Lowassa ameibuwa Madudu' ufisadi' TPA bandarini

kbosho

JF-Expert Member
Jun 4, 2012
13,029
6,559
Mh Lowassa akiongea na Vijana wa kada mbalimbali katika ukumbi wa Lamada ilala, Amesema amepata taharifa kuna Kampuni ina samehewa kodi Billion 16 kila wiki...watu walianza kupiga kelele na kutaja jina la mtoto wa Mkuu, wengine walianza kusema Home shopn cntr...
 
Safi sana , wamewekeza kila mahali, mafuta, madini, gesi, utalii, kujenga hata eneo la reserve huko mahala fulani, mahotel bwagamoyo yaani kila kona wapo. Achilia biashara na home shopping centre
 
Mh Lowassa akiongea na Vijana wa kada mbalimbali katika ukumbi wa Lamada ilala, Amesema amepata taharifa kuna Kampuni ina samehewa kodi Billion 16 kila wiki...watu walianza kupiga kelele na kutaja jina la mtoto wa Mkuu, wengine walianza kusema Home shopn cntr...
Kama anamaanisha Kampuni ya Karamagi yuko sahihi.
 
Huko Mbeya Mwakyembe kamkaanga kweli Lowasa. Kesho akithubutu kujibu kapigo ndo ataangamia kabisa
 
Ndio maana mafisadi Halisia wamepanic!!
Na ndio maana masingasinga wameukwaa ubalozi!!
Na ndio maana tumekubali kumfanya Lowassa rais wa nchi hii!!
Na ndio maana hata watu wa ''kitengo'' watatuunga mkono!!
 
Tutasikia mengi maana ulikuwa nao so unajua namna upigaji ulivyokuwa unafanyika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom