisha watamrudishia hela yake?

Hata Dr Slaa kaiweka kama kumbukumbu na siku moja yaweza kuja kuwekwa kwenye Muzeum ya Chadema.

UKAWA KWANZA, vyama baaaadaye sana. Be UKAWA-'d or DIE.
 
Tumeshuhudia jinsi Ndugu Edward Lowassa alivyopokelewa kwa shangwe ndani ya Chamba cha Demokrasia na Maendeleo, ila kwa kwawaida huwa mtu akihama chama kimoja kwenda kingine, tunaona akikabidhi kadi yake ya awali, sasa tumeshuhudia LOWASSA akitoka CCM kwenda CHADEMA na kukabidhiwa kadi ya CHADEMA, lakini Je I wapi kadi yake ya awali ya CCM?

Zaidi ya hapo, wale vijana wake wakiwemo akina Bashe ambaye alikuwa msemaji wake, wapo CCM bado, je watakuwa na uhusiano gani na Lowassa wakati huu ambapo yupo CHADEMA.

Kwa kweli CHADEMA siwaelewi, siku zote napenda mabadiliko, and I hate to see CCM ruling, ila hii style ya mtu kujiunga juzi, na leo ndio mgombea uraisi, simply like that, daaah, hata kama ni opportunity, CHADEMA mpe prove udhaifu mkubwa!

Hujui siasa ndio maana unapata shida kama unaona 2+2=8 kaa pembeni uangalie wenzio wanaojua hesabu wafanye hesabu laa sivyo utajakufa na kihoro bure.
 
Kadi ya ccm huwa hairudishwi. Ile ni akiba. Hata Slaa hakuwahi kuirudisha na mpaka mwaka 2012 Slaa alikuwa anaendelea kuilipia kadi yake ya CCM wakati akiwa katibu mkuu wa chadema na mgombea urais kwa tiketi ya chadema.
 
CCM walichofanya ni kuacha kumsajili mchezaji nyota na timu nyingine ikamsajili sasa wakifungwa bao wasilalamike.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom