Lowassa alishinikiza NEC kuchelewesha kutangaza matokeo Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa alishinikiza NEC kuchelewesha kutangaza matokeo Arusha

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zak Malang, Nov 2, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Habari nilizipata hivi punde kutoka kwa jamaa yangu ambaye ni askari pale Arusha anasema kuwa hadi jana saa 2 asubuhi matokeo ya jimbo la Arusha Mjini yalikuwa tayari, lakini Batilda alikuwa anakataa kusaini akimwambia msimamizi anamsubiri Lowassa aje kwanza kwani kulikuwa kuna kasoro nyingi za kuhesabu.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Alimpigia simu Lowassa ambaye alifika hapa saa 5 na dakika 40 na kuingia ndani ya chumba cha kuhesabu kura huku akipigiwa saluti na askari. [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Anasema Batilda na Lowassa walikuwa wanamshinikiza Lema apewe Sh 300 milioni ili atoke nje awaambie wafuasi wake kwamba ameshindwa.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Wawili hao walikuwa wanambana sana Lema akubali lakini yeye alikuwa anakataa ndiyo akampigia simu Mbowe na Ndesamburo wakaja pale na kufika takriban saa sita unusu hivi.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Huku nje vijana karibu 6,000 wa Chadema wako nje wakingojea matokeo. Hali ilikuwa mbaya sana na akina Mbowe wakawa adamant, wakasema NO. Iliposhindikana ndiyo matokeo yalitangazwa.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Hata hivyo RPC Basilio Matei aliingilia kati kwamba matokeo yatangazwe haraka ama sivyo ikiingia usiku kunaweza kuwa ghasia kubwa na askari wake hawawezi kumudu.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Hatimaye Batilda akanywea na matokeo yakatangazwa.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Habari zingine zinasema kwamba akina Mbowe watalipeleka mbele suala hili la Lowassa. [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
   
 2. M

  Matarese JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Sasa kama tatizo lilikuwa ni kuhesabu tu, kwani Lowasa peke yake ndio anajua kuhesabu?
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Fisadi ni fisadi tu na mvi zake zile kama mbelewele.
   
 4. admissionletter

  admissionletter Senior Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0


  Na yeye jamaa yako askari kazipata wapi hizo habari?
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  PcCB apo hawana nafasi kweli?
   
 6. K

  King kingo JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huyo Lowassa ilibidi aonje joto ya nguvu ya uma kidogo wangemchapa kidogo tu
   
 7. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,726
  Likes Received: 3,144
  Trophy Points: 280
  Huyu kajiingiza segerea mwenyewe. Anacheza na maisha ya watanzania. Tukizomea mnatusweka ndani sasa tuwafanye nini ninyi watu mliokosa haya hata kwenye nyu...zenu. Lowassa Lowassa tuachie nchi yetu.
   
 8. g

  grandpa Senior Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 24, 2008
  Messages: 185
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mbowe hakuenda Arusha jana. Alikua Boma akifuatilia matokeo ya uchanguzi wa jimbo la Hai.
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Huyu fisadi ilibidi adungwe sindano ya maji!
   
 10. Keynes

  Keynes JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Huyo fisadi mamvi bado hajachoka tu kutuibia jamani?
  mi nina hasira naye jamani maana mpaka sasa umeme wa mgao dar kwa ajili ya uzembe wake alipokua madarakani.
   
 11. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Seriously!!............ not surprised though this guy, Lowassa is a Mafia! Yaana Nyerere alikuwa anajua kusoma nyota. Na msishangae atashinikiza kurudi kwenye nafasi ya juu, na CCM hawawezi mumzuia. Just wait and see ........... watanzania tunatakiwa kuwaogopa hawa watu kama ukoma, na kuwanyima kura bila kuja wanatoka chama gani..........pathetic :A S angry:
   
 12. doup

  doup JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  wange-record mazungumzo hayo kwa siri ka ushaidi tuka mmlize
   
 13. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu sio uzembe ............. ni tamaa yake na ubinafsi wake ............ ingekuwa ni uzembe ningeshamsamee ..... This guy is a crook !!:nono:
   
 14. sirdelta

  sirdelta JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 286
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  du fisadi ni fisadi
   
 15. 255Texter

  255Texter Senior Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 31, 2007
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii stori nimeipata lakini inatofauti kidogo. Tofauti yake ni kwamba akina Mbowe na Ndesamburo waliambiwa na watu wengine na sio Lema, kwamba Lowassa anajaribu kumshikisha mshiko Lema na kwa kuwa inahisiwa kwamba Lema ana historia ya kuuza ubunge kama alivyofanya mwaka 2005, basi ndipo Mbowe na Ndesamburo wakawahi Arusha ili kumhimiza Lema asikubali kuuza ubunge. Inawezekana kabisa kwamba kama Mbowe na NdesaNdesa wasingefika Arusha in time, basi huyu mdada wa kizenji angetangazwa mbunge wa Arusha. Habari ndo hiyo.
   
 16. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Yeye ni askari polisi aliyekuwa zamu hapo katika ofisi za kituo cha usimamizi wa uchaguzi.
   
Loading...