Lowassa alikuwa m/kiti wa CC iliyoisha

chitambikwa

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
3,941
900
Baada ya mnyukano,rushwa ,makundi,bunduki kutawala katika uchaguzi wa ccm , imejulikana kuwa aliyeongoza kikao huko Dodoma na masterplan alikuwa lowasa na si Kikwete . Hayo nimeyapata hapa shinyanga wakati mmoja wa watu aliyekuwa imeishatangazwa kuwa ameenguliwa kutamba kuwa jina lake lililudishwa kwa amri ya lowasa na si wapiga kelele wengine.

Alisema 'niliongea naye akaniambia nisiwe na wasiwasi na wapiga kelele na mambo yatakuwa sawa' huku akiongezea kuwa Lowasa amempa ahadi kijana (Nape) kuwa aache kelele ili awe katibu mkuu awamu ijayo.

Hofu ilikuwa eti Kikwete asipomwachia lowasa kupanga safu ijayo, timu ya sasa isingemaliza mda wake.

lISEMWALO lIPO KAMA HALIPO.....
m'MBEA HASEMI UONGO JAPO HAJATUMWA.......
NA PAKA KAMWE HAISHI KWA MESLA....CCM kazi wanayo
 
Baada ya mnyukano,rushwa ,makundi,bunduki kutawala katika uchaguzi wa ccm , imejulikana kuwa aliyeongoza kikao huko Dodoma na masterplan alikuwa lowasa na si Kikwete . Hayo nimeyapata hapa shinyanga wakati mmoja wa watu aliyekuwa imeishatangazwa kuwa ameenguliwa kutamba kuwa jina lake lililudishwa kwa amri ya lowasa na si wapiga kelele wengine.

Alisema 'niliongea naye akaniambia nisiwe na wasiwasi na wapiga kelele na mambo yatakuwa sawa' huku akiongezea kuwa Lowasa amempa ahadi kijana (Nape) kuwa aache kelele ili awe katibu mkuu awamu ijayo.
Hofu ilikuwa eti Kikwete asipomwachia lowasa kupanga safu ijayo, timu ya sasa isingemaliza mda wake.

Ila mimi ninachojua ni kwamba Hon. Lowassa ndiye rais wa Tanzania 2015.
 
Dhaifu hana analolijua ukichukulia kila leo anawaza wapi pa kwebda kupiga misele
 
Baada ya mnyukano,rushwa ,makundi,bunduki kutawala katika uchaguzi wa ccm , imejulikana kuwa aliyeongoza kikao huko Dodoma na masterplan alikuwa lowasa na si Kikwete . Hayo nimeyapata hapa shinyanga wakati mmoja wa watu aliyekuwa imeishatangazwa kuwa ameenguliwa kutamba kuwa jina lake lililudishwa kwa amri ya lowasa na si wapiga kelele wengine.

Alisema 'niliongea naye akaniambia nisiwe na wasiwasi na wapiga kelele na mambo yatakuwa sawa' huku akiongezea kuwa Lowasa amempa ahadi kijana (Nape) kuwa aache kelele ili awe katibu mkuu awamu ijayo.

Hofu ilikuwa eti Kikwete asipomwachia lowasa kupanga safu ijayo, timu ya sasa isingemaliza mda wake.

Ahaaaaaaaaa asante!! Ndiyo maana at some point in time Msekwa aliongoza kikao cha kupitisha waliokataliwa? Ha ha ha ha kimenuka!!!!
 
Mkuu, niithibitishe hii kauli yangu?
Wewe umesema kuwa unajua Lowassa atakuwa rais 2015. Unazo kura ngapi? Halafu hakuna aliye na uhakika kuwa Watanzania millioni 20 watakaopiga kura, na hata kama si wote, watampigia Lowassa kura na chama chake katika zama hizi za multiparty. Kwa hiyo wewe unatamani Lowassa awe rais, na mimi nasema hapana. Kura yangu hapati!
 
Nina mashaka na uwezo wako wa ku-foresee matukio yajayo kisiasa. Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la msingi!
 
Na mimi vile vile nina mashaka na uwezo wako wa kutabiri ushindi wa Lowassa 2015. Ngoma draw!
Kwa sasa Lowassa bado ni presidential hopeful tu ila ukifanya extensive research ya trend ya matukio ya kisiasa utakuja na conclusion kuwa Lowassa atakuwa lulu 2015. Time will tell...
 
Basi tungesubiri, au tusubiri mpaka hiyo extensive research itakapofanyika. Nasikitika kuona kuwa Tanzania hatuna vyombo vya opinion polls kama ilivyo hapa Marekani. Sasa hivi kila wiki kunatolewa polls mpya ambazo zinaonyesha Romney mahututi. Tungekuwa na vyombo kama hivyo nyumbani, tusingepoteza muda wetu hapa kuandika kuwa Lowassa ndiye rais 2015.
 
REDET, SYNOVATE... hauviamini?
 
REDET, SYNOVATE... hauviamini?

Redet ya Benson Bana? Na Synovate ya Tanzania ni tofauti na ya Kenya. Havitoshi ndugu yangu. Hapa Marekani, mashirika makubwa ya habari kama CNN, FOX, ABC, NBC, New York Times, etc. yote yana idara ya opinion polling. Hata vyama vya siasa vinazo opinion pollings zao wenyewe. We need more in Tanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom