Lowassa alivyoipaisha CHADEMA katika uchaguzi huu, ni asset na ataendelea kuwa asset


Mbaga Michael

Mbaga Michael

Verified Member
Joined
Nov 17, 2011
Messages
2,918
Likes
213
Points
160
Mbaga Michael

Mbaga Michael

Verified Member
Joined Nov 17, 2011
2,918 213 160
Dr. Wa mihogo soma hii

LOWASSA ni "Asset au Liability.

-Kabla ya ujio wa Lowassa ndani ya chadema, chadema ilikuwa na majimbo 23 tu na viti maalumu 26 na kuwa na wabunge 49 ktk bunge la 10 la 2010-2015, ujio wa Lowassa umeongeza wabunge kutoka majimbo 23 mwaka 2010 hadi majimbo 35 mwaka 2015 na viti maalumu kutoka 26 hadi 43 na kufanya jumla ya wabunge wa chadema 78 ktk bunge la 11 la Jamhuri ya muungano wa Tanzania, ni rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na chama cha upinzani tangu Tanzania ipate uhuru, Je Lowassa ni "Asset" au "Liability"

-Kabla kuondoka kwa Lowassa ndani ya ccm, ccm ilikuwa na wabunge wa viti maalumu 79 mwaka 2010, sasa ccm itakuwa viti maalumu 62 tu kwa maana hiyo nguvu ya Lowassa imeondoka na viti maalum 17 ambao wote imebidi wapewe chadema, na ndiyo maana sasa chadema itakuwa na viti maalumu 43, which means, chukua viti 26 vya cdm 2010 + viti 17 alivyokuja navyo Lowassa = 43, Je Lowassa ni "Asset" au "Liability"

-Mwaka 2010-2015, ccm ilikuwa inapokea ruzuku zaidi ya 78% ya ruzuku yote ya vyama vya siasa kutokana na kura za urais alizopata JK, mwaka huu ccm itapokea ruzuku isiyozidi 59% ya ruzuku yote ya vyama ni sawa pungufu ya 20% waliyopoteza ccm, Na kwa mara ya kwanza chama cha upinzani chadema kitapokea 40% ya ruzuku yote ya vya siasa, hii ni kutokana na kura mil 6=39% alizopata Mhe. Lowassa. Je Lowassa ni "Asset" au "Liability"

-Kabla ya ujio wa Lowassa, katika majiji matano (5), Mbeya, Dar, Tanga, Mwanza & Arusha, cdm ilikuwa haiongozi hata jiji moja kati ya hayo kwa mwaka 2010-2015, yote yalikuwa chini ya ccm, Ujio wa Lowassa umeifanya chadema kuongoza majiji 4 (Mbeya, Dar, Arusha & Tanga japo Tanga itakuwa chini ya UKAWA) kutokana na ushindi wa madiwani wake ktk majiji hayo na ccm imebaki na jiji la Mwanza pekee, which means ccm imepoteza majiji 4 kutokana na kuondoka kwa Lowassa. Je Lowasa ni "Asset" au "Liability"


-Mwaka 2010-2015 chadema ilikuwa inaongoza halimashauri 5 nchi nzima mfano: Moshi & Karatu, mwaka 2015 kwa mara ya kwanza chadema itakuwa inaongoza halimashauri 30 Tanzania hii ni kutokana na Ushindi wa madiwani na wabunge ktk halimashauri husika. Je Lowassa ni "Asset" au "Liability"NB: Kwa mtu wa kawaida na anayefikiria ya leo bila kujua kesho itakuwaje alibeza ujio wa Lowassa ndani ya chadema, lakini kwa anayefikiria leo na kesho na kuangalia kwa jicho la tatu atakuwa amegundua umuhimu wa ujio wa Mhe. EDWARD LOWASSA.

Ahsante...!!!
 
peterchoka

peterchoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Messages
7,403
Likes
7,231
Points
280
peterchoka

peterchoka

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2014
7,403 7,231 280
lowassa atabaki katika historia ya taifa kwa kuleta upinzani wa kweli
 
bucho

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Messages
4,787
Likes
943
Points
280
bucho

bucho

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2010
4,787 943 280
Hakuna zaidi ya lowassa nchi hii....hata CCM wanajua
 
T

Tanzania Njema Yaja

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Messages
3,057
Likes
2,118
Points
280
T

Tanzania Njema Yaja

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2015
3,057 2,118 280
The Don, the King... mzee wa maamuzi Magumu
.EL... ahsante kwa kupiga tafu mabadiliko ya kweli Tz.. . Zenj wameisha ipoteza maana waliweka nguvu sana huku wakikuogopa wewe....
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,872
Likes
8,025
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,872 8,025 280
Hamjakoma bado... aah well hatuwezi kuwasaidia hadi hivi sasa. Ukweli utaendelea kuwakodolea macho mpaka mtakapoukiri.
 
Susuviri

Susuviri

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
3,713
Likes
248
Points
160
Susuviri

Susuviri

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
3,713 248 160
Hamjakoma bado... aah well hatuwezi kuwasaidia hadi hivi sasa. Ukweli utaendelea kuwakodolea macho mpaka mtakapoukiri.
Mkuu ni ile 7 stages of grief wako katika denial!
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,872
Likes
8,025
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,872 8,025 280
Mkuu ni ile 7 stages of grief wako katika denial!
Yaani..hata kuanza kuwajibu itakuwa ni kama kuwaonea hivi lakini inawezekana wanaamini kabisa. Ukiwaambia Uenyekiti Lowassa utaona wanavyoruka kimanga.
 
DuppyConqueror

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2014
Messages
9,156
Likes
4,415
Points
280
DuppyConqueror

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2014
9,156 4,415 280
Dr. Wa mihogo soma hii

LOWASSA ni "Asset au Liability...?"
LOWASSA ni "Asset au Liability...?"

*Fuatilia utapata jibu...
2010 Dr Slaa aliweza kuongeza viti zaidi ya 20 bungeni...Safarihii lowassa kaongeza viti visivyozidi 10. Nani asset na nani liability hapo?
 
K

kepler telescope

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
903
Likes
545
Points
180
K

kepler telescope

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
903 545 180
Katika jamii utapata heshima kwa kufanya biashara halali yenye kukupatia faida nzuri. Lakini ukifanya biashara haramu kama kuuza bangi au madawa ya kulevya, utapata faida kubwa lakini heshima yako katika jamii itashuka sana. Ni lazima kulinda heshima kuliko kukimbilia mapato ya aibu. Nyerere alilinda heshima yake ndo maana hadi leo fikra zake zinadumu. Hakuwahi kubadili gia angani. Ni liability.
 
Mkare_wenu

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Messages
1,709
Likes
83
Points
145
Mkare_wenu

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2011
1,709 83 145
Katika jamii utapata heshima kwa kufanya biashara halali yenye kukupatia faida nzuri. Lakini ukifanya biashara haramu kama kuuza bangi au madawa ya kulevya, utapata faida kubwa lakini heshima yako katika jamii itashuka sana. Ni lazima kulinda heshima kuliko kukimbilia mapato ya aibu. Nyerere alilinda heshima yake ndo maana hadi leo fikra zake zinadumu. Hakuwahi kubadili gia angani. Ni liability.
Shkamoo kaka, umemaliza yote
 
spencer

spencer

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
2,858
Likes
1,465
Points
280
spencer

spencer

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
2,858 1,465 280
Dr. Wa mihogo soma hii

LOWASSA ni "Asset au Liability...?"
LOWASSA ni "Asset au Liability...?"

*Fuatilia utapata jibu...[/QUOTE

Unatoa harufu,
Kwa Pamoja Dr Slaa n Prof Lipumba 2010 walipata 27% n 11% za urais respectively Jumla 38/9%

Mwaka huu Lowassa akiwakilisha vyama vinne kapata 39%

2010 Dr Slaa akitoka Wabunge 5 hadi 24/5,waliongezeka nearly 19, mwaka huu wameongezeka wangapi we pimby

Mnajifanya kuziba pamba maskio, dozi inazidi kuwaingia. Hadi 2020 mtabakiza Wabunge kumi. Maana hata Dar inarudi CCM
 
S

segela

Member
Joined
Jun 28, 2013
Messages
71
Likes
49
Points
25
S

segela

Member
Joined Jun 28, 2013
71 49 25
Watu wengi vichwa na akili zimechoka kama sio kuchoshwa na kubeba mabox hasa huyu anayejiita mwanakiji. Unapomlinganisha slaa na lowasa yako mambo mengi ya kuangalia

Sio kila siku unang'ang'ania jambo hilo tu mnachosha, slaa pamoja na lipumba walifanya sehemu yao na lowasa kafanya yake pia. Kama ni kura kuibwa lowasa atakuwa ameibiwa kimkakati zaidi ya slaa, na watanzania wengi walimchagua hata wewe mwanakijiji unajua, wabunge wa ukawa wameongezeka madiwani wameongezeka halmashauri zimeongezeka umoja wetu kama ukawa umeimarika ingawaje huyo slaa na lipumba walitarajia tusambalatike.

Mnadanganya watu na kuwapotosha kwa Maana mnakaa mijini mnaweza kupata milo angalau 2 nendeni vijijini muone uhalisia wa maisha ya watanzania huko acheni unafiki humu.

Mmeliingiza tingatinga subirini lianze kutingatinga hiyo ndio ccm unaweza kuwa mzuri ukiwa nje ukiingia utaambiwa ya kufanya na chama maana ndio kinashika hatamu. Niliemkubaliga ccm ni marehem sokoine na mwl tu katika utendaji wao walijitahidi kusaidia sana watanzania
 
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
26,936
Likes
17,671
Points
280
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
26,936 17,671 280
5-23 vs 23-35 na back up ya Ukawa na mpasuko wa ccm...
 
N

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Messages
22,518
Likes
3,766
Points
280
N

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2013
22,518 3,766 280
haa haa kwa mtazamo wangu lowasa ni asset...
 
herry msagati

herry msagati

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Messages
288
Likes
172
Points
60
herry msagati

herry msagati

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2015
288 172 60
Eti hata dar inarudi ccm unaongea huku povu linakutoka ikifika 2020 tukiwa hai ccm dar bye bye bye mwaka huu mngebaki na jimbo moja tu kama sio figisu figisu
 
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
17,748
Likes
1,954
Points
280
Age
36
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
17,748 1,954 280
Dr. Wa mihogo soma hii

LOWASSA ni "Asset au Liability...?"
LOWASSA ni "Asset au Liability...?"

*Fuatilia utapata jibu...
Tih tih kweh kweh nhihihiii
 
Belo

Belo

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2007
Messages
11,920
Likes
5,267
Points
280
Belo

Belo

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2007
11,920 5,267 280
Watu wanachanganya impact ya Lowasa na Ukawa, Muungano wa Ukawa ndio umesaidia wapinzani kupata wabunge wengi, huko nyuma vyama vya upinzani vilikuwa vinagawana kura na kuifanya CCM inashinda kiulaini. Mfano mzuri ni majimbo ya Segerea na Kigamboni
 
Mbaga Michael

Mbaga Michael

Verified Member
Joined
Nov 17, 2011
Messages
2,918
Likes
213
Points
160
Mbaga Michael

Mbaga Michael

Verified Member
Joined Nov 17, 2011
2,918 213 160
Hamjakoma bado... aah well hatuwezi kuwasaidia hadi hivi sasa. Ukweli utaendelea kuwakodolea macho mpaka mtakapoukiri.
Endelea kulamba miguu ya dr. mihogo tu lowassa ataendelea kwa asset kwa ukawa na hata ccm wana lifahamu ilo
 
M

marikiti

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Messages
2,714
Likes
325
Points
180
M

marikiti

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2012
2,714 325 180
Lengo ilikuwa kuchukua nchi au kuongeza viti
 

Forum statistics

Threads 1,236,546
Members 475,191
Posts 29,261,834