Lowassa akiwa Rais, Bunge likatawaliwa na wapinzani na wakaibua kashfa ya Richmond; itakuwaje?

Kama CCM inataka kupata wabunge wengi mwaka huu kutoka ukawa basi wampitishe mtu tofaut na Edo. Maana sio kwamba tunataka mtu msafi ila tunataka mtu ambaye nguvu yake itasaidia kupata wabunge wa kutosha. Nguvu ya Edo ni kubwa kiasi kwamba hata wabunge wengi watatoka CCM tofaut na kumpitisha mtu tofaut na yeye maana hao wengine mpaka kuja kuwauza mtajikuta mnaweka nguvu kubwa kwa rais na mnapigwa kwa wabunge
 
hahaha tuchangue tena wabunge wanaojua kususia bunge badala ya kuongea hoja za kutetea wapiga kura
 
Salary Slip

unafikiri humu ndani watu wanafikiria kwa matumbo?mnataka kutuaminisha kuwa lowasa alihusika na Richmond? ,wakati ripot ya mwakiembe ilisema'kamaripoti yote ingesomwa serikali yote ingeanguka' itakuwaje basi kama wapinzani wakitaka Balali aletwe ?.itakuwaje basi wakitaka majina ya escrow kule stanbinc yaletwe tafakari?
 
Last edited by a moderator:
Haya yote ni cha Mtoto kuna Hii ya Membe kupora mapesa na Mali za marehemu Gadafi kisha akamteketeza balozi wa Libya ili kupoteza Ushahidi , mahakama ya Uhalifu wa kimataifa inamchunguza Membe mda wowote atafikishwa The Hague .

mkuu hebu nipe mwanga vzr hapo, maana ndo naiskia leo...
Kumbe membe hatar hvyo
 
unafikiri humu ndani watu wanafikiria kwa matumbo?mnataka kutuaminisha kuwa lowasa alihusika na Richmond? ,wakati ripot ya mwakiembe ilisema'kamaripoti yote ingesomwa serikali yote ingeanguka' itakuwaje basi kama wapinzani wakitaka Balali aletwe ?.itakuwaje basi wakitaka majina ya escrow kule stanbinc yaletwe tafakari?
Ukweli ni kwamba,hata kama serikali yote ingeanguka, na yeye bado angekuwa mtuhumiwa tu.Ukiona kuna uchafu,basi unatakiwa kujiuzulu na si kushirki alafu useme niliagizwa na boss wangu hilo huo sio utetezi kabisa.
 
Ufisadi upi? Nitajie Msafi hapa Tanzania ? ccm wote ni Mafisadi Hakuna Msafi , kuhusu Ugonjwa kwani ww ni Mungu ? Wewe una mkataba na Mungu? Wangapi wazima wanakufa na kuwaacha wazima ? Nani kakuambia ww utaishi milele ? Kumbuka Kufa ni lazima japo kuzaliwa ni bahati .

kwa nini mkitajiwa ugonjwa wa Lowassa mnawaka sana? kwani vipi mgonjwa kweli nini?
Lakini kama imegundulika na imejulikana kuwa Lowassa ni mgonjwa kwa nini msiamue hata nyinyi wapambe wake kumshauri tu akae pembeni kwa ni ni lazima aingie ikulu jamani,kuna nini huko anachokitafuta kwa Nguvu kubwa kiasi hicho?
 
Nani unataka awe Rais ? Ni baba yako membe? Hizo pesa za marehemu Gadafi zinawadanganya ?

Mkuu kwani kila anayempinga Lowassa ni team Membe? Mi siko CCM na siko team Membe je nikimpinga ntakuwa team Membe? watendeeni haki wenye mawazo tofauti na yenu
 
Swala la kuwa na ugonjwa au kutokuwa na ugonjwa si jambo la kujivunia kwa mtu makini! ?
Ukiwa mzima wa afya mshukuru Mola na usitumie hiyo kama ni kete ya kusimanga wale unaohisi wanaumwa,unaweza ukateleza bafuni kama Kanumba na hata hospital usifike!?
 
Ufisadi upi? Nitajie Msafi hapa Tanzania ? ccm wote ni Mafisadi Hakuna Msafi , kuhusu Ugonjwa kwani ww ni Mungu ? Wewe una mkataba na Mungu? Wangapi wazima wanakufa na kuwaacha wazima ? Nani kakuambia ww utaishi milele ? Kumbuka Kufa ni lazima japo kuzaliwa ni bahati .


Sawa tunajua kufa kupo, Ila mimi na wewe Hatuna Effects Saana, Ila yeye atatutia hasara za kurudia Uchaguzi mara mbili mbili, bora atulie huko Monduli ajifie kimya kimya 😯
 
kwa nini mkitajiwa ugonjwa wa Lowassa mnawaka sana? kwani vipi mgonjwa kweli nini?
Lakini kama imegundulika na imejulikana kuwa Lowassa ni mgonjwa kwa nini msiamue hata nyinyi wapambe wake kumshauri tu akae pembeni kwa ni ni lazima aingie ikulu jamani,kuna nini huko anachokitafuta kwa Nguvu kubwa kiasi hicho?

utakijua atakapo enda
 
Nina uhakika wa asilimia 70 Bunge lijalo litatawaliwa na wapinzani na hata spika anaweza kutoka upinzani.

Nachojiuliza,ikitokea(mungu apishie mbali),Lowassa akawa raisi na Bunge linalotawalia na wapinzani wengi likaamua kufufua upya kashifa mbalimbali na Richmond ikiwemo huku raisi akiwa mtuhumiwa itakuwaje?

Je,Bunge, kwa mujibu wa katiba, halitaweza kuanzisha impeachment procedure dhidi ya rais alie madarakani?

Au katiba bado itamlinda kama raisi?

Mimi ninaona huyu bwana akiwa raisi na Bunge likatawalia na wapinzani, kuna mgogoro unaweza kuibuka na raisi anaweza hata kuangushwa na Bunge kabla ya muda wake haujaisha.

Kwanza kabla hujaelimishwa tuambie apishie mbali upinzani usiwe na wabunge wengi au apishie mbali Lowassa asiwe raisi? Hebu tupe elimu huo ufisadi wa richmond mnaoaminishwa kumnufaisha Lowassa unahusisha serikali kupoteza kiasi gani kwa kuilipa richmond? Kwa faida yako na wengi waliodanganywa ni kuwa serikali haikulipa richmond hata senti moja kwani haikutoa huduma na isingeweza kulipwa. Baada ya Lowassa akiwa waziri mkuu kugundua richmond hawakuwa na mtaji,utaalamu wa kufua umeme na hata ofisi inayoeleweka alimshauri raisi na mkataba kutenguliwa. Lowassa aliwajibika kisiasa kwa nia iliyochukuliwa ovu ya kuingia mkataba kampuni isiyo na uwezo. Tena alipewa nafasi ya kupima kubaki na mamlaka yake au kuwajibika kisiasa. Hakika ile kamati ya uchunguzi ya bunge chini ya Mwakyembe wangwgundua ufisadi wa hela za serikali pale wasingesita kupendekeza afikishwe mahakamani kwani hata takukuru walihusishwa na uelewe miaka hiyo ufisadi haukuwa umezoeleka.Sasa tunashangaa wanaomwita Lowasa kuwa ni fisadi. Waliohukumiwa miaka mitatu jela jana waitweje nao? Akibahatika kuwa raisi chini ya ccm hii hii ukileta fujo utapigwa. Nami nitasema wenye vurugu za kijinga mpigwe tu.
 
Ccm ni majambazi wasio na uchungu na nchi kwa vyovyote vile.

Lowasa alianza kuhonga tangu akurupushwe na Mwakyembe. Akahamishia ufirauni wake kwa makundi ya kidini na wasanii akichangia mabilioni ya fedha wakishirikiana na RA. Amejiandaa muda mrefu akitumia fedha kujenga jina kwa majuha wasiojitambua ama wasiojua kwamba msingi wa maendeleo hauji kwa fedha za kugawiwa.

JK na lowasa akili zao, tabia, nia na lengo lao moja. Kufisadi nchi, huku wakililndana wao na vizazi vyao.

Tangu jk alazimishe uraisi kwa kiburi japo alianguka katika uchaguzi 2010, alionyesha rangi yake hadharani aliposema "mimi ndiyo raisi mtake msitake", "Mlinichagua hamkunichagua, mimi ni raisi". Ni kauli ya kidictator. Tangia hapo hakuna asiyejua ameongoza nchi kwa udicatator uliodhahiri katika kila kitu. Kwa bahati mbaya kichwa chake kimeishia hapo na ndipo alipotufikisha.

Ameagana na fisadi mwenzie kwamba wataapeana nchi na kila mtu anaona vile alivyokosa haya na kuanza kulisafisha fisadi hili Lowasa huku akisaliti uchungu wa wananchi kuishi maisha ya ovyo kwa mikataba fake waliyoifanya yeye na EL wake.

Sasa hakuna asiyejua ccm wametangaza wanaendelea kuongoza kwa lazima hata kama ni kwa kugushi n akuiba kura. Hli limetamkwa na ccm. Kila mtu anaona wanavyokataa kuandikisha watu kwenye BVR kwa ujinga mwingi tu n akupeleka mashine chache ama kwa maelekezo maalumu waandikishaji wapunguze kasi katika maeneo yenye upinzani makli ili kupunguza wapiga kura.

Nani asiyeona rough anazocheza Lowasa za kuanza kampeni mapema nchi nzima huku akitumia fedha nyingi kununua watu lakini mwenyekiti wa chama na takukuru wakiwa kimya kana kwamba hakuna kinachofanyika.

Kwa kukosa uzalendo wala uchungu wa nchi kwa ccm, kutawaza mafirauni yenye malengo nje na maslahi ya wananchi, ccm inaweza kulazimisha kwa kutumia nguvu ya dola na majeshi, kumsimika firauni mpenda rushwa, laghai, mafia na jambazi sugu lowasa kwa kuwa amewahi kuyarubuni majuha yaliyotengenezwa kama mtaji wa ccm, kwa kutumia fedha za wizi. Mijitu isiyojielewa kama minyama ya porini ambayo inatumika kuvusha watawala kwenye moto huku ikiteketea. Haya majitu yanatumiwa na ccm pori ambayo imekosa sifa ya uzazi wala ulezi bora ambapo ilitakiwa iwe mlinzi wa taifa, kutoa miongozo bora, kanuni safi na kulinda uhai wa taifa na maslahi ya Watanzania hata pale wasipojitambua badala ya ktumia ujuha wao kuwawekea mitego yenye manufaa kwa mafirauni na marafiki zao wa nje za nchi kina Rostam Aziz.

Kwa akili ya jk, unyama wa ccm, ujinga uliojengwa kama wigo wa ccm, matumizi wa majeshi, udictator na urafi wa madaraka wa ccm na mafirauni wenzake mamluki wa nje, lolote linaweza kufanywa, ambao ni kinyume na matakwa ya watanzania.

Kwa hiyo, kinachotakiwa ni mimi na wewe kusimama na kulinda maisha ya watoto wetu kwa gharama yoyote. Nchi hii iliingiwa utumwani tangu ilipojiingiza kwenye mtego wa Lowasa, rostam Aziz, Kigunge, Kawawa na mafirauni kumweka ikulu mtu wao ambaye ni msimamizi mkuu wa ufisadi, wizi na umafia ndani ya nchi hii na ambaye ana hadidu za rejea za mafisadi kuhakikisha kila analolifanya linalinda kwanza maslahi ya mafisadi na mamluki walioko nyuma yao.[/QUOTE Tabby hongera sana kwa kuandika ukweli na hali halisi ilivyo haya majizi wa ccm kwenye uandikishaji kama Arusha walifanya hujuma kubwa sana kupeleka mashine za BVR chache kwenye vituo ambazo kuna watu wengi na kupeleka mashine za BVR nyingi sehemu zenye watu wachache lakini tunamshukuru sana mbunge wetu wa Lema aliingilia kati mashine zikaongezwa na muda kujiandikisha ukaongezwa pia zoezi linaendelea vizuri wananchi wamejitokeza kwa wingi kujiandikisha kwani wameshachoka na huu utawala wa ccm wanataka mabadiliko sasa .Hatuwezi kukubali kuendelea kuongozwa chini ya utawala wa majizi wa ccm tena MABADILIKO YATALETWA NA MIMI NA WEWE NENDA KAJIANDIKISHE WAPE ELIMU WENGINE KWA PAMOJA TUTASHINDA
VOTE FOR UKAWA
 
Last edited by a moderator:
Nina uhakika wa asilimia 70 Bunge lijalo litatawaliwa na wapinzani na hata spika anaweza kutoka upinzani.

Nachojiuliza,ikitokea(mungu apishie mbali),Lowassa akawa raisi na Bunge linalotawalia na wapinzani wengi likaamua kufufua upya kashifa mbalimbali na Richmond ikiwemo huku raisi akiwa mtuhumiwa itakuwaje?

Je,Bunge, kwa mujibu wa katiba, halitaweza kuanzisha impeachment procedure dhidi ya rais alie madarakani?

Au katiba bado itamlinda kama raisi?

Mimi ninaona huyu bwana akiwa raisi na Bunge likatawalia na wapinzani, kuna mgogoro unaweza kuibuka na raisi anaweza hata kuangushwa na Bunge kabla ya muda wake haujaisha.
Lowassa ni mchapa kazi na kwa taarfa yako wapnzani wanaujua uwezo wake na lowasa ni mskvu sana na anapenda maendeleo si mtu wa bora liende na huyu jamaa is a charsmatc leader take it or dump it bt ndio ukweli. ..na wapnzani hawana uhasama na lowasa
 
Back
Top Bottom