Elections 2010 Lowassa alishinikiza NEC kuchelewesha kutangaza matokeo Arusha

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233

Habari nilizipata hivi punde kutoka kwa jamaa yangu ambaye ni askari pale Arusha anasema kuwa hadi jana saa 2 asubuhi matokeo ya jimbo la Arusha Mjini yalikuwa tayari, lakini Batilda alikuwa anakataa kusaini akimwambia msimamizi anamsubiri Lowassa aje kwanza kwani kulikuwa kuna kasoro nyingi za kuhesabu.

Alimpigia simu Lowassa ambaye alifika hapa saa 5 na dakika 40 na kuingia ndani ya chumba cha kuhesabu kura huku akipigiwa saluti na askari.

Anasema Batilda na Lowassa walikuwa wanamshinikiza Lema apewe Sh 300 milioni ili atoke nje awaambie wafuasi wake kwamba ameshindwa.

Wawili hao walikuwa wanambana sana Lema akubali lakini yeye alikuwa anakataa ndiyo akampigia simu Mbowe na Ndesamburo wakaja pale na kufika takriban saa sita unusu hivi.

Huku nje vijana karibu 6,000 wa Chadema wako nje wakingojea matokeo. Hali ilikuwa mbaya sana na akina Mbowe wakawa adamant, wakasema NO. Iliposhindikana ndiyo matokeo yalitangazwa.

Hata hivyo RPC Basilio Matei aliingilia kati kwamba matokeo yatangazwe haraka ama sivyo ikiingia usiku kunaweza kuwa ghasia kubwa na askari wake hawawezi kumudu.

Hatimaye Batilda akanywea na matokeo yakatangazwa.

Habari zingine zinasema kwamba akina Mbowe watalipeleka mbele suala hili la Lowassa.
 
Sasa kama tatizo lilikuwa ni kuhesabu tu, kwani Lowasa peke yake ndio anajua kuhesabu?
 
Huyu kajiingiza segerea mwenyewe. Anacheza na maisha ya watanzania. Tukizomea mnatusweka ndani sasa tuwafanye nini ninyi watu mliokosa haya hata kwenye nyu...zenu. Lowassa Lowassa tuachie nchi yetu.
 
Habari nilizipata hivi punde kutoka kwa jamaa yangu ambaye ni askari pale Arusha anasema kuwa hadi jana saa 2 asubuhi matokeo ya jimbo la Arusha Mjini yalikuwa tayari, lakini Batilda alikuwa anakataa kusaini akimwambia msimamizi anamsubiri Lowassa aje kwanza kwani kulikuwa kuna kasoro nyingi za kuhesabu.

Alimpigia simu Lowassa ambaye alifika hapa saa 5 na dakika 40 na kuingia ndani ya chumba cha kuhesabu kura huku akipigiwa saluti na askari.

Anasema Batilda na Lowassa walikuwa wanamshinikiza Lema apewe Sh 300 milioni ili atoke nje awaambie wafuasi wake kwamba ameshindwa.

Wawili hao walikuwa wanambana sana Lema akubali lakini yeye alikuwa anakataa ndiyo akampigia simu Mbowe na Ndesamburo wakaja pale na kufika takriban saa sita unusu hivi.

Huku nje vijana karibu 6,000 wa Chadema wako nje wakingojea matokeo. Hali ilikuwa mbaya sana na akina Mbowe wakawa adamant, wakasema NO. Iliposhindikana ndiyo matokeo yalitangazwa.

Hata hivyo RPC Basilio Matei aliingilia kati kwamba matokeo yatangazwe haraka ama sivyo ikiingia usiku kunaweza kuwa ghasia kubwa na askari wake hawawezi kumudu.

Hatimaye Batilda akanywea na matokeo yakatangazwa.

Habari zingine zinasema kwamba akina Mbowe watalipeleka mbele suala hili la Lowassa.

Mbowe hakuenda Arusha jana. Alikua Boma akifuatilia matokeo ya uchanguzi wa jimbo la Hai.
 
Huyo fisadi mamvi bado hajachoka tu kutuibia jamani?
mi nina hasira naye jamani maana mpaka sasa umeme wa mgao dar kwa ajili ya uzembe wake alipokua madarakani.
 
Seriously!!............ not surprised though this guy, Lowassa is a Mafia! Yaana Nyerere alikuwa anajua kusoma nyota. Na msishangae atashinikiza kurudi kwenye nafasi ya juu, na CCM hawawezi mumzuia. Just wait and see ........... watanzania tunatakiwa kuwaogopa hawa watu kama ukoma, na kuwanyima kura bila kuja wanatoka chama gani..........pathetic :A S angry:
 
wange-record mazungumzo hayo kwa siri ka ushaidi tuka mmlize
 
Huyo fisadi mamvi bado hajachoka tu kutuibia jamani?
mi nina hasira naye jamani maana mpaka sasa umeme wa mgao dar kwa ajili ya uzembe wake alipokua madarakani.

Ndugu yangu sio uzembe ............. ni tamaa yake na ubinafsi wake ............ ingekuwa ni uzembe ningeshamsamee ..... This guy is a crook !!:nono:
 
Hii stori nimeipata lakini inatofauti kidogo. Tofauti yake ni kwamba akina Mbowe na Ndesamburo waliambiwa na watu wengine na sio Lema, kwamba Lowassa anajaribu kumshikisha mshiko Lema na kwa kuwa inahisiwa kwamba Lema ana historia ya kuuza ubunge kama alivyofanya mwaka 2005, basi ndipo Mbowe na Ndesamburo wakawahi Arusha ili kumhimiza Lema asikubali kuuza ubunge. Inawezekana kabisa kwamba kama Mbowe na NdesaNdesa wasingefika Arusha in time, basi huyu mdada wa kizenji angetangazwa mbunge wa Arusha. Habari ndo hiyo.
 
Back
Top Bottom