Lowassa akiwafunda Mameya wa UKAWA

Kitu Kizito

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
245
223
Akizungumza katika mkutano wa mameya na wenyeviti wa Halmahauri watokanao na CHADEMA unaofanyika East Africa Hotel Arusha leo, Mh Lowassa amesema..

Tunataka halmashauri zetu ziwe za mfano Tanzania kwakuwa na Agenda ili tujue nikipi kipaumbele cha kuwatumikia wananchi, pia tuangalie Ni kitegauchumi kipi katika halmashauri husika kinaweza kuwapa wananchi wetu ajira.

Pili Tunataka kuimarisha Chama chetu kwa kushuka chini hadi ngazi ya Msingi ambapo ndipo walipo wanachama watu, (Grass Root.)

Pia nataka niwashauri Mameya wetu kuhakikisha wanashirikiana na wananchi katika kutekeleza ahadi ya Mabadiliko na Maendeleo.

Katika kikao hicho maalumu cha mkakati, Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Vincent Mashinji na Katibu wa Kanda ya Kaskazini wampata fursa ya kutoa mafunzo mkakati na nasaa zao.
1468062825751.jpg
Picha ya pamoja bada ya session ya kwanza

1468062872114.jpg

1468062880490.jpg

1468062896064.jpg

1468062909648.jpg

1468062928811.jpg
 
Amewafunda kulingana na ilani ya ccm ambayo ndo dira ya maendeleo hadi 2020. Kwa vile alikuwa ccm, nae ndo alitegemea kuinadi wakati wa kampeni kama angechaguliwa kugombea urais, sina shaka amewapa somo zuri sana. Bila shaka watatekeleza ilani ya ccm kwa weledi wa hali ya juu. Watakapokwana wasisite kumwona Makamba kwa ufafanuzi.
 
hizi ndizo kazi za katibu mkuu wa chama,lakini hata hapo napo hayupo.....mshauri wa chama ndio anakuwa juu kukiendeleza chama kuliko katibu wa chama?mshauri anakuwa na mipango thabiti kuliko katibu wa chama??
Yupo.. Unajisikiaje sasa kufahamu hili?
 
Jambo jema sana.
Swali Mboe, katibu Mkuu mbona siwaoni hapo. Ni mgawanyo wa majukumu? Au ndo kale ka mfukuto ka Chini Chini?
 
hizi ndizo kazi za katibu mkuu wa chama,lakini hata hapo napo hayupo.....mshauri wa chama ndio anakuwa juu kukiendeleza chama kuliko katibu wa chama?mshauri anakuwa na mipango thabiti kuliko katibu wa chama??
Umeona eee!, Majanga njomba nchumari.
 
Akizungumza katika mkutano wa mameya na wenyeviti wa Halmahauri watokanao na CHADEMA unaofanyika East Africa Hotel Arusha leo, Mh Lowassa amesema..

Tunataka halmashauri zetu ziwe za mfano Tanzania kwakuwa na Agenda ili tujue nikipi kipaumbele cha kuwatumikia wananchi, pia tuangalie Ni kitegauchumi kipi katika halmashauri husika kinaweza kuwapa wananchi wetu ajira.

Pili Tunataka kuimarisha Chama chetu kwa kushuka chini hadi ngazi ya Msingi ambapo ndipo walipo wanachama watu, (Grass Root.)

Pia nataka niwashauri Mameya wetu kuhakikisha wanashirikiana na wananchi katika kutekeleza ahadi ya Mabadiliko na Maendeleo.

Katika kikao hicho maalumu cha mkakati, Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Vincent Mashinji na Katibu wa Kanda ya Kaskazini wampata fursa ya kutoa mafunzo mkakati na nasaa zao.
View attachment 364518 Picha ya pamoja bada ya session ya kwanza

View attachment 364519

View attachment 364520

View attachment 364521

View attachment 364522

View attachment 364523

Hicho ndicho kilichomuondoa CCM fisadi Lowasa, yeye ukubwa tu ndiyo anataka kinyume na hapo hamuendani, sasa hapo Lowasa wamemfikisha kwamba yeye ndiyo mkubwa na siku watakapokuja kugombana na chadema ni ile siku ambayo watachallenge huko kupenda ukubwa wake hapo ndiyo utakuwa mwisho wa Lowasa chadema!

Lowasa atawasumbua sana chadema, huyu jamaa ni mgonjwa!
 
na ndicho nahic wanachotofautiana na yule dogo wa kibamba... japo yapo na mengine
 
Back
Top Bottom